Author: admin
-

Msajili: Hatuionei Chadema, tunataka sheria iheshimiwe
Dar es Salaam. Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa, Sisty Nyahoza amesema Ofisi hiyo haikionei Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), bali inasimamia utekelezaji wa sheria ya vyama vya siasa bila upendeleo kwa chama chochote. Amesema wingi wa barua inazokiandikia Chadema kuhitaji maelezo kuhusu kauli za viongozi wake hauwezi kutumika kama kigezo cha kuonyesha kuwa…
-

Wawakilishi wahoji usalama taarifa za Serikali Zanzibar
Unguja. Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wamehoji usalama wa Taifa na taarifa za Serikali kutokana na matumizi ya mifumo ambayo inaundwa na inamilikiwa na kampuni kutoka mataifa mengine. Hayo yamebanishwa leo Juni mosi, 2026 wakati wakijadili makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Mawasiliano, Teknolojia ya Habari na Ubunifu Barazani Chukwani, Unguja Zanzibar. Akichangia…
-

Wanne wafariki 29 wajeruhiwa ajali ya basi Mbeya
Mbeya. Watu wanne wamefariki dunia na wengine 29 kujeruhiwa katika ajali iliyotokea eneo la Maji Mazuri katika barabara ya Mbeya – Chunya ikihusisha basi la kampuni ya Mwasote. Hii ni ajali ya pili kutokea ndani ya wiki moja, ambapo awali ilitokea wilayani Mbarali Mei 30 iliyoua watatu na kujeruhi wanne ikihusisha magari mawili basi la…
-

Takukuru yakirejeshea mali kikundi cha Asante Mbeya Project ikitoa onyo
Mbeya. Wakati Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa (Takukuru) Mkoa wa Mbeya ikirejesha mali za kikundi cha Asante Mbeya Project zenye thamani ya Sh150 milioni, wananchi wametakiwa kabla ya kujiunga na vikundi vya umoja kuhakikisha vimesajiliwa kwa mujibu wa sheria. Akizungumza leo Juni Mosi, 2026 ofisini kwake, Naibu Mkuu wa Takukuru Mkoa wa Mbeya,…
-

Tanzania kuchukua teknolojia zilizoisha muda wa umiliki duniani
Dar es Salaam. Tanzania imepiga hatua ya kuchukua teknolojia zilizokwisha muda wa umiliki katika nchi nyingine ili kuja kusaidia jamii katika maeneo ya uzalishaji ili kukuza uchumi wa mtu mmoja mmoja na Taifa kiujumla. Hatua hiyo inafuatia ushirikiano na Shirika la Miliki Ubunifu Duniani (WIPO), ambapo utekelezaji umeanza kupitia mradi wa kwanza wa teknolojia ya…
-

Wabuni mfumo wa kidijitali kugeuza taka kuwa fursa za kiuchumi
Arusha. Kundi la wanafunzi sita wa kidato cha tano kutoka Shule ya Sekondari ya Arusha Sayansi wamebuni mfumo wa kidijitali wa kibiashara unaowaunganisha wakusanya taka na warejelezaji wa taka kimtandao. Mfumo huo unaoitwa “Cyclo- Geuza Taka Kuwa Utajiri” ni soko la kidijitali na mfumo wa usimamizi wa taka unaowaunganisha wazalishaji wa taka, wakusanyaji na kampuni…
-

TANZANIA YAENDELEA KUNG’ARA KIMATAIFA; SEKTA YA AFYA KINYWA NA MENO – Habari Mpya
Na Atley Kuni, WAF-Dar es Salaam Washiriki wa Maonesho ya Kimataifa ya Bidhaa za Kinywa na Meno Tanzania kutoka Mataifa mbalimbali duniani wameisifu Tanzania kwa ukarimu, mapokezi mazuri na ushirikiano wa hali ya juu walioupata katika kipindi chote cha maonesho hayo yaliyofanyika nchini. Washiriki hao wamesema mazingira rafiki yaliyoandaliwa yamechangia mafanikio makubwa ya maonesho na…
-

Haya hapa majina waliopangiwa kidato cha tano, vyuo
Dar es Salaam. Wanafunzi 246,197 wakiwemo wasichana 114,102 na wavulana 132,095 wamechaguliwa kujiunga na kidato cha tano na vyuo vya elimu ya ufundi mwaka 2026. Kati ya wanafunzi hao 631 ni wenye mahitaji maalumu. Idadi hiyo ni ongezeko kidogo ikilinganishwa na wanafunzi 214,141 waliochaguliwa kujiunga kidato cha tano na vyuo vya ufundi mwaka jana ambapo…
-

RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE AWASILI UFARANSA KUONGOZA VIKAO VYA BODI YA GPE
Paris, Ufaransa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, amewasili leo nchini Ufaransa kwa ziara ya kikazi ya kushiriki na kuongoza vikao vya Bodi ya Global Partnership for Education (GPE), taasisi ya kimataifa inayojihusisha na maendeleo ya elimu duniani, ambako anahudumu kama Mwenyekiti wa Bodi. Mhe.…
-

Msigwa: Hakuna ruzuku ya mafuta kwa sasa, bei itashuka
Morogoro. Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema hakuna ruzuku ya mafuta kwa sasa kwa kuwa bei kwenye soko la dunia imeanza kushuka kutoka Dola za Marekani 122 milioni hadi kufikia Dola 87 milioni kwa pipa moja, hivyo bei ya mafuta nchini itashuka. Msigwa ameyasema hayo leo Juni Mosi, 2026 alipokuwa akizungumza na waandishi wa…
Latest News
About the Author
Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

Search the Archives
Access over the years of investigative journalism and breaking reports
You May Have Missed











