RAIS WA NAMIBIA DKT. NETUMBO NDAITWAH AKIKAGUA GWARIDE IKULU – Habari Mpya

Rais wa Jamhuri ya Namibia, Mheshimiwa Dkt. Netumbo Nandi-Ndaitwah ambaye yuko katika ziara ya kitaifa nchini Tanzania akikagua gwaride lililoandaliwa kwa heshima yake mara baada ya kuwasili ikulu jijini Dar es Salaam ambapo alipokelewa na Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Juni 20, 2026. Rais wa Jamhuri…

admin Avatar

by

1 minute

Read Time

Rais wa Jamhuri ya Namibia, Mheshimiwa Dkt. Netumbo Nandi-Ndaitwah ambaye yuko katika ziara ya kitaifa nchini Tanzania akikagua gwaride lililoandaliwa kwa heshima yake mara baada ya kuwasili ikulu jijini Dar es Salaam ambapo alipokelewa na Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Juni 20, 2026.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Namibia, Mheshimiwa Dkt. Netumbo Nandi-Ndaitwah ambaye yuko katika ziara ya kitaifa nchini Tanzania  wakipokea heshima ya wimbo wa taifa mara baada ya kuwasili ikulu jijini Dar es Salaam Juni 20, 2026

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiongozana na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Namibia, Mheshimiwa Dkt. Netumbo Nandi-Ndaitwah ambaye yuko katika ziara ya kitaifa nchini Tanzania baada ya kumpokea alipowasili ikulu jijini Dar es Salaam Juni 20, 2026

About the Author

About the Author

Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

BlockSpare — News, Magazine and Blog Addons for (Gutenberg) Block Editor

Search the Archives

Access over the years of investigative journalism and breaking reports