Author: admin

  • Makosa ya familia matumizi ya dawa za meno

    Makosa ya familia matumizi ya dawa za meno

    Dar es Salaam. Mzazi anapokwenda dukani au kuagiza dawa ya meno kwa ajili ya familia mara nyingi huangalia bei, ladha au chapa anayoifahamu.  Wengine huchukua dawa moja tu kwa ajili ya kila mtu nyumbani, wakiamini kazi ya dawa zote za meno ni moja tu yaani  kusafisha meno. Shedrack Jackson, mkazi wa Ubungo jijini Dar es…

    Continue Reading

  • Umuhimu wa mazoezi kwa mama aliyejifungua

    Umuhimu wa mazoezi kwa mama aliyejifungua

    Dar es Salaam. Ni saa kumi na moja alfajiri katika eneo la Kivule jijini Dar es Salaam. Kwenye uwanja wa mpira katika Shule ya Msingi Misitu kinamama kadhaa wamekusanyika kwa ajili ya mazoezi ya asubuhi. Miongoni mwao yupo Aisha Jumanne (35), ambaye miezi minne iliyopita alijifungua mtoto wake wa pili. Anasema baada ya kujifungua alikuwa…

    Continue Reading

  • Fahamu uhusiano wa kisukari na shinikizo la damu

    Fahamu uhusiano wa kisukari na shinikizo la damu

    Dar es Salaam. Kisukari na shinikizo la damu ni miongoni mwa magonjwa yasiyoambukiza yenye uhusiano mkubwa, na mara nyingi huweza kumpata mtu mmoja kwa wakati mmoja. Hali hiyo huongeza hatari ya kupata matatizo makubwa ya kiafya kama magonjwa ya moyo, figo, macho pamoja na kiharusi. Shinikizo la damu hutokea pale damu inapopita kwenye mishipa kwa…

    Continue Reading

  • MKUU WA WILAYA YA UKEREWE AHIMIZA ULINZI WA RASILIMALI ZA ZIWA VICTORIA KISIWA CHA GANA – Habari Mpya

    MKUU WA WILAYA YA UKEREWE AHIMIZA ULINZI WA RASILIMALI ZA ZIWA VICTORIA KISIWA CHA GANA – Habari Mpya

    Mkuu wa Wilaya ya Ukerewe, Bw. Christopher Ngubiagai akizungumza na wananchi wa kisiwa cha Gana Ukerewe. Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe Ndg. Vicent Mbua akizungumza na wananchi wa Gana kuachana na uvuvi haramu ………….. Mkuu wa Wilaya ya Ukerewe, Bw. Christopher Ngubiagai, amewataka wananchi wa Kisiwa cha Gana kuendelea kulinda rasilimali za…

    Continue Reading

  • KONA YA MSTAAFU: Fedha zinapomwagwa nje nje, lakini hazimhusu mstaafu!

    KONA YA MSTAAFU: Fedha zinapomwagwa nje nje, lakini hazimhusu mstaafu!

    Mstaafu wetu anajikuta akifanya kile kinachomshangaza hata yeye mwenyewe, cha kujikuta akikishukuru sana kibubu cha wastaafu kwa kufanya kilichofanywa na maofisa wake wahusika kuona mwezi jana ukipita bila mstaafu kuhakiki na hivyo kukosa laki mbili na nusu zake za pensheni! Maofisa hao, wengine wakiwa wapenzi wa makala za Mstaafu Wetu toka enzi za Daily News…

    Continue Reading

  • Historia ya kuanzishwa  Kalenda ya Kiislamu

    Historia ya kuanzishwa  Kalenda ya Kiislamu

    Dar es Salaam. Muharram ni mwezi wa kwanza katika kalenda ya Kiislamu iitwayo Hijra,  na wa nne miongoni mwa miezi mitukufu katika Uislamu. Mwezi huu unatukumbusha tukio kubwa katika historia ya Uislamu, nalo ni tukio la Hijra, (kuhama kwa Mtume wa Allah kutoka Makka kwenda Madina), tukio lililotenganisha baina ya haki na batili Kabla hatujaendelea…

    Continue Reading

  • Bodaboda, bajaji juu kwenye usajili, kusababisha ajali

    Bodaboda, bajaji juu kwenye usajili, kusababisha ajali

    Dar es Salaam. Katika miaka ya hivi karibuni, pikipiki na bajaji zimekuwa sehemu muhimu ya mfumo wa usafiri nchini Tanzania. Kuanzia mijini hadi vijijini, vyombo hivi vimebadilisha namna wananchi wanavyofika maeneo mbalimbali kwa haraka huku vikitoa ajira kwa maelfu ya vijana na kurahisisha shughuli za biashara. Kutokana na mahitaji hayo, uwekezaji katika eneo hilo  nao…

    Continue Reading

  • Waziri Mkuu, mawaziri SMZ washusha presha ya ubaguzi

    Waziri Mkuu, mawaziri SMZ washusha presha ya ubaguzi

    Dodoma/Zanzibar. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Mwigulu Nchemba na baadhi ya mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) wametuliza presha kuhusu kauli za ubaguzi dhidi ya Wazanzibari na Watanganyika. Mjadala wa kurushiana vijembe vya tuhuma za ubaguzi uliibuka kwenye Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Baraza la Wawakilishi la…

    Continue Reading

  • TVLA YAWATAKA WAFUGAJI KUONGEZA MWITIKIO WA CHANJO ZA MIFUGO – Habari Mpya

    TVLA YAWATAKA WAFUGAJI KUONGEZA MWITIKIO WA CHANJO ZA MIFUGO – Habari Mpya

    FARIDA MANGUBE MOROGOGO  Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Maabara ya Veterinari Tanzania (TVLA), Dkt. Stella Bitanyi, amewataka wafugaji nchini kuongeza mwitikio wa kuchanja mifugo dhidi ya magonjwa mbalimbali ili kuimarisha afya ya mifugo, kuongeza uzalishaji na kupunguza hatari ya maambukizi ya magonjwa kutoka kwa wanyama kwenda kwa binadamu. Akizungumza Juni 18, 2026 mjini Morogoro katika…

    Continue Reading

  • ASISITIZA MAPATO NA HATI SAFI VIENDANE NA MATOKEO KWA WANANCHI – Habari Mpya

    ASISITIZA MAPATO NA HATI SAFI VIENDANE NA MATOKEO KWA WANANCHI – Habari Mpya

    Na Mwamvua Mwinyi, Kibaha Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge, ameiagiza Manispaa ya Kibaha kufanya tathmini ya mara kwa mara ya vipaumbele vya maendeleo ili kuhakikisha vinatoa matokeo chanya kwa wananchi na kuchochea maendeleo endelevu. Aidha, ameielekeza Manispaa hiyo kuhakikisha mipango na vipaumbele vyake vinaendana na mahitaji ya wananchi pamoja na kuakisi matakwa ya…

    Continue Reading

About the Author

Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

BlockSpare — News, Magazine and Blog Addons for (Gutenberg) Block Editor

Search the Archives

Access over the years of investigative journalism and breaking reports