Category: Michezo
-

Waziri Mkuu, mawaziri SMZ washusha presha ya ubaguzi
Dodoma/Zanzibar. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Mwigulu Nchemba na baadhi ya mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) wametuliza presha kuhusu kauli za ubaguzi dhidi ya Wazanzibari na Watanganyika. Mjadala wa kurushiana vijembe vya tuhuma za ubaguzi uliibuka kwenye Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Baraza la Wawakilishi la…
-

WADAU WA MAZINGIRA KUTOKA UJERUMANI WAONESHA NIA YA KUWEKEZA TANZANIA – Habari Mpya
Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais Dkt. Richard Muyungi, akiwa katika mazungumzo na Bw. Lorenzo Guadagno wa Sekretarieti ya Santiago Network pamoja na ujumbe ulioambatana nao, pembeni mwa mkutano wa SB64 mjini Bonn, Ujerumani. Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Dkt. Richard Muyungi (kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Mtaalamu…
-

WAANDAAJI WA VIPINDI VYA WATOTO ZINGATIENI MAADILI NA MATUMIZI YA TEKNOLOJIA ZA KISASA – Habari Mpya
Na John Bukuku, Dar es Salaam, Juni 18, 2026 – Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano Serikalini katika Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Wanawake, Raymond Mushumbusi Ishengoma, amesema waandaaji na watangazaji wa vipindi vya watoto nchini wanapaswa kuzingatia viwango vya kitaaluma, maadili ya uandishi wa habari na matumizi ya teknolojia za kisasa ili kuhakikisha watoto…
-
ENGLAND YAIBUKA NA USHINDI WA 4-2 DHIDI YA CROATIA – Habari Mpya
Na. Fullshangwe Blog, Updates Michezo England imefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 4-2 dhidi ya Croatia katika mchezo uliomalizika kwa dakika 90 (FT), ukiwa na ushindani kutoka pande zote mbili. England ilipata mabao yake kupitia Harry Kane aliyeifungia timu hiyo mara mbili, bao la kwanza likiwa la penalti dakika ya 12 na la pili dakika…
-

G7 yaahidi fedha zaidi kudhibiti Ebola, wasisitiza usalama Kombe la Dunia 2026
Ufaransa. Viongozi wa kundi la nchi saba zilizoendelea kiuchumi duniani (G7) wameahidi kutoa fedha zaidi na kuimarisha ushirikiano wa kimataifa kudhibiti mlipuko wa ugonjwa wa Ebola, unaoendelea Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) na Uganda. Ahadi hiyo ilitolewa wakati wa kilele cha mkutano wa G7 uliofanyika nchini Ufaransa, ambapo viongozi hao wameeleza mlipuko wa virusi…
-
URENO YALAZIMISHWA SARE NA DR CONGO – Habari Mpya
Na. Fullshangwe Blog, Updates Michezo Timu ya taifa ya Ureno imeanza kampeni yake ya Kombe la Dunia kwa sare ya mabao 1-1 dhidi ya DR Congo katika mechi ya Kundi K iliyochezwa leo. Ureno ilipata bao la kuongoza mapema kipindi cha kwanza, lakini DR Congo ilisawazisha kabla ya mapumziko na kufanya timu hizo zigawane pointi.…
-

Wanaotumikisha wahamiaji Kigoma wapewa siku saba
Kigoma. Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Balozi Simon Sirro, ametoa siku saba kwa wananchi na wafanyabiashara wanaowatumia wahamiaji kutoka nchi jirani wasio na vibali halali vya kuishi na kufanya kazi nchini kuwarejesha kwao kabla ya hatua za kisheria kuchukuliwa dhidi yao. Balozi Sirro amesema katika siku za hivi karibuni kumekuwa na ongezeko la wahamiaji haramu…
-

Mwinyi kuwakilisha Tanzania mkutano wa bahari
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi, amewasili jijini Mombasa kwa ziara ya kikazi ya siku mbili ambapo atamwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan, katika Mkutano wa 11 wa Kimataifa wa Masuala ya Bahari unaofanyika nchini Kenya. Rais Dk. Mwinyi aliwasili katika Uwanja wa…
-

UFARANSA YAANZA KOMBE LA DUNIA KWA USHINDI DHIDI YA SENEGAL – Habari Mpya
Na. Fullshangwe Blog, Updates Michezo Timu ya Taifa ya Ufaransa imeanza vyema kampeni yake ya Kombe la Dunia 2026 baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Senegal katika mchezo wa Kundi I uliochezwa Juni 16, 2026 nchini Marekani. Baada ya kipindi cha kwanza kumalizika kwa sare ya bila kufungana, Ufaransa iliongeza kasi…
-

JAB YASOGEZA HUDUMA ZA ITHIBATI KARIBU NA WAANDISHI DODOMA – Habari Mpya
Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) imeanza kutoa huduma mbalimbali za ithibati katika Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea katika Viwanja vya Chinangali Park jijini Dodoma, kwa lengo la kurahisisha upatikanaji wa huduma na kutatua changamoto zinazowakabili waandishi wa habari. Kupitia banda la Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, maafisa…
Latest News
About the Author

AF themes
Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

Search the Archives
Access over the years of investigative journalism and breaking reports












