TANZANIA, SINGAPORE ZAIMARISHA USHIRIKIANO WA UENDELEZAJI UJUZI NA RASILIMALI WATU – Habari Mpya

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan pamoja na Rais wa Jamhuri ya Singapore, Tharman Shanmugaratnam wakishuhudia utiaji saini wa hati ya makubaliano kati ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Singapore kuhusu Uendelezaji Ujuzi na Rasilimali Watu inayokusudia kuimarisha mafunzo ya kitaalamu, Ujenzi wa uwezo na…

admin Avatar

by

1 minute

Read Time

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan pamoja na Rais wa Jamhuri ya Singapore, Tharman Shanmugaratnam wakishuhudia utiaji saini wa hati ya makubaliano kati ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Singapore kuhusu Uendelezaji Ujuzi na Rasilimali Watu inayokusudia kuimarisha mafunzo ya kitaalamu, Ujenzi wa uwezo na kubadilishana uzoefu katika maendeleo ya Rasilimali Watu.

Utiaji saini huo umefanywa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete na Waziri wa Nchi, Wizara ya Mambo ya Nje, Familia na Maendeleo ya Jamii Jamhuri ya Singapore, Zhulkarnain Abdul Rahim, Juni 9, 2026 Ikulu jijini Dar es salaam.

About the Author

About the Author

Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

BlockSpare — News, Magazine and Blog Addons for (Gutenberg) Block Editor

Search the Archives

Access over the years of investigative journalism and breaking reports