Mbunge aisifu Tanzania kwa amani

DODOMA:MBUNGE wa Jimbo la Kahama Mjini, Benjamin Ngayiwa, amesema Tanzania ni nchi ya mfano kutokana na amani na utulivu inayodumu, wakati nchi nyingine zikumbwa na migogoro.‎Akizungumza kuhusu hali ya amani nchini, Ngayiwa amebainisha kuwa mataifa mengine bado yanashuhudia vita vya wenyewe kwa wenyewe pamoja na migogoro ya kidini, kikabila na kimkoa.‎“Tunashuhudia katika maeneo mengine vita…

admin Avatar

by

1 minute

Read Time

DODOMA:MBUNGE wa Jimbo la Kahama Mjini, Benjamin Ngayiwa, amesema Tanzania ni nchi ya mfano kutokana na amani na utulivu inayodumu, wakati nchi nyingine zikumbwa na migogoro.

Akizungumza kuhusu hali ya amani nchini, Ngayiwa amebainisha kuwa mataifa mengine bado yanashuhudia vita vya wenyewe kwa wenyewe pamoja na migogoro ya kidini, kikabila na kimkoa.

“Tunashuhudia katika maeneo mengine vita vya wenyewe kwa wenyewe lakini na migogoro ya kidini, yakikabila, yakimaeneo inakuwepo. Lakini Tanzania tunamshukuru Mungu na wananchi kwa ujumla, na jitihada za serikali katika kuitunza amani,” amesema Ngayiwa.

About the Author

About the Author

Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

BlockSpare — News, Magazine and Blog Addons for (Gutenberg) Block Editor

Search the Archives

Access over the years of investigative journalism and breaking reports