Author: admin

  • MSAJILI WA HAZINA YATOA WITO WA UTAWALA BORA KUIMARISHA UWEKEZAJI WA UMMA – Habari Mpya

    MSAJILI WA HAZINA YATOA WITO WA UTAWALA BORA KUIMARISHA UWEKEZAJI WA UMMA – Habari Mpya

    Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu wa Ofisi ya Msajili wa Hazina, Chacha Marigiri, akiwasilisha mada kuhusu ‘Utawala bora katika mashirika ya Umma na Majukumu ya Ofisi ya Msajili wa Hazina’ katika Mkutano wa Jukwaa la Wenyeviti wa Bodi na Wakuu wa Taasisi za Umma Zanzibar uliofanyika tarehe 24 Mei 2026 katika hoteli ya Golden…

    Continue Reading

  • Wadau wataka mipango ya tabianchi izingatie jinsia

    Wadau wataka mipango ya tabianchi izingatie jinsia

    Dar es Salaam. Wakati dunia ikiendelea kupambana na athari za mabadiliko ya tabianchi, wadau wameonya kuwa vita hiyo haitakuwa na tija iwapo haitazingatia masuala ya kijinsia, hususan haki za afya ya uzazi na mapambano dhidi ya ukatili wa kijinsia. Onyo hilo linakuja wakati tathmini ya mipango ya kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi katika wilaya ya…

    Continue Reading

  • CookFund yachochea mapinduzi ya nishati safi, wanafunzi 62,000 wanufaika

    CookFund yachochea mapinduzi ya nishati safi, wanafunzi 62,000 wanufaika

    Dar es Salaam. Zaidi ya wanafunzi 62,000 nchini wamenufaika na matumizi ya nishati safi ya kupikia kutokana na usakinishaji wa majiko ya kisasa katika shule na taasisi za umma zaidi ya 45, huku idadi ya majiko ikizidi 170. Hatua hiyo imechukuliwa kupitia programu ya CookFund, inayofadhiliwa na Umoja wa Ulaya (EU) na kutekelezwa kwa ushirikiano…

    Continue Reading

  • Mtandao wa siri wa utoaji mimba Dar huu hapa

    Mtandao wa siri wa utoaji mimba Dar huu hapa

    Dar es Salaam. Ndani ya mitaa yenye pilika nyingi ya Jiji la Dar es Salaam, nyuma ya mageti ya bati na nyumba za kupanga zisizohoji wageni wanaoingia na kutoka, kuna mtandao wa siri unaofanya kazi kimya kimya. Hauna bango, leseni wala usajili rasmi. Lakini kwa wasichana na wanawake wengi wanaokabiliwa na ujauzito usiotarajiwa wanaufahamu, huduma…

    Continue Reading

  • Wizara ya Viwanda na Biashara Zanzibar yaja na vipaumbele vitatu

    Wizara ya Viwanda na Biashara Zanzibar yaja na vipaumbele vitatu

    Unguja. Wizara ya Maendeleo ya Viwanda na Biashara imepanga kutekeleza vipaumbele vitatu vinavyolenga kuimarisha sekta hiyo, kutafuta masoko pamoja na kuimarisha mazingira ya ufanyaji biashara na utoaji huduma. Akisoma makadirio ya mapato na matumizi ya bajeti hiyo ya 2026/27 barazani leo Mei 21, 2026, Kaimu Waziri katika wizara hiyo, Shariff Ali Shariff amesema kwa mwaka…

    Continue Reading

  • WAZIRI MKUU AHIMIZA MALEZI YA KIMAADILI NA USHIRIKIANO WA KIJAMII – Habari Mpya

    WAZIRI MKUU AHIMIZA MALEZI YA KIMAADILI NA USHIRIKIANO WA KIJAMII – Habari Mpya

    WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema jamii inapaswa kurejea katika misingi ya malezi ya pamoja na uwajibikaji wa kijamii ili kujenga kizazi chenye maadili, kinachoheshimu viongozi, wazazi pamoja na taasisi za jamii. “Tunataka kujenga jamii inayoguswa na changamoto za wengine. Maadili mema yanaanzia kwenye malezi ya familia na jamii kwa ujumla,” amesema Dkt. Mwigulu. Dkt.…

    Continue Reading

  • Sh65 bilioni kutekeleza vipaumbele 11 Wizara ya Utalii

    Sh65 bilioni kutekeleza vipaumbele 11 Wizara ya Utalii

    Unguja. Wizara ya Utalii na Mambo ya Kale imekuja na vipaumbele 11 ikilenga kuimarisha vivutio vya utalii, kuvihifadhi na kuyaendeleza maeneo ya kihistoria Unguja na Pemba. Ili kutekeleza vipaumbele hivyo, wizara imeomba Baraza la Wawakilishi kuidhinisha Sh65.627 bilioni. Kati ya hizo Sh4.152 bilioni kwa kazi za kawaida, Sh3.948 bilioni kwa ajili ya mishahara na Sh57.525 bilioni kwa utekelezaji wa miradi ya…

    Continue Reading

  • X NA HISENSE KUWAPELEKA WATANZANIA FIFA WORLD CUP 2026 – Habari Mpya

    X NA HISENSE KUWAPELEKA WATANZANIA FIFA WORLD CUP 2026 – Habari Mpya

    Afisa Mtendaji Mkuu wa Mixx, Bi. Angelica Pesha, akizungumza wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni ya “Jimixx FIFA World Cup 2026 na Hisense” iliyofanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Kulia ni Bi. Tahera Karim, Afisa Mkuu wa Uendeshaji – Mars Communications Limited (wauzaji na wasambazaji rasmi wa vifaa vya kielektroniki vya Kampuni ya…

    Continue Reading

  • Teknolojia inavyowanasua vijana janga la ajira

    Teknolojia inavyowanasua vijana janga la ajira

    Dar es Salaam. Wakati ukosefu wa ajira rasmi ukiendelea kuwa miongoni mwa changamoto zinazowakabili vijana nchini, kizazi kipya kimeibuka na mbinu mbadala za kujipatia kipato kupitia mitandao ya kijamii, biashara za mtandaoni na kazi za kujitegemea, hali inayozidi kubadili taswira ya soko la ajira Tanzania. Kuanzia TikTok, Instagram, YouTube hadi WhatsApp, mitandao ya kijamii imekuwa…

    Continue Reading

  • MIRADI YA BARABARA NI UFUNGUO WA UCHUMI WA WANANCHI – Habari Mpya

    MIRADI YA BARABARA NI UFUNGUO WA UCHUMI WA WANANCHI – Habari Mpya

    WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali itaendelea kuwekeza katika miradi ya barabara nchini kwa kuwa ndiyo msingi wa kufungua uchumi, kurahisisha usafirishaji wa mazao na kuchochea maendeleo ya wananchi vijijini na mijini. “Hizi kilomita 17 zilizobaki kuelekea Dabaga ni eneo muhimu sana la uzalishaji, hivyo Serikali itaendelea kuweka mkazo kuhakikisha eneo hilo linafunguliwa kwa…

    Continue Reading

About the Author

Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

BlockSpare — News, Magazine and Blog Addons for (Gutenberg) Block Editor

Search the Archives

Access over the years of investigative journalism and breaking reports