Author: admin

  • SERIKALI YAIMARISHA USIMAMIZI WA MIKOPO YA WAFANYABIASHARA NDOGONDOGO – Habari Mpya

    SERIKALI YAIMARISHA USIMAMIZI WA MIKOPO YA WAFANYABIASHARA NDOGONDOGO – Habari Mpya

    Na Jackline Minja, WMJWM- Dodoma Serikali imeendelea kuimarisha mfumo wa usimamizi wa mikopo yenye masharti nafuu inayotolewa kwa wafanyabiashara ndogondogo ili kuhakikisha fedha hizo zinawanufaisha walengwa na kudhibiti upotevu wa fedha za umma. Kauli hiyo imetolewa Juni 18, 2026 bungeni na Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Mhandisi Maryprisca…

    Continue Reading

  • CCM yatoa neno mradi wa umwagiliaji Mgambalenga

    CCM yatoa neno mradi wa umwagiliaji Mgambalenga

    IRINGA: KATIBU wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi amegiza kusiwe na pngezeko la muda wa kutekeleza mradi wa Umwagiliaji wa Mgambalenga ili wakulima waanze kunufaika nao. Kihongosi ametoa agizo hilo leo Juni 18,2026 alipotembelea na kukagua utekelezaji w amradi huo unaojengwa katika Kijiji cha Mtandika, Kata ya Ruaha…

    Continue Reading

  • Serikali yahimiza tahadhari ya Ebola, yasema Tanzania ni salama

    Serikali yahimiza tahadhari ya Ebola, yasema Tanzania ni salama

    DODOMA; Wizara ya Afya imehimiza Watanzania kuendelea kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa wa Ebola huku ikisisitiza kuwa bado Tanzania ni salama na wageni kutoka mataifa mengine waje bila hofu. Waziri wa Afya, Mohammed Mchengerwa alibainisha hayo jijini Dodoma alipotoa taarifa kwa kikosi kazi cha wanahabari kuhusu mwenendo wa tishio la ugonjwa wa Ebola na hatua…

    Continue Reading

  • Kihongosi awataka wananchi kuwaunga mkono viongozi

    Kihongosi awataka wananchi kuwaunga mkono viongozi

    IRINGA: Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapunduzi (CCM), Kenani Kihongosi amewataka wananchi wa Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa kuendelea kushirikiana na kuwaunga mkono viongozi wao ili kuharakisha maendeleo ya eneo hilo. Kihongosi amesema hayo leo Juni 18,2026 aliposhiriki kikao cha shina namba 10 Kata ya Ruaha Mbuyuni, Kilolo…

    Continue Reading

  • Pengo kukosekana sheria ya bajeti Zanzibar latajwa

    Pengo kukosekana sheria ya bajeti Zanzibar latajwa

    Unguja. Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imekiri kuwapo pengo la kutokuwepo kwa sheria mahususi ya bajeti kwa muda mrefu inayoongoza usimamizi wa mzunguko mzima wa bajeti. Pamoja na mambo mengine, sheria hiyo ingetambua na kutaja majukumu na mipaka ya wahusika mbalimbali, ikiwa ni pamoja na kamati ya bajeti ya Baraza la Wawakilishi na wadau wengine.…

    Continue Reading

  • Mawakili waanza kuchuana kesi ya ubunge wa Baba Levo

    Mawakili waanza kuchuana kesi ya ubunge wa Baba Levo

    Kigoma. Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Kigoma imeanza kusikiliza maombi ya nyongeza ya muda wa kuwasilisha maelezo ya mashahidi wa walalamikaji katika kesi ya uchaguzi wa Jimbo la Kigoma Mjini. Kesi hiyo imefunguliwa na wananchi wanne, Johary Kabourou, Loum Mwitu, Pendo Kombolela na Luma Akilimali dhidi ya Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Kigoma Mjini, mbunge…

    Continue Reading

  • WAZIRI MKUU AAGIZA USIMAMIZI MZURI WA MITAMBO YA UCHIMBAJI VISIMA – Habari Mpya

    WAZIRI MKUU AAGIZA USIMAMIZI MZURI WA MITAMBO YA UCHIMBAJI VISIMA – Habari Mpya

    *Awataka watendaji kuacha mazoea katika utekelezaji wa majukumu. WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka watendaji wa Wizara ya Maji pamoja na Wakuu wa Mikoa wasimamie vizuri mitambo ya uchimbaji visima ili iweze kufanya kazi iliyokusudiwa. Amesema Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan alinunua mitambo ya uchimbaji wa visima hivyo watendaji wachukue hatua na waache kufanya…

    Continue Reading

  • Uzalishaji viazi mviringo wapaisha mapato ya Halmashauri Rungwe

    Uzalishaji viazi mviringo wapaisha mapato ya Halmashauri Rungwe

    Mbeya. Uzalishaji wa zao la viazi mviringo katika Wilaya ya Rungwe umeendelea kuimarika, ukipanda kutoka tani 507,211 hadi tani 618,278.6 ndani ya miaka mitatu, ongezeko linalotokana na kupanuka kwa maeneo ya kilimo na matumizi ya teknolojia za kisasa. Akizungumza leo Juni 18, 2026, Ofisa Kilimo, Mifugo na Uvuvi wa Wilaya ya Rungwe, Adam Nkhangaa, amesema…

    Continue Reading

  • Wananchi 850+ Katavi wapatiwa matibabu bure

    Wananchi 850+ Katavi wapatiwa matibabu bure

    KATAVI: Zaidi ya wananchi 850 waliokuwa wakisumbuliwa na maradhi mbalimbali wamepatiwa huduma za matibabu na uchunguzi wa afya bila malipo kupitia kambi maalumu ya afya iliyoendeshwa na Taasisi isiyo ya Kiserikali ya Empower Society Build the Nation (ESBN) mkoani Katavi. Kambi hiyo ya siku saba imehitimishwa jana baada ya kutoa huduma mbalimbali za kibingwa ikiwemo…

    Continue Reading

  • MOI kuanzisha benki ya mifupa

    DAR ES SALAAM: TAASISI ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) inatarajia kuanzisha benki ya mifupa ambayo itakidhi mahitaji na kuwasaidia watu ambao wamepoteza mifupa kutokana na ajali au sababu zingine. Akizungumza jijini Dar es Salaam katika uzinduzi wa maadhimisho ya miaka 30 ya utoaji huduma za kibingwa na ubingwa bobezi, Mkurugenzi wa MOI,…

    Continue Reading

About the Author

Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

BlockSpare — News, Magazine and Blog Addons for (Gutenberg) Block Editor

Search the Archives

Access over the years of investigative journalism and breaking reports