Author: admin
-

Israel yaibua hofu mwafaka wa amani Mashariki ya Kati
Dar es Salaam. Makubaliano mapya kati ya Marekani na Iran yaliyolenga kusitisha vita, kufungua tena Mlango wa Bahari wa Hormuz na kurejesha mazungumzo ya kisiasa, yanakabiliwa na sintofahamu mpya. Matumaini hayo yaliyoibuka baada ya Marekani na Iran kutangaza kufikia mwafaka wa kusitisha mapigano yanaingia sintofahamu baada ya Israel kuendelea na mashambulizi yake nchini Lebanon, hali…
-

Mahakama yatupilia mbali maombi warithi wa Hans Poppe
Arusha. Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, imetupilia mbali maombi yaliyowasilishwa na wasimamizi wa mirathi ya marehemu mfanyabiashara Zacharia Hans Poppe, pamoja na kampuni ya ZH Poppe Limited. Wasimamizi hao walikuwa wakiomba zuio la muda dhidi ya Benki ya Biashara Tanzania (TCB) kuzuia kuchukuliwa na kuuzwa kwa mali zilizowekwa rehani kwa ajili ya…
-

Mazishi dereva wa bodaboda yafanyika usiku chini ya ulinzi Siha
Siha. Wakati mwili wa kijana Emmanuel Mwandry (20) ukizikwa chini ya ulinzi wa polisi saa 2:30 usiku baada ya kuibuka vurugu kwenye mazishi yake juzi, Mkuu wa Wilaya ya Siha, mkoani Kilimanjaro, Dk Christopher Timbuka amesimulia kilichotokea. Kijana huyo, mkazi wa Ngirinyi, Kata ya Nasai, wilayani Siha, alifariki dunia Juni 12, 2026 kwa madai ya…
-
SIMBA YAONGEZA PRESHA MBIO ZA UBINGWA, YAICHAPA MBEYA CITY – Habari Mpya
NA MWANAMICHEZO WETU, NOEL RUKANUGA Simba SC imeendeleza ubabe wake katika Ligi Kuu ya NBC baada ya leo, Jumatano, Juni 17, 2026, kuichapa Mbeya City bao 1-0 katika Uwanja wa Sokoine, Mbeya. Ushindi huo umeifanya Simba kupanda kileleni mwa msimamo wa ligi kwa kufikisha pointi 64, na hivyo kuendelea kuweka hai matumaini yake ya kutwaa…
-

Mkalimani akwamisha kesi Wachina wanaodaiwa kuwateka wenzao
Dar es Salaam. Raia wanne wa China, Deng Anqing, Fan Zhong Hua, Zhang Jianjun na Deng Qiang wanaotuhumiwa kuwateka wenzao wawili ili kujipatia Sh50 bilioni, wameshindwa kusomewa mashtaka katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala, baada ya kukosekana kwa mkalimani. Hanging na wenzake wamefikishwa Mahakamani hapo leo Jumatano Juni 17, 2026 mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi…
-

WADAU WA MADINI WAKUMBUSHWA KUZINGATIA SHERIA KUONGEZA MANUFAA KWA TAIFA – Habari Mpya
📍DODOMA Wadau wa Sekta ya Madini wamehimizwa kuzingatia sheria, kanuni na taratibu zinazosimamia shughuli za madini ili kuhakikisha rasilimali hizo zinaendelea kuchangia maendeleo ya taifa na kunufaisha wananchi. Mwanasheria wa Tume ya Madini, Janeth Kanyasu, amesema hayo kwenye Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea katika Viwanja vya Chinangali Park mkoani Dodoma, ambapo Tume…
-

Bima, viuatilifu vyatajwa kufungua masoko ya mazao
Dodoma. Wakulima na wafugaji nchini wametakiwa kutumia bima za kilimo ili kujikinga dhidi ya hasara zinazoweza kusababishwa na majanga mbalimbali, huku wakihimizwa kuzingatia matumizi sahihi ya viuatilifu ili kuongeza ubora wa mazao na kunufaika na masoko ya ndani na nje ya nchi. Wito huo umetolewa leo Jumatano, Juni 17, 2026, jijini Dodoma na Mamlaka ya…
-

MSHIKAMANO WA KITAIFA WAPEWA KIPAUMBELE KATIKA KIKAO CHA WAZIRI SANGU NA VYAMA VYA SIASA – Habari Mpya
Na. OWM (KAM), Morogoro Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano Deus Sangu amesema mahusiano mema, mazungumzo ya kujenga na mshikamano wa kitaifa ni nguzo muhimu katika kuimarisha demokrasia, amani na maendeleo endelevu nchini. Akifungua Warsha ya Viongozi wa Vyama vya Siasa na Wajumbe wa Baraza la Vyama vya Siasa…
-

Tanzania yaongoza kuwa na Simba, Nyati wengi Afrika
Arusha. Tanzania imeendelea kuimarisha hadhi yake katika uhifadhi wa wanyamapori baada ya matokeo ya Sensa ya Wanyamapori ya mwaka 2024/2025, kuonyesha kuwa nchi inaongoza barani Afrika kwa idadi ya simba na nyati. Kwa mujibu wa matokeo ya sensa hiyo yaliyotolewa na Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori Tanzania (Tawiri) leo Jumatano, Juni 17, 2026, Tanzania ina…
-

TRA, viongozi wa dini wahimiza ulipaji kodi kwa hiari
Dar es Salaam. Viongozi wa dini wamewahimiza wananchi kutosita kulipa kodi kwani kufanya hivyo ni sehemu ya ibada ambayo dini zote zinahimiza hilo. Hayo yamesemwa leo Jumatano Juni 17, 2026 na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT), Sheikh Alhad Mussa Salum kwenye kongamano la Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na viongozi wa…
Latest News
About the Author
Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

Search the Archives
Access over the years of investigative journalism and breaking reports
You May Have Missed













