Category: Habari
-

Kagera, Kigoma zapata maabara kupima Ebola
DAR ES SALAAM: SERIKALI imepeleka na kusimika maabara mbili jongezi zenye uwezo wa kupima sampuli za ugonjwa wa Ebola katika mikoa ya Kagera na Kigoma ili kuimarisha utayari wa kukabiliana na ugonjwa huo. Waziri wa Afya, Mohamed Omary Mchengerwa amesema hatua hiyo inalenga kusogeza huduma za uchunguzi karibu na wananchi wanaoishi katika maeneo yanayopakana na…
-

Huu hapa uamuzi wa mahakama kesi ya ubunge wa Baba Levo
Kigoma. Mahakama Kuu Masjala Ndogo Kigoma imeridhia maombi ya walalamikaji katika kesi ya uchaguzi wa Jimbo la Kigoma Mjini, uliompa ushindi mbunge wa jimbo hilo, Clayton Chipando, maarufu Baba Levo kuongezewa muda wa kuwasilisha mahakamani maelezo ya maandishi ya mashahidi wao. Mahakama hiyo katika uamuzi wake uliotolewa jana Juni 18, 2026 jioni na Jaji Victoria…
-

Makosa ya familia matumizi ya dawa za meno
Dar es Salaam. Mzazi anapokwenda dukani au kuagiza dawa ya meno kwa ajili ya familia mara nyingi huangalia bei, ladha au chapa anayoifahamu. Wengine huchukua dawa moja tu kwa ajili ya kila mtu nyumbani, wakiamini kazi ya dawa zote za meno ni moja tu yaani kusafisha meno. Shedrack Jackson, mkazi wa Ubungo jijini Dar es…
-

Umuhimu wa mazoezi kwa mama aliyejifungua
Dar es Salaam. Ni saa kumi na moja alfajiri katika eneo la Kivule jijini Dar es Salaam. Kwenye uwanja wa mpira katika Shule ya Msingi Misitu kinamama kadhaa wamekusanyika kwa ajili ya mazoezi ya asubuhi. Miongoni mwao yupo Aisha Jumanne (35), ambaye miezi minne iliyopita alijifungua mtoto wake wa pili. Anasema baada ya kujifungua alikuwa…
-

Fahamu uhusiano wa kisukari na shinikizo la damu
Dar es Salaam. Kisukari na shinikizo la damu ni miongoni mwa magonjwa yasiyoambukiza yenye uhusiano mkubwa, na mara nyingi huweza kumpata mtu mmoja kwa wakati mmoja. Hali hiyo huongeza hatari ya kupata matatizo makubwa ya kiafya kama magonjwa ya moyo, figo, macho pamoja na kiharusi. Shinikizo la damu hutokea pale damu inapopita kwenye mishipa kwa…
-

MKUU WA WILAYA YA UKEREWE AHIMIZA ULINZI WA RASILIMALI ZA ZIWA VICTORIA KISIWA CHA GANA – Habari Mpya
Mkuu wa Wilaya ya Ukerewe, Bw. Christopher Ngubiagai akizungumza na wananchi wa kisiwa cha Gana Ukerewe. Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe Ndg. Vicent Mbua akizungumza na wananchi wa Gana kuachana na uvuvi haramu ………….. Mkuu wa Wilaya ya Ukerewe, Bw. Christopher Ngubiagai, amewataka wananchi wa Kisiwa cha Gana kuendelea kulinda rasilimali za…
-

KONA YA MSTAAFU: Fedha zinapomwagwa nje nje, lakini hazimhusu mstaafu!
Mstaafu wetu anajikuta akifanya kile kinachomshangaza hata yeye mwenyewe, cha kujikuta akikishukuru sana kibubu cha wastaafu kwa kufanya kilichofanywa na maofisa wake wahusika kuona mwezi jana ukipita bila mstaafu kuhakiki na hivyo kukosa laki mbili na nusu zake za pensheni! Maofisa hao, wengine wakiwa wapenzi wa makala za Mstaafu Wetu toka enzi za Daily News…
-

Historia ya kuanzishwa Kalenda ya Kiislamu
Dar es Salaam. Muharram ni mwezi wa kwanza katika kalenda ya Kiislamu iitwayo Hijra, na wa nne miongoni mwa miezi mitukufu katika Uislamu. Mwezi huu unatukumbusha tukio kubwa katika historia ya Uislamu, nalo ni tukio la Hijra, (kuhama kwa Mtume wa Allah kutoka Makka kwenda Madina), tukio lililotenganisha baina ya haki na batili Kabla hatujaendelea…
-

Bodaboda, bajaji juu kwenye usajili, kusababisha ajali
Dar es Salaam. Katika miaka ya hivi karibuni, pikipiki na bajaji zimekuwa sehemu muhimu ya mfumo wa usafiri nchini Tanzania. Kuanzia mijini hadi vijijini, vyombo hivi vimebadilisha namna wananchi wanavyofika maeneo mbalimbali kwa haraka huku vikitoa ajira kwa maelfu ya vijana na kurahisisha shughuli za biashara. Kutokana na mahitaji hayo, uwekezaji katika eneo hilo nao…
-

TVLA YAWATAKA WAFUGAJI KUONGEZA MWITIKIO WA CHANJO ZA MIFUGO – Habari Mpya
FARIDA MANGUBE MOROGOGO Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Maabara ya Veterinari Tanzania (TVLA), Dkt. Stella Bitanyi, amewataka wafugaji nchini kuongeza mwitikio wa kuchanja mifugo dhidi ya magonjwa mbalimbali ili kuimarisha afya ya mifugo, kuongeza uzalishaji na kupunguza hatari ya maambukizi ya magonjwa kutoka kwa wanyama kwenda kwa binadamu. Akizungumza Juni 18, 2026 mjini Morogoro katika…
Latest News
About the Author
Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

Search the Archives
Access over the years of investigative journalism and breaking reports













