Category: Habari
-

VULLU AWASIHI WAZAZI KUIMARISHA MALEZI,HUKU AKIGUSIA HATARI KWA WATOTO WA KIUME – Habari Mpya
Na Mwamvua Mwinyi, KibahaJuni 16, 2026 Mwenyekiti wa UWT Mkoa wa Pwani, Zainab Vullu, amewasihi wazazi na walezi kuimarisha malezi ya watoto kwa kuwajenga katika misingi ya maadili, hususan watoto wa kiume ambao kwa sasa wanakabiliwa na hatari zinazotokana na mazingira hatarishi na mmomonyoko wa maadili. Amesema taifa haliwezi kuwa na maendeleo endapo watoto wa…
-

Kauli za kukemea ubaguzi zatikisa Bunge, Baraza la Wawakilishi
Dar/Zanzibar. Mjadala wa kurushiana vijembe kwenye Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Baraza la Wawakilishi la Zanzibar umeibuka baina ya wabunge na wawakilishi hali ambayo imekemewa na baadhi yao kuwa inaweza kuhatarisha Muungano na mshikamano wa kitaifa. Wakichangia mjadala wa bajeti, baadhi ya wabunge wameonya kauli zinazotolewa na baadhi ya mawaziri upande wa…
-

Vijana wapewa mbinu za kuitumia AI kwa mtindo mwingine
Dar es Salaam. Tanzania imejipanga kujenga uhuru wa nchi kupitia teknolojia ya akili unde (AI) na siyo kuwa na akili unde inayotengeneza utegemezi. Hivyo, katika kuhakikisha hilo vijana wamatakiwa kuwa wabunifu kwa kuja na mifumo ya AI itakayotumika kusaidia biashara, ujasiriamali na fursa mbalimbali za ndani na nje ya nchi. Hayo yamebainishwa leo Jumanne, Juni…
-

Watoto 626 wafanyiwa ukatili Maswa ndani ya miezi 12
Maswa. Jumla ya watoto 626 katika Wilaya ya Maswa, Mkoa wa Simiyu, wamefanyiwa vitendo mbalimbali vya ukatili katika kipindi cha Julai 2025 hadi Juni 2026, huku wa kike wakiongoza kuathirika zaidi kuliko watoto wa kiume. Takwimu hizo zimetolewa leo Jumane, Juni 16, 2026 na Kaimu Ofisa Ustawi wa Jamii Wilaya ya Maswa, Salome Bahati wakati…
-

TANZANIA NA CANADA KUSHIRIKIANA KWENYE UTAFITI WA KINA WA MADINI NCHINI – Habari Mpya
▪️Serikali ya Canada yavutiwa na MINING VISION 2030 ▪️Utafiti kugusa mikoa ya Kanda ya Ziwa na Kaskazini ya Tanzania ▪️Waziri Mavunde awaelekeza GST kuainisha maeneo ya kimkakati ▪️Tafiti za kina za madini kuondoa uchimbaji wa kubahatisha ▪️Tanzania yajipanga kufikisha eneo la utafiti kutoka 16% kwenda 50% ifikapo 2030 *📍Dodoma* Tanzania na Canada zimekubaliana kuimarisha ushirikiano…
-

Vurugu zatokea msibani mabomu yapigwa, jeneza juu ya gari la DC
Dar es Salaam. Vurugu zimeibuka katika mazishi ya kijana aliyepoteza maisha akidaiwa kugongwa na gari la polisi wakati wanamkimbiza, wenzake wakishinikiza pikipiki yake iliyochomwa moto inunuliwe mpya. Jambo lingine lililozua vurugu msibani hapo Kijiji cha Ngirinyi, kata ya Nasai, Wilaya ya Siha, mkoani Kilimanjaro kwa mujibu wa mashuhuda, ni kitendo cha vijana 10 kushikiliwa na…
-
WATUMISHI SABA MANYONI NA MZABUNI WAFIKISHWA MAHAKAMANI KWA TUHUMA ZA UTAKATISHAJI FEDHA MILIONI 501 – Habari Mpya
Na John Bukuku Watumishi saba wa Halmashauri ya Wilaya ya Manyoni pamoja na mzabuni mmoja wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Manyoni wakikabiliwa na mashtaka mbalimbali ya uhujumu uchumi yakiwemo utakatishaji fedha unaodaiwa kuhusisha zaidi ya Sh milioni 501 za Serikali. Kesi hiyo ya Uhujumu Uchumi Na. 13485/2026 ilifunguliwa Juni 16, 2026 dhidi ya aliyekuwa…
-

Kongamano la Utumishi wa Umma kufanyika Dar, Dk Nchimbi kuwa mgeni rasmi
Dar es Salaam. Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC), kwa kushirikiana na Chuo cha Utawala wa Umma Zanzibar (IPA), kimeandaa Kongamano la Pili la Utumishi wa Umma Tanzania litakalofanyika Juni 18, 2026 katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam. Makamu wa Rais wa Tanzania, Dk Emmanuel Nchimbi,…
-

Bunge latoa neno kukwama kwa miradi PPP
DODOMA: Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeingilia kati kusuasua kwa miradi ya Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP), likionya kuwa kukwama kwa miradi hiyo kunasababisha hasara kubwa ya mapato ya taifa na kuchelewesha ahadi za maendeleo kwa wananchi. Kufuatia hali hiyo Juni 15, 2026, Spika wa Bunge ametoa agizo…
-

NMB na mageuzi ya kidijitali kupitia simu ya mkononi
Dar es Salaam. Katika dunia inayoendeshwa kwa kasi kubwa ya mageuzi ya teknolojia, taasisi za fedha zimeanza kubadili mifumo ya utoaji huduma kutoka ile ya kawaida kwenda majukwaa ya kidijitali yanayokidhi mahitaji ya wateja wa kizazi kipya. Ili kuendana na mabadiliko hayo, Benki ya NMB imezindua NMB Mkononi Super App, hatua inayotafsiriwa kama jibu la…
Latest News
About the Author
Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

Search the Archives
Access over the years of investigative journalism and breaking reports
You May Have Missed











