Category: Magazeti
-

Mwandishi wa Mwananchi ashinda tuzo ya Hedhi Salama 2026
Dodoma. Mwandishi mwandamizi wa habari za afya wa Mwananchi Communications Limited (MCL), Herieth Makwetta, ameibuka mshindi wa Tuzo ya Hedhi Salama 2026 katika kipengele cha magazeti. Herieth ametangazwa mshindi na kukabidhiwa tuzo hiyo leo Ijumaa, Juni 12, 2026, akiwa miongoni mwa washindi wanane waliochaguliwa kutoka vyombo mbalimbali vya habari nchini. Tuzo hizo zimetolewa wakati wa…
-

KONA YA MSTAAFU: Mitandao inapomharakisha mstaafu Kinondoni!
Miaka ilee ya 1970 tulipomaliza vidato na tukajiunga na wazee wetu, kaka zetu na dada zetu kuijenga nchi hii kwa jasho na damu yetu, kitu kinachoitwa sasa “mitandao ya kijamii” kilikuwa bado kipo Sayari ya Pluto! Hapa nyumbani tulikuwa tunategemea redio zetu za 177 na 277 za mbao tulizokuwa tukitengeneza wenyewe za National kwenye kiwanda…
Latest News
About the Author

AF themes
Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

Search the Archives
Access over the years of investigative journalism and breaking reports




















