ATCL yarejesha huduma Chato – HabariLeo

DODOMA; SERIKALI imesema Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL), itarejesha safari zake za ndege ya abiria kwenye Uwanja wa Ndege wa Chato mkoani Geita kuanzia Juni 2, 2026. Kauli hiyo imetolewa bungeni leo Mei 25, 2026 na Naibu Waziri wa Uchukuzi, David Kihenzile, alipokuwa akijibu swali la Mbunge wa Chato Kaskazini, Cornel Magembe aliyehoji bungeni ni…

admin Avatar

by

1 minute

Read Time

DODOMA; SERIKALI imesema Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL), itarejesha safari zake za ndege ya abiria kwenye Uwanja wa Ndege wa Chato mkoani Geita kuanzia Juni 2, 2026.

Kauli hiyo imetolewa bungeni leo Mei 25, 2026 na Naibu Waziri wa Uchukuzi, David Kihenzile, alipokuwa akijibu swali la Mbunge wa Chato Kaskazini, Cornel Magembe aliyehoji bungeni ni lini serikali itarejesha safari za ndege Uwanja wa Ndege Chato mkoani Geita.

Naibu Waziri amesema tangu ATCL itangaze kurejesha huduma hizo kwa Uwanja wa Ndege wa Chato, muitikio wa wananchi kukata tiketi umekuwa mkubwa.

About the Author

About the Author

Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

BlockSpare — News, Magazine and Blog Addons for (Gutenberg) Block Editor

Search the Archives

Access over the years of investigative journalism and breaking reports