CZECHIA NA AFRIKA KUSINI WAGAWANA POINTI KOMBE LA DUNIA 2026 – Habari Mpya

Timu ya Taifa ya Afrika Kusini imefanikiwa kutoka sare ya mabao 1-1 dhidi ya Czechia katika mchezo wa hatua ya makundi ya Kombe la Dunia 2026 uliochezwa leo, Juni 18, nchini Mexico. Afrika Kusini, ambao wapo Kundi A, wamefikisha alama moja baada ya matokeo hayo na kwa sasa wanashika nafasi ya mwisho kwenye kundi hilo.…

admin Avatar

by

1 minute

Read Time

Timu ya Taifa ya Afrika Kusini imefanikiwa kutoka sare ya mabao 1-1 dhidi ya Czechia katika mchezo wa hatua ya makundi ya Kombe la Dunia 2026 uliochezwa leo, Juni 18, nchini Mexico.

Afrika Kusini, ambao wapo Kundi A, wamefikisha alama moja baada ya matokeo hayo na kwa sasa wanashika nafasi ya mwisho kwenye kundi hilo.

Huu ulikuwa mchezo wao wa pili kwenye mashindano hayo, baada ya kupoteza mchezo wa kwanza kwa mabao 2-0 dhidi ya Mexico.

About the Author

About the Author

Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

BlockSpare — News, Magazine and Blog Addons for (Gutenberg) Block Editor

Search the Archives

Access over the years of investigative journalism and breaking reports