Author: admin

  • Sensa ya uvuvi kufanyika Z’bar kuimarisha uchumi buluu

    Sensa ya uvuvi kufanyika Z’bar kuimarisha uchumi buluu

    Unguja. Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi Zanzibar, inakusudia kufanya sensa ya uvuvi kupata takwimu sahihi za watu waliopo katika mnyororo wa thamani. Hatua hiyo inaelezwa kuwa inalenga kuongeza maendeleo katika sekta hiyo. Sensa hiyo inayotarajiwa kuanza kufanyika mwezi huu, itawahusisha wavuvi, vyombo vya uvuvi, waanika dagaa pamoja na wakulima wa mwani. Kwa sasa…

    Continue Reading

  • SAFARI YA NETUMBO NA URAFIKI WA TANZANIA NA NAMIBIA – Habari Mpya

    SAFARI YA NETUMBO NA URAFIKI WA TANZANIA NA NAMIBIA – Habari Mpya

    Ktoka mitaa ya Magomeni jijini Dar es Salaam hadi Ikulu ya Windhoek nchini Namibia, safari ya maisha ya Rais Netumbo Nandi-Ndaitwah ni moja ya simulizi za kipekee katika historia ya harakati za ukombozi barani Afrika. Miaka kadhaa kabla ya Namibia kupata uhuru wake mwaka 1990, Netumbo alikuwa miongoni mwa wanaharakati wa SWAPO waliolazimika kuishi uhamishoni…

    Continue Reading

  • Profesa Shivji atetea kizazi cha kidijitali, Udasa walilia uhuru wa mawazo

    Profesa Shivji atetea kizazi cha kidijitali, Udasa walilia uhuru wa mawazo

    Dar es Salaam. Profesa wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Issa Shivji, amewataka wanazuoni na waandishi wa vitabu kubadili mbinu za kufundisha na kuandika ili kuendana na mabadiliko ya dunia ya sasa. Wakati Profesa Shivji akisema hayo, Jumuiya ya Wanataaluma wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (Udasa) wamesema wanazuoni wanahitaji kuwa na…

    Continue Reading

  • Al Ameen Foundation wasaidia yatima Dar

    Al Ameen Foundation wasaidia yatima Dar

    DA ES SALAAM: Taasisi ya Al Ameen Foundation (AIF) imetoa msaada wa vyakula kwa kituo cha watoto yatima cha Upendo Orphane Center, kilichopo Buguruni Ghana, Dar es Salaam leo Juni 17, 2026 ikiwa ni hatua muhimu inayolenga kuboresha ustawi wa watoto wanaolelewa katika kituo hicho. Msaada huo ni juhudi za taasisi hiyo za kushirikiana na…

    Continue Reading

  • SERIKALI YAENDELEA KUWAWEZESHA WANAWAKE KUPATA MITAJI, MAFUNZO NA MASOKO – Habari Mpya

    SERIKALI YAENDELEA KUWAWEZESHA WANAWAKE KUPATA MITAJI, MAFUNZO NA MASOKO – Habari Mpya

    Na Jackline Minja, WMJJWM Dodoma Serikali imeendelea kuimarisha jitihada za kuwawezesha wanawake kiuchumi kupitia upatikanaji wa mitaji, mafunzo na masoko ili kuongeza ushiriki wao katika shughuli za uzalishaji na maendeleo ya Taifa.  Hayo yameelezwa leo Juni 17, 2026 bungeni na Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Mhe. Mhandisi Maryprisca Mahundi…

    Continue Reading

  • Serikali yaongeza nguvu kudhibiti magonjwa ya mifugo

    Serikali yaongeza nguvu kudhibiti magonjwa ya mifugo

    Arusha. Licha ya kukabiliwa na changamoro nyingi, Sekta ya mifugo nchini inaendelea kuwa mhimili muhimu wa uchumi kutokana na mchango wake katika kuimarisha usalama wa chakula na lishe, kutoa ajira, kuongeza kipato cha kaya, kuchochea maendeleo ya viwanda na kuongeza mapato yatokanayo na mauzo ya bidhaa nje ya nchi. Hata hivyo, sekta hiyo bado inakabiliwa…

    Continue Reading

  • Miili yatelekezwa kando ya viroba vya parachichi Njombe

    Miili yatelekezwa kando ya viroba vya parachichi Njombe

    Njombe. Watu wawili wanaokadiriwa kuwa na umri wa kati ya miaka 35 na 36 wamekutwa wameuawa katika eneo la Msete, Kata ya Mji Mwema, mkoani Njombe, huku pembeni mwa miili hiyo kukiwa na viroba vinne vya parachichi. Tukio hilo limetokea siku chache baada ya wakazi wa Mkoa wa Njombe, ambao wengi wao ni wakulima wa…

    Continue Reading

  • Mahakama yasimamisha kwa muda ujenzi wa MK-ICC Arusha

    Mahakama yasimamisha kwa muda ujenzi wa MK-ICC Arusha

    Arusha. Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Arusha imeamuru kusitishwa kwa muda shughuli zote za ujenzi wa mradi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mount Kilimanjaro (MK-ICC), unaotekelezwa kwa katika eneo la Kijenge, Arusha. Mahakama imefikia uamuzi huo kutokana na sehemu ya ujenzi wa mradi huo unaotekelezwa na Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha…

    Continue Reading

  • G7 wabariki makubaliano Marekani na Iran, wampa maagizo Trump kuhusu Russia

    G7 wabariki makubaliano Marekani na Iran, wampa maagizo Trump kuhusu Russia

    Dar es Salaam. Mataifa saba yenye uchumi mkubwa duniani (G7) yamebariki makubaliano yaliyofikiwa kati ya Marekani na Iran. Mwisho mwa wiki iliyopita, Marekani na Iran walitangaza kufikiwa mwafaka wa kusitisha mapigano baada ya kukubaliana mambo kadhaa yakiwemo kufunguliwa kwa mfereji wa Hormuz, kurejesha mali za Iran zinazoshikiliwa huku Iran ikitakiwa kuacha kuzalisha silaha za nyuklia.…

    Continue Reading

  • Mwanafunzi UDOM afariki dunia, waeleza ilivyokuwa

    Mwanafunzi UDOM afariki dunia, waeleza ilivyokuwa

    Dar/Dodoma. Mwanafunzi wa mwaka wa pili, wa Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom), Suzana Tyaba amefariki dunia usiku wa kuamkia jana Jumanne, Juni 16, 2026. Kifo cha mwanafunzi huyo wa Shahada ya awali ya Elimu katika Elimu ya Awali ndaki ya Elimu, kimeibua utata baada ya taarifa zinazosambaa mitandaoni kuwa kifo hicho kimetokana na mazingira duni…

    Continue Reading

About the Author

Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

BlockSpare — News, Magazine and Blog Addons for (Gutenberg) Block Editor

Search the Archives

Access over the years of investigative journalism and breaking reports