Author: admin
-

Mafunzo maalumu kuimarisha ufanisi wa wanasheria
TANGA: Maofisa Sheria wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) wanatarajiwa kuimarisha uwezo, maarifa na ufanisi katika utekelezaji wa majukumu yao kupitia mafunzo maalumu yaliyoandaliwa na Mfuko huo na kuendeshwa na Chuo cha Uongozi wa Mahakama Lushoto (IJA). Mafunzo hayo ya siku tano yanayofanyika kuanzia Juni 15-19, 2026 katika Ukumbi wa Mikutano wa…
-

KITUO CHA POLISI BASHNET, TUMAINI JIPYA LA USALAMA WA RAIA. – Habari Mpya
Na John Walter-Babati Kwa miaka mingi, wakazi wa Tarafa ya Bashnet katika Wilaya ya Babati wameishi na changamoto ya kupata huduma za kipolisi kwa umbali mrefu. Tarafa hiyo, inayojumuisha kata kumi za Bashnet, Nar, Dabil, Secheda, Madunga, Qameyu,Dareda,Arri,Ayalagaya na Ufana, imekuwa ikitegemea huduma za polisi kutoka Babati Mjini, hali iliyosababisha ucheleweshaji wa hatua za kiusalama…
-

Kamati ya Bunge nayo yataka Sh200 bilioni za vijana zisitawanywe
Dar es Salaam. Kamati ya Bunge ya Bajeti, imetaka kiasi cha Sh200 bilioni kilichotolewa na Serikali kwa ajili ya maendeleo ya vijana kisigawanywe katika wizara mbalimbali kama inavyofanyika, bali kiachwe kwenye wizara inayohusika na kundi hilo. Hata hivyo, Rais Samia Suluhu Hassan, aliwahi kueleza uamuzi wa kuzigawanya fedha hizo unafuatana na sekta zilizolengwa kuwanufaisha vijana…
-

MUHEZA YAJIPANGA KUNG’ARA MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2026 – Habari Mpya
Mkuu wa Wilaya ya Muheza mkoani Tanga, Ayoub Sebabili, amewahimiza wananchi kujitokeza kwa wingi katika shughuli za mapokezi ya Mwenge wa Uhuru 2026, akisema ushiriki mkubwa wa wananchi utasaidia wilaya hiyo kufanya vizuri katika mashindano ya Kitaifa ya Mwenge wa Uhuru. Sebabili ametoa wito huo wakati wa zoezi la Jogging lililoandaliwa kama sehemu ya maandalizi…
-

Wawakilishi wataka haya yafanyike ukusanyaji mapato, utekelezaji bajeti
Unguja. Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wameeleza haja ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) kuongeza kasi ya ukusanyaji wa mapato ya ndani na kutumia mifumo ya kisasa ya teknolojia ili kuhakikisha utekelezaji wa bajeti unafanyika bila kutegemea wafadhili. Pia wamesisitiza kuwa ukuaji wa uchumi lazima uendane na uhalisia wa maisha ya wananchi, huku wakisema ongezeko…
-

ORYX ENERGIES YAZINDUA KITUO CHA MAFUTA WAZO JIJINI DAR – Habari Mpya
………. KAMPUNI ya Oryx Energies Tanzania imezindua kituo kipya cha mafuta eneo la Wazo jijini Dar es Salaam huku mkakati wake wake ukiwa ni kuendelea kusogeza huduma za nishati za mafuta na gesi karibu na wananchi. Akizungumza leo Juni 15,2026 jijini Dar es Salaam wakati wa uzinduzi wa kituo hicho,Mkurugenzi Mkuu wa Oryx Energies Tanzania…
-

Udart yataja sababu mabasi yake kuonekana Barabara ya Pugu
Dar es Salaam. Kampuni ya mabasi Yaendayo Haraka (Udart), imetoa ufafanuzi kuhusu mabasi yake kuonekana katika barabara ya Pugu. Wiki iliyopita video za magari hayo zilisambaa katika mitandao ya kijamii na kukawa na madai kuwa, pengine yanafanyika majaribio. Akizungumza na Mwananchi leo, Jumatatu Juni 15, 2026 kuhusiana na suala hilo, Mkurugenzi Mkuu wa Udart, Pius…
-
MBUNGE WA KALENGA JACKSON KISWAGA AIBANA SERIKALI KUHUSU UJENZI WA BARABARA YA IFUNDA–KIPONZERO – Habari Mpya
MBUNGE wa Jimbo la Kalenga, Jackson Kiswaga, ameendelea kuonyesha dhamira yake ya kusimamia maendeleo ya wananchi kwa kuibana Serikali kuhusu hatima ya ujenzi wa barabara ya Ifunda–Kiponzero yenye urefu wa kilomita 12, ambayo ni muhimu kwa shughuli za kiuchumi na kijamii katika eneo hilo. Akiuliza swali la nyongeza bungeni, Mheshimiwa Kiswaga alisema barabara hiyo ni…
-

Wamiliki watoa hoja 30 wakitaka upya wa mchakato wa ‘Sinza mpya’
Dar es Salaam. Wamiliki wa ardhi katika eneo la Sinza wamewasilisha hoja 30 kwa Wizara ya Ardhi, zikijumuisha pingamizi, maombi ya ufafanuzi na mapendekezo kuhusu rasimu ya mpango wa uendelezaji upya wa eneo hilo kwa mwaka 2026 hadi 2046, wakitaka mchakato huo uanze upya. Katika hoja hizo walizozitoa jana Jumapili Juni 14, 2026, wamiliki hao…
-

AWESO AKESHA MITAMBONI USIKU KUHAKIKISHA MAJI YANATOKA MWANZA – Habari Mpya
NA: MWANDISHI WETU, MWANZA Hakuna kulala. Hivi ndivyo unavyoweza kusema ndugu msomaji. Hii ni baada ya Waziri wa Maji, Jumaa Aweso, kuamua kukesha mitamboni hadi usiku wa manane kuhakikisha maji yanatoka kwa wakazi wa Jiji la Mwanza. Aweso amepiga kambi katika kituo cha kusukuma maji cha Capripoint usiku wa kuamkia Juni 15, 2026. Hii ni…
Latest News
About the Author
Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

Search the Archives
Access over the years of investigative journalism and breaking reports
You May Have Missed











