Author: admin

  • Timu maalumu kuchunguza uvunjaji wa nyumba Kigombe

    Timu maalumu kuchunguza uvunjaji wa nyumba Kigombe

    TANGA: Uongozi wa Mkoa wa Tanga umeunda timu maalumu kwa ajili ya kufuatilia kwa kina tukio la ubomoaji wa nyumba 67 katika eneo la Kigombe,katika kijiji cha Msakangoto, kilichotokea Mei 22, 2026 Hatua hiyo imekuja kufuatia madai kuwa ubomoaji huo ulifanywa na dalali wa mahakama bila kufuata taratibu stahiki, ikiwemo kutoshirikisha Jeshi la Polisi, wala…

    Continue Reading

  • Tume kuchunguza uvunjaji wa nyumba Kigombe

    Tume kuchunguza uvunjaji wa nyumba Kigombe

    TANGA: Uongozi wa Mkoa wa Tanga umeunda timu maalumu kwa ajili ya kufuatilia kwa kina tukio la ubomoaji wa nyumba 67 katika eneo la Kigombe,katika kijiji cha Msakangoto, kilichotokea Mei 22, 2026 Hatua hiyo imekuja kufuatia madai kuwa ubomoaji huo ulifanywa na dalali wa mahakama bila kufuata taratibu stahiki, ikiwemo kutoshirikisha Jeshi la Polisi, wala…

    Continue Reading

  • Ebola tishio DRC, wagonjwa waongezeka kwa kasi

    Ebola tishio DRC, wagonjwa waongezeka kwa kasi

    Dar es Salaam. Wakati Baraza la Sekta ya Afya la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) likitarajia kukutana leo Juni 1 na 2, 2026 kujadili hatua za kikanda za kukabiliana na Ebola, imeelezwa kuwa maambukizi ya ugonjwa huo nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) yanaongezeka kwa kasi na kufikia kiwango cha kutia hofu. Shirika la…

    Continue Reading

  • Dk Gwajima aeleza mafanikio ukatili wa kingono

    Dk Gwajima aeleza mafanikio ukatili wa kingono

    DODOMA: Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dk. Dorothy Gwajima, amesema kuwa takwimu zinaonesha kupungua kwa matukio ya ukatili wa kingono nchini, ingawa wanawake bado wanaendelea kuwa waathirika wakuu wa vitendo hivyo.‎‎Akiwasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2026/2027 leo Juni 1, 2026, bungeni jijini…

    Continue Reading

  • Dodoma ilivyogeuka kitovu cha uwekezaji wa majengo ya biashara

    Dodoma ilivyogeuka kitovu cha uwekezaji wa majengo ya biashara

    Dar es Salaam. Dodoma ya leo sio ya jana. Ndiyo maneno unayoweza kuyatumia kuonyesha kasi ya mabadiliko ya jiji hilo, kutoka kuwa makao ya watumishi wa umma na Serikali, hadi kuwa kitovu cha uwekezaji wa majengo ya biashara. Sio ongezeko la uwekezaji tu, hata kodi za upangishaji wa majengo ya biashara zimepanda maradufu na kuifanya…

    Continue Reading

  • Ebola yawa tishio DRC, wagonjwa waongezeka kwa kasi

    Ebola yawa tishio DRC, wagonjwa waongezeka kwa kasi

    Dar es Salaam. Wakati Baraza la Sekta ya Afya la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) likitarajia kukutana leo Juni 1 na 2, 2026 kujadili hatua za kikanda za kukabiliana na Ebola, imeelezwa kuwa maambukizi ya ugonjwa huo nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) yanaongezeka kwa kasi na kufikia kiwango cha kutia hofu. Shirika la…

    Continue Reading

  • Muungano wa bodi kuleta mageuzi sekta ya mifugo

    Muungano wa bodi kuleta mageuzi sekta ya mifugo

    IRINGA: Serikali imetangaza mpango wa kuunganisha Bodi ya Maziwa na Bodi ya Mifugo ili kuongeza ufanisi katika usimamizi wa sekta ya mifugo na maziwa nchini, hatua inayotarajiwa kuleta mageuzi katika uzalishaji, usindikaji na masoko ya maziwa kwa manufaa ya wafugaji na uchumi wa taifa. Akizungumza wakati wa ufunguzi wa Wiki ya 29 ya Maadhimisho ya…

    Continue Reading

  • Kihongosi awasili Manyara ziara ya kikazi

    Kihongosi awasili Manyara ziara ya kikazi

    MANYARA: KATIBU wa NEC Itikadi Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Kenani Kihongosi leo Juni Mosi,2026 amewasili katika Mkoa wa Manyara kwa ajili ya kuendelea na ziara yake ya Kikazi katika mikoa ya Kanda ya Kaskazini. Mkoa wa Manyara ni mkoa wa 11 Kihongosi kutembelea katika ziara zake za kukagua uhai wa…

    Continue Reading

  • VIWANDA NA UONGEZAJI THAMANI NI KIPAUMBELE, ILI KUJENGA UCHUMI JUMUISHI – Habari Mpya

    VIWANDA NA UONGEZAJI THAMANI NI KIPAUMBELE, ILI KUJENGA UCHUMI JUMUISHI – Habari Mpya

    Na John Bukuku, Dar es Salaam Kwa miaka mingi Tanzania imekuwa ikishuhudia ukuaji wa uchumi unaoonekana kwenye takwimu za kitaifa, ongezeko la miundombinu, huduma za kijamii na uwekezaji katika sekta mbalimbali za uzalishaji. Hata hivyo, pamoja na mafanikio hayo, mjadala ulioendelea kuwepo ni iwapo ukuaji huo umefanikiwa kubadilisha maisha ya wananchi wengi kwa kiwango kinachotarajiwa.…

    Continue Reading

  • Mradi wa Nyegedi ulivyokwama kwa miaka mitano, waacha maumivu

    Mradi wa Nyegedi ulivyokwama kwa miaka mitano, waacha maumivu

    Lindi/Mtwara. Licha ya Serikali kujinasibu kuendeleza vituo vya ukuzaji viumbe maji katika matamko yanayojirudia miaka kadhaa, uhalisia wa utekelezaji wake, hususan katika Mradi wa Nyengedi ulioko wilayani Mtama Mkoa wa Lindi, hauakisi hayo. Akiwasilisha bungeni mpango wa mapato na makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwa mwaka 2021/2022, aliyekuwa Waziri…

    Continue Reading

About the Author

Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

BlockSpare — News, Magazine and Blog Addons for (Gutenberg) Block Editor

Search the Archives

Access over the years of investigative journalism and breaking reports