DCF NZALAYAIMISI ATEMBELEA BANDA WIZARA MAMBO YA NJE: ATOA PONGEZI

Na: Charles Kuzenza Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano kwa Umma, Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Naibu Kamishna (DCF) Puyo Nzalayaimisi ametembelea Banda la Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kwa lengo la kujionea shughuli zinazofanywa na Wizara hiyo kwenye Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea Jijini Dodoma…

admin Avatar

by

1 minute

Read Time

Na: Charles Kuzenza

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano kwa Umma, Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Naibu Kamishna (DCF) Puyo Nzalayaimisi ametembelea Banda la Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kwa lengo la kujionea shughuli zinazofanywa na Wizara hiyo kwenye Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea Jijini Dodoma Juni 19, 2026

DCF Nzalayaimisi ameishukuru Wizara hiyo kwa kuendelea kuliunganisha Jeshi hilo na Mahusiano mbalimbali ya Kimataifa na Mashirika ya Nje ambapo Maafisa na Askari wameweza kufaidika na mafunzo mbalimbali

About the Author

About the Author

Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

BlockSpare — News, Magazine and Blog Addons for (Gutenberg) Block Editor

Search the Archives

Access over the years of investigative journalism and breaking reports