Author: admin
-

UONGOZI WA TAGCO MGUU SAWA MAANDALIZI YA TAGCO AGM 2026 – Habari Mpya
Uongozi wa Chama cha Maafisa Mawasiliano wa Serikali (TAGCO) ukiongozwa na Mwenyekiti wake Bw. Karimu Meshack umewasili jijini Mwanza kwa ajili ya maandalizi ya Mkutano mkuu wa Mwaka wa TAGCO unaotarajiwa kufanyika Jijini Mwanza kuanzia tarehe 1-5 Juni, 2026. Ukiwa Jijini Mwanza uongozi huo umemtembelea mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda kwa lengo…
-
RUVUMA YAANZA MAPINDUZI YA MICHEZO SHULENI – Habari Mpya
Na Albano Midelo Baada ya kushika nafasi ya 25 kati ya mikoa 26 katika mashindano ya UMITASHUMTA mwaka uliopita, Mkoa wa Ruvuma sasa umeanza rasmi operesheni kubwa ya kurejesha heshima yake kwenye ramani ya michezo ya shule nchini Tanzania kupitia maandalizi mapya, kambi maalumu na uwekezaji wa muda mrefu katika vipaji vya vijana. Uzinduzi wa…
Latest News
About the Author

AF themes
Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

Search the Archives
Access over the years of investigative journalism and breaking reports

















