Author: admin

  • Dk Mwigulu atangaza kiama kwa wanaonyang’anya ardhi za watu

    Dk Mwigulu atangaza kiama kwa wanaonyang’anya ardhi za watu

    Dar es Salaam. Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba ametangaza kuwashughulikia ‘wanaokanyaga’ haki za watu hususan sekta ya ardhi huku akiwataka wale wote waliotumia mabavu kunyang’anya warejeshe kwa wanaostahili. Amesema kwenye jamii kuna michezo ya kunyang’anya haki za watu bila kujali huku akiahidi kuwashikisha adabu wote wanaohusika. Dk Mwigulu amesema hayo leo Jumapili Mei 24, 2026…

    Continue Reading

  • Lema apewa jukumu kuiongoza Chadema Kanda ya Kati

    Lema apewa jukumu kuiongoza Chadema Kanda ya Kati

    Dodoma. Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimemteua Godbless Lema kuongoza Kanda ya Kati. Chadema imemtaja Lema kwamba amepewa kazi maalumu ya kuimarisha chama hicho Kanda ya Kati ambacho kwa muda kimekuwa kikisuasua kutokana na kinachotajwa kuwa na uongozi usiofaa. Akihutubia kwenye mkutano wa wananchi na wanachama wake katika viwanja vya Mtekelezo leo Jumapili Mei…

    Continue Reading

  • Lissu arudi tena mahakamani kesi ya rasilimali Chadema

    Lissu arudi tena mahakamani kesi ya rasilimali Chadema

    Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, amerudi mahakamani kuomba kujumuishwa katika kesi ya madai ya mgawanyo wa rasilimali usio sawa ndani ya chama hicho baina ya Bara na Zanzibar. Hii ni mara ya pili kwa Lissu kufungua maombi hayo Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam, baada ya…

    Continue Reading

  • Doyo ampongeza Msajili kwa ‘kuilima’ barua CCM

    Doyo ampongeza Msajili kwa ‘kuilima’ barua CCM

    Tanga. Katibu Mkuu wa National League for Democracy (NLD), Doyo Hassan Doyo ameipongeza Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa kwa hatua ya kukiandikia barua Chama cha Mapinduzi (CCM) kijieleze kuhusu kauli zilizotolewa na mmoja wa viongozi wake. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Tanga leo Jumapili, Mei 24, 2026, Doyo ambaye aligombea urais kupitia…

    Continue Reading

  • KATIBU MKUU OFISI YA MAKAMU WA RAIS MAZINGIRA SHIRIKI KUFANYA USAFI STENDI YA KABWE JIJINI MBEYA – Habari Mpya

    KATIBU MKUU OFISI YA MAKAMU WA RAIS MAZINGIRA SHIRIKI KUFANYA USAFI STENDI YA KABWE JIJINI MBEYA – Habari Mpya

     Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Dkt. Richard Muyungi (kushoto) akiongoza zoezi la Usafi wa Mazingira katika kituo cha daladala na bajaji (Stendi ya Kabwe) kilichopo Kata ya Iyela, Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya, Jijini Mbeya, leo Mei 24, 2026. Zoezi hilo la Usafi wa Mazingira limefanyika ikiwa ni Kampeni Kuelekea Maadhimisho ya Siku…

    Continue Reading

  • Rais Mwinyi ayaonya mashirika ya umma ‘mzigo’

    Rais Mwinyi ayaonya mashirika ya umma ‘mzigo’

    Zanzibar. Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali haitakuwa tayari kuendelea kubeba mashirika ya umma yanayoshindwa kujiendesha na kuendelea kutegemea ruzuku kutoka serikalini. Amesema bado yapo mashirika ya umma yanayolipwa mishahara na kuendeshwa kwa fedha za Serikali jambo alilosema limepitwa na wakati, huku akizitaka taasisi hizo kujipanga na kujiendesha kwa tija na faida.…

    Continue Reading

  • Wanne wafariki dunia Masasi ajali ya gari, pikipiki

    Wanne wafariki dunia Masasi ajali ya gari, pikipiki

    Masasi. Watu wanne wamefariki dunia baada ya gari aina ya Land Cruiser kugongana uso kwa uso na pikipiki iliyokuwa imebeba abiria, kisha kuwagonga watembea kwa miguu wawili waliokuwa pembezoni mwa barabara. Ajali hiyo imetokea Jumamosi ya Mei 23, 2026, saa 4 usiku katika eneo la Rest Camp kwenye barabara kuu ya Masasi–Tunduru mkoani Mtwara, ikihusisha…

    Continue Reading

  • Bei ya mbuzi yapaa Dar kuelekea Eid al-Adha

    Bei ya mbuzi yapaa Dar kuelekea Eid al-Adha

    Dar es Salaam. Wakati waumini wa Kiislamu Tanzania wakijiandaa kuungana na wengine duniani kuadhimisha Sikukuu ya Eid al-Adha Mei 27, 2026, bei ya mbuzi katika maeneo mbalimbali ya jijini Dar es Salaam imepanda kutokana na ongezeko la mahitaji ya mfugo huo. Bei hiyo ya mbuzi imeongezeka kwa kiwango kinachotofautiana kulingana na ukubwa, huku wafanyabiashara wakieleza…

    Continue Reading

  • Wadau watoa maoni Rasimu ya Bajeti ya SMZ 2026/27

    Wadau watoa maoni Rasimu ya Bajeti ya SMZ 2026/27

    Unguja. Wakati Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) ikiwa imetoa Rasimu ya Bajeti ya Mwaka 2026/27, wadau wa sekta binafsi wameonesha ubora na upungufu wa rasimu hiyo. Kutokana na rasimu hiyo, mapato na matumizi ya SMZ kwa mwaka 2026/27 yanakadiriwa kufikia Sh8.217 trilioni ikiwa ni ongezeko la Sh1.2 trilioni ikilinganishwa na bajeti ya mwaka 2025/26…

    Continue Reading

  • Sh227 milioni ya fidia Msikiti wa Rahman yadaiwa kulipwa kwa watu wasio sahihi

    Sh227 milioni ya fidia Msikiti wa Rahman yadaiwa kulipwa kwa watu wasio sahihi

    Dar es Salaam. Wakala wa Barabara Mjini na Vijijini (Tarura) umedai kuwa,Sh227 milioni za fidia katika Msikiti wa Rahman uliopo Mtaa wa Jangwani jijini Dar es Salaam zililipwa kwa watu wasio sahihi ili kupisha mradi wa uendelezaji bonde la Mto Msimbazi Hayo yamesemwa jana Jumamosi, Mei 23, 2026 na mratibu wa mradi huo kutoka Tarura,…

    Continue Reading

About the Author

Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

BlockSpare — News, Magazine and Blog Addons for (Gutenberg) Block Editor

Search the Archives

Access over the years of investigative journalism and breaking reports