RAIS DKT. SAMIA NA MGENI WAKE RAIS DKT. NETUMBO NDAITWAH WA NAMIBIA IKULU DAR ES SALAAM – Habari Mpya

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Namibia Mhe. Dkt. Netumbo Nandi-Ndaitwah wakati wakipokea heshima ya Wimbo wa Taifa katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 20 Juni, 2026 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia…

admin Avatar

by

1 minute

Read Time

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Namibia Mhe. Dkt. Netumbo Nandi-Ndaitwah wakati wakipokea heshima ya Wimbo wa Taifa katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 20 Juni, 2026

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Namibia Mhe. Dkt. Netumbo Nandi-Ndaitwah baada ya kuwasili katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam kwa Ziara ya Kitaifa, tarehe 20 Juni, 2026.

About the Author

About the Author

Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

BlockSpare — News, Magazine and Blog Addons for (Gutenberg) Block Editor

Search the Archives

Access over the years of investigative journalism and breaking reports