NILIVYOPANDISHWA CHEO KAZINI BAADA YA MIAKA YA KUFANYA KAZI KWA BIDII HUKU WENGINE WAKIMTANGULIA  – Habari Mpya

Kwa muda mrefu, nilikuwa mfanyakazi ambaye kila mtu alijua kuwa mwenye Bidii. Nilifika kazini mapema, nilitimiza majukumu yangu kwa umakini, na nilijitahidi kuhakikisha kila kazi niliyopewa inakamilika kwa wakati. Niliamini kwamba juhudi zangu zingetambuliwa siku moja. Lakini miaka ilipita bila mabadiliko. Kila mara nafasi mpya zilipofunguka, nilikuwa na matumaini kwamba safari hii ningechaguliwa. Badala yake,…

admin Avatar

by

1 minute

Read Time

Kwa muda mrefu, nilikuwa mfanyakazi ambaye kila mtu alijua kuwa mwenye Bidii. Nilifika kazini mapema, nilitimiza majukumu yangu kwa umakini, na nilijitahidi kuhakikisha kila kazi niliyopewa inakamilika kwa wakati. Niliamini kwamba juhudi zangu zingetambuliwa siku moja.

Lakini miaka ilipita bila mabadiliko. Kila mara nafasi mpya zilipofunguka, nilikuwa na matumaini kwamba safari hii ningechaguliwa. Badala yake, niliona wafanyakazi wengine wakipandishwa vyeo huku mimi nikibaki pale pale.

Kwa kweli iliniumiza Sana. Kilichoniumiza zaidi ni kwamba baadhi ya watu waliokuwa wakitangulia walikuwa wamefika kazini muda mfupi kuliko mimi. Wakati mwingine nilijikuta nikijiuliza kama kazi yangu ilikuwa inaonekana au kama juhudi zangu zilikuwa zinapotea bure….. SOMA ZAIDI 

About the Author

About the Author

Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

BlockSpare — News, Magazine and Blog Addons for (Gutenberg) Block Editor

Search the Archives

Access over the years of investigative journalism and breaking reports