Mafanikio Serengeti Boys yatinga bungeni

DODOMA; MBUNGE wa Bunda Mjini, Amos Bulaya muda huu anawasilisha hoja bungeni kuhusu Azimio la Bunge kuipongeza timu ya Taifa ya Vijana chini ya umri wa miaka 17 (Serengeti Boys) kutinga hatua ya fainali katika michuano ya AFCON 2026 inayoendelea Morocco na kukata tiketi ya kushiriki Mashindano ya Kombe la Dunia la vijana chini ya…

admin Avatar

by

1 minute

Read Time

DODOMA; MBUNGE wa Bunda Mjini, Amos Bulaya muda huu anawasilisha hoja bungeni kuhusu Azimio la Bunge kuipongeza timu ya Taifa ya Vijana chini ya umri wa miaka 17 (Serengeti Boys) kutinga hatua ya fainali katika michuano ya AFCON 2026 inayoendelea Morocco na kukata tiketi ya kushiriki Mashindano ya Kombe la Dunia la vijana chini ya umri huo mwaka 2026.

Serengeti Boys jana ilitinga fainali baada ya ushindi wa penalti 4-3 dhidi ya Misri kufuatia matokeo ya 0-0 baada ya dakika 90 za mchezo huo.

Hii ni mara ya kwanza kwa Tanzania kucheza fainali ya michuano hiyo.

About the Author

About the Author

Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

BlockSpare — News, Magazine and Blog Addons for (Gutenberg) Block Editor

Search the Archives

Access over the years of investigative journalism and breaking reports