WASIRA AWASILI KILIMANJARO, KWA ZIARA YAKE YA KIKAZI – Habari Mpya

Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa, Ndugu Stephen Wasira, amewasili leo mkoani Kilimanjaro kwa ziara rasmi ya kikazi ya siku 5 Mkoani humo. Ndg Wasira amepokelewa na viongozi mbalimbali wa chama wakiongozwa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kilimanjaro, Ndugu Patrick Boisafi, alipowasili Katika Ofisi za CCM Mkoani hapo Kwa mujibu wa ratiba iliyotolewa, Ndugu Wasira…

admin Avatar

by

1 minute

Read Time

Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa, Ndugu Stephen Wasira, amewasili leo mkoani Kilimanjaro kwa ziara rasmi ya kikazi ya siku 5 Mkoani humo.

Ndg Wasira amepokelewa na viongozi mbalimbali wa chama wakiongozwa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kilimanjaro, Ndugu Patrick Boisafi, alipowasili Katika Ofisi za CCM Mkoani hapo

Kwa mujibu wa ratiba iliyotolewa, Ndugu Wasira anatarajiwa kukutana na kuzungumza na viongozi na wanachama wa CCM ngazi zote ndani ya mkoa huo. Lengo ni kuimarisha mshikamano na kupata uelewa wa changamoto zinazowakabili.

Kilele cha ziara hiyo kitakuwa tarehe 8 Juni, 2026 ambapo anatarajiwa kuongoza mkutano wa hadhara na wananchi wa Wilaya ya Same.

About the Author

About the Author

Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

BlockSpare — News, Magazine and Blog Addons for (Gutenberg) Block Editor

Search the Archives

Access over the years of investigative journalism and breaking reports