VODACOM NA TCDC WAUNGANA KUHARAKISHA MAGEUZI YA KIDIJITALI KATIKA VYAMA VYA USHIRIKA – Habari Mpya

 Mkurugenzi wa Biashara wa Vodacom Tanzania Bw. Nguvu Kamando (wa pili kulia), akikabidhi moja ya kompyuta mpakato kati ya 35 zilizokabidhiwa kwa Mrajisi wa Vyama Vya ushirika Dk. Benson Ndiege (wa pili kushoto) wakati wa utiaji saini makubalino kati yao. Hafla hiyo imefanyika mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam baada ya taasisi hizo mbili…

admin Avatar

by

1 minute

Read Time

 Mkurugenzi wa Biashara wa Vodacom Tanzania Bw. Nguvu Kamando (wa pili kulia), akikabidhi moja ya kompyuta mpakato kati ya 35 zilizokabidhiwa kwa Mrajisi wa Vyama Vya ushirika Dk. Benson Ndiege (wa pili kushoto) wakati wa utiaji saini makubalino kati yao. Hafla hiyo imefanyika mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam baada ya taasisi hizo mbili kuingia makubaliano ya matumizi ya kidijitali kwa vyama vya ushirika kupitia jukwaa la M-kulima, makao makuu ya Vodacom Tanzania jijini Dar es salaam. Tukio hilo lilishuhudiwa na Mkuu wa Idara ya Mifumo ya Kidijitali wa Vodacom Tanzania Bi. Yvone Bayona (kulia) na Naibu Mrajisi wa Vyama Vya Ushirika Bw. Collins Nyakunga.

 Mkurugenzi wa Biashara wa Vodacom Tanzania Bw. Nguvu Kamando (wa pili kulia) pamoja na Mrajisi wa Vyama Vya ushirika nchini Dk. Benson Ndiege (wa pili kushoto) wakisaini makubaliano ya matumizi ya kidijitali kwa vyama vya ushirikia kupitia jukwaa la M-Kulima la kampuni ya Vodacom Tanzania PLC. Tukio hilo lilishuhudiwa na Mkuu wa Idara ya Mifumo ya Kidijitali wa Vodacom Tanzania Bi. Yvone Bayona (kulia) na Naibu Mrajisi wa Vyama Vya Ushirika Bw. Collins Nyakunga.

About the Author

About the Author

Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

BlockSpare — News, Magazine and Blog Addons for (Gutenberg) Block Editor

Search the Archives

Access over the years of investigative journalism and breaking reports