HISPANIA, CAPE VERDE ZAGAWANA POINTI KUNDI H – Habari Mpya

Na. Fullshangwe Blog, Updates Michezo  Hispania imeanza kampeni yake ya Kombe la Dunia 2026 kwa kutoka sare ya bila kufungana dhidi ya Cape Verde katika mchezo wa Kundi H uliochezwa leo Juni 15,2026. Matokeo hayo yameifanya kila timu kujikusanyia pointi moja katika msimamo wa kundi hilo, ambalo pia linazijumuisha Saudi Arabia na Uruguay. Baada ya…

admin Avatar

by

1 minute

Read Time

Na. Fullshangwe Blog, Updates Michezo 

Hispania imeanza kampeni yake ya Kombe la Dunia 2026 kwa kutoka sare ya bila kufungana dhidi ya Cape Verde katika mchezo wa Kundi H uliochezwa leo Juni 15,2026.

Matokeo hayo yameifanya kila timu kujikusanyia pointi moja katika msimamo wa kundi hilo, ambalo pia linazijumuisha Saudi Arabia na Uruguay.

Baada ya mchezo huo, Hispania na Cape Verde zina pointi moja kila moja huku zikisubiri matokeo ya mchezo mwingine wa Kundi H kati ya Saudi Arabia na Uruguay ili kubaini msimamo kamili wa kundi hilo.

About the Author

About the Author

Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

BlockSpare — News, Magazine and Blog Addons for (Gutenberg) Block Editor

Search the Archives

Access over the years of investigative journalism and breaking reports