Author: admin
-

MAKAMU WA RAIS AWASILI CHATO – KUMWAKILISHA RAIS MAZISHI YA BI SUZANA MAGUFULI – Habari Mpya
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akisaini kitabu cha maombolezo kufuatia kifo cha Bi. Suzana Magufuli ambaye ni Mama wa aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, wakati alipowasili Kilimani Wilayani Chato leo tarehe 29 Mei 2026…
-

Serikali yasisitiza mifumo imara ya mbegu kwa usalama wa chakula
Dodoma. Naibu Waziri wa Kilimo, David Silinde amesema hakuna kilimo chenye tija bila uwepo wa mbegu bora pamoja na mifumo imara ya uzalishaji na usambazaji wa mbegu kwa wakulima. Silinde amesema hayo leo Alhamisi Mei 28, 2026 jijini Dodoma wakati akifungua mkutano wa mwaka wa wadau wa tasnia ya mbegu nchini uliojadili namna ya kuimarisha…
-

Kenani kuanza ziara Kaskazini, CCM Kilimanjaro yaeleza sababu ya kurejea baada ya miaka 25
Moshi. Chama cha Mapinduzi (CCM) kimesema kimejipanga kuendelea kuhudumia wananchi wa Mkoa wa Kilimanjaro kupitia utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo na kusikiliza kero zao. Chama hicho kimeeleza kuwa tangu kuanza kwa mfumo wa vyama vingi mwaka 1995, baadhi ya majimbo ya mkoa huo yalichukuliwa na vyama vya upinzani, ikiwemo Jimbo la Moshi Mjini. Hayo…
-

Ardhi yaja na vipaumbele vya kumaliza migogoro ya ardhi
Dodoma. Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imetaja vipaumbele vinane katika utekelezaji wa bajeti ya Sh210.3 bilioni huku utatuzi wa migogoro ukitajwa kila eneo. Waziri wa Wizara hiyo, Dk Leonard Akwilapo ametoa kauli hiyo leo Alhamisi Mei 28, 2026 wakati akiwasilisha bajeti yake mbele ya Bunge na akataja maagizo ya Waziri Mkuu katika…
-

PROF. NOMBO AIPONGEZA ADEM KWA MPANGO WA MAFUNZO YA KITAIFA KWA WAKUU WA SHULE NCHINI – Habari Mpya
SERIKALI imezindua rasmi Mpango wa Mafunzo ya Uongozi na Usimamizi wa Elimu kwa Wakuu wa Shule za Sekondari na Maafisa Elimu Kata nchini, hatua inayolenga kuimarisha ufanisi wa uongozi wa shule, usimamizi wa ufundishaji na ujifunzaji pamoja na kuimarisha ubora wa elimu nchini.Akizungumza wakati wa uzinduzi huo Mei 28, 2026 mkoani Mwanza Katibu Mkuu wa…
-

Serikali yazindua mpango mafunzo ya uongozi
MWANZA :SERIKALI imezindua rasmi Mpango wa Mafunzo ya Uongozi na Usimamizi wa Elimu kwa Wakuu wa Shule za Sekondari na Maafisa Elimu Kata nchini, hatua inayolenga kuimarisha ufanisi wa uongozi wa shule, usimamizi wa ufundishaji na ujifunzaji pamoja na kuimarisha ubora wa elimu nchini. Akizungumza wakati wa uzinduzi huo Mei 28, 2026 mkoani Mwanza Katibu…
-

Sh946 milioni zanufaisha vikundi 34 Mbeya vijijini
Mbeya. Zaidi ya Sh946 milioni za mikopo ya asilimia 10 zimetolewa kwa vikundi 34 vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu katika Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya Vijijini. Imeelezwa kuwa awali halmashauri ilipokea maombi kutoka vikundi 55, ambapo 34 ndivyo vilivyofanikiwa kunufaika na mikopo hiyo. Hundi za mikopo hiyo zimekabidhiwa leo Alhamisi Mei 28, 2026…
-
TAKUKURU ILALA YAOKOA MILIONI 57.5 KESI YA UHUJUMU UCHUMI
TAKUKURU ILALA YAOKOA MILIONI 57.5 KESI YA UHUJUMU UCHUMI
-

Matatizo ya Afrika yanaanzia hapa…
Dar es Salaam. Wanazuoni wamesema Afrika imeendelea kukumbwa na matatizo mbalimbali yanayotokana na mvutano wa siasa za kimataifa. Kauli hizo zimekuja katika kipindi ambacho Afrika inaendelea kukabiliwa na migogoro ya kisiasa, utegemezi wa kiuchumi, umaskini, maandamano ya vijana na shinikizo la mataifa makubwa duniani, unaotokana na mivutano inayoendelea katika siasa na uchumi wa dunia. Wakizungumza…
-

Wananchi Mtwara wamkataa mwekezaji, wahofia kuhatarisha shughuli za uvuvi
Mtwara. Hali ya tahadhari, hofu na maswali yasiyo na majibu ndiyo inayotawala katika vijiji vya Mnazi, Milamba na Nalingu vilivyopo Kata ya Nalingu, Wilaya ya Mtwara mkoani Mtwara, kufuatia kuibuka kwa mwekezaji wa kigeni mwenye asili ya China anayetarajia kuanzisha shughuli za kilimo cha mwani katika eneo hilo. Kwa sasa, wananchi wa vijiji hivyo wameungana…
Latest News
About the Author
Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

Search the Archives
Access over the years of investigative journalism and breaking reports
You May Have Missed











