Author: admin
-

75 wakamatwa Tanga katika operesheni maalumu za Polisi
Tanga. Watu 75 wamekamatwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga kufuatia msako maalumu uliofanyika katika maeneo mbalimbali, ikiwa ni sehemu ya kuimarisha usalama wa raia na mali zao. Akizungumza na waandishi wa habari, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Almachius Mchunguzi, amesema kukamatwa kwa watuhumiwa hao kumetokana na operesheni zilizoendeshwa kuanzia Mei hadi Juni…
-
WAZIRI KIJAJI AZINDUA MATOKEO YA SENSA YA KITAIFA YA WANYAMAPORI JIJINI ARUSHA – Habari Mpya
Na Happy Lazaro, Arusha Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Ashatu Kijaji, ameitaka Wizara ya Maliasili na Utalii, Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) pamoja na wadau wa uhifadhi kutumia matokeo ya Sensa ya Kitaifa ya Wanyamapori kufanya tathmini ya kina kuhusu hali ya swala twiga ili kubaini sababu za kupungua kwa idadi ya…
-

Mawakili walivyochuana mahakamani kesi ya ubunge wa Baba Levo
Kigoma. Wakili wa walalamikaji katika kesi ya uchaguzi wa Jimbo la Kigoma Mjini, John Seka ameieleza Mahakama kuwa, walalamikaji wameshindwa kuwasilisha kwa wakati maelezo ya mashahidi wao kutokana na kupewa muda mfupi. Wakili Seka amebainisha hayo leo Juni 18, 2026, wakati wa usikilizwaji wa maombi madogo ya nyongeza ya muda wa kuwasilisha maelezo hayo yaliyowasilishwa…
-

VYOMBO VYA HABARI VILINDE MASLAHI YA WATOTO KATIKA UTOAJI WA TAARIFA – Habari Mpya
Na John Bukuku, Dar es Salaam Waandishi, watangazaji na waandaji wa vipindi vya watoto wametakiwa kuzingatia maadili na kanuni za kitaaluma katika kuripoti masuala ya watoto ili kulinda usalama, haki na ustawi wao. Akizungumza wakati wa kuwasilisha mada katika mafunzo ya siku mbili kwa waandaji na watangazaji wa vipindi vya watoto kuhusu malezi yaliyofanyika…
-

HADI SASA TANZANIA HAINA MGONJWA WA EBOLA – Habari Mpya
Na. Meleka Kulwa-Fullshangwe Blog, Dodoma Waziri wa Afya, Mhe. Mohamed Mchengerwa, amesema kuwa hadi sasa Tanzania haina mgonjwa wa Ebola na hali ya usalama wa afya nchini inaendelea kuwa nzuri licha ya tishio la ugonjwa huo katika nchi jirani za Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na Uganda. Akizungumza na waandishi Juni 17,2026 Jijini Dodoma…
-

Msajili atoa kauli sakata la mamilioni ya ruzuku Chadema
Dar es Salaam. Wakati Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kikidai kuzuiwa ruzuku yake ya Sh500 milioni, Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imekitaka chama hicho kiache kulalamika, kisubiri taratibu. Ofisi hiyo imefafanua kuwa mchakato wa kushughulikia fedha hizo unaendelea kwa mujibu wa taratibu zilizowekwa, baada ya chama hicho kuwasilisha barua ya kuomba fedha…
-

Rais wa Namibia kufanya ziara ya kitaifa Tanzania
Dar es Salaam. Rais wa Namibia, Dk Netumbo Nandi-Ndaitwah, anatarajiwa kuwasili nchini Tanzania kesho Ijumaa, Juni 19, 2026, kwa ziara ya kitaifa yenye lengo la kuimarisha uhusiano wa kihistoria na ushirikiano kati ya mataifa hayo mawili. Ziara hiyo itakuwa ya pili kwa Rais Nandi-Ndaitwah kutembelea Tanzania tangu alipoingia madarakani Desemba 2024 hatua inayotajwa kuendelea kuimarisha…
-

SAFARI YA NETUMBO NA URAFIKI WA TANZANIA NA NAMIBIA – Habari Mpya
Rais wa Jamhuri ya Namibia, Mhe. Dkt. Netumbo Nandi-Ndaitwah akisalimiana na Bi. Salama Salehe Ghulum (Mama Salehe) na Bi. Rafran Ismail Khan ambao walikuwa majirani zake wakati akiishi Magomeni Mikumi Jijini Dar es Salaam katika miaka ya 1980s. Mhe. Rais Dkt. Nandi-Ndaitwah alikutana na jirani yake huyo wa siku nyingi katika hafla ya chakula cha…
-

Safari ya uzazi wa watoto wengi na nafasi ya Tanzania
Dar es Salaam. Furaha, mshangao na matumaini vilitawala katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) Juni 13, 2026, wakati Victoria Mkwizu, mkazi wa Tabata jijini Dar es Salaam, alipojifungua watoto watano kwa njia ya kawaida. Ni tukio ambalo si tu limeandika historia mpya kwa familia hiyo, bali pia limeiweka Tanzania kwenye ramani ya matukio adimu ya…
-

SERIKALI YAIMARISHA USIMAMIZI WA MIRADI YA UMWAGILIAJI ILI KUONGEZA UWAJIBIKAJI, UFANISI NA THAMANI YA FEDHA – Habari Mpya
Nirc: Dodoma Serikali imeendelea kusisitiza uwajibikaji, ufanisi na thamani ya fedha katika utekelezaji wa miradi ya Umwagiliaji na kuimarisha usimamizi wa miradi kwa mfumo wa Washauri Elekezi. Akizungumza jijini Dodoma, wakati wa kufunga kikao kazi Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo Bw. Gerald Mweli amesema Serikali imewekeza kwa kiwango kikubwa katika sekta ya Umwagiliaji ,…
Latest News
About the Author
Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

Search the Archives
Access over the years of investigative journalism and breaking reports
You May Have Missed













