MANGI AKIPATA UFAFANUZI WA HUDUMA ZA OWM-KAZI KATIKA MAONESHO YA UTUMISHI WA UMMA 2026 – Habari Mpya

Mkurugenzi wa Mawasiliano Serikalini, Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Bw. Eleuter Mangi (kulia), akipata maelezo kuhusu huduma zinazotolewa na Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano kutoka kwa Afisa Sheria wa Ofisi hiyo, Bw. Gerald Mziray. Hafla hii imefanyika Juni 19, 2026 katika Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma,…

admin Avatar

by

1 minute

Read Time

Mkurugenzi wa Mawasiliano Serikalini, Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Bw. Eleuter Mangi (kulia), akipata maelezo kuhusu huduma zinazotolewa na Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano kutoka kwa Afisa Sheria wa Ofisi hiyo, Bw. Gerald Mziray. Hafla hii imefanyika Juni 19, 2026 katika Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma, Viwanja vya Chinangali, Dodoma.

 

About the Author

About the Author

Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

BlockSpare — News, Magazine and Blog Addons for (Gutenberg) Block Editor

Search the Archives

Access over the years of investigative journalism and breaking reports