Author: admin

  • SERIKALI YAENDELEA KUWAWEZESHA WANAWAKE KUPATA MITAJI, MAFUNZO NA MASOKO – Habari Mpya

    SERIKALI YAENDELEA KUWAWEZESHA WANAWAKE KUPATA MITAJI, MAFUNZO NA MASOKO – Habari Mpya

    Na Jackline Minja, WMJJWM Dodoma Serikali imeendelea kuimarisha jitihada za kuwawezesha wanawake kiuchumi kupitia upatikanaji wa mitaji, mafunzo na masoko ili kuongeza ushiriki wao katika shughuli za uzalishaji na maendeleo ya Taifa.  Hayo yameelezwa leo Juni 17, 2026 bungeni na Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Mhe. Mhandisi Maryprisca Mahundi…

    Continue Reading

  • Serikali yaongeza nguvu kudhibiti magonjwa ya mifugo

    Serikali yaongeza nguvu kudhibiti magonjwa ya mifugo

    Arusha. Licha ya kukabiliwa na changamoro nyingi, Sekta ya mifugo nchini inaendelea kuwa mhimili muhimu wa uchumi kutokana na mchango wake katika kuimarisha usalama wa chakula na lishe, kutoa ajira, kuongeza kipato cha kaya, kuchochea maendeleo ya viwanda na kuongeza mapato yatokanayo na mauzo ya bidhaa nje ya nchi. Hata hivyo, sekta hiyo bado inakabiliwa…

    Continue Reading

  • Miili yatelekezwa kando ya viroba vya parachichi Njombe

    Miili yatelekezwa kando ya viroba vya parachichi Njombe

    Njombe. Watu wawili wanaokadiriwa kuwa na umri wa kati ya miaka 35 na 36 wamekutwa wameuawa katika eneo la Msete, Kata ya Mji Mwema, mkoani Njombe, huku pembeni mwa miili hiyo kukiwa na viroba vinne vya parachichi. Tukio hilo limetokea siku chache baada ya wakazi wa Mkoa wa Njombe, ambao wengi wao ni wakulima wa…

    Continue Reading

  • Mahakama yasimamisha kwa muda ujenzi wa MK-ICC Arusha

    Mahakama yasimamisha kwa muda ujenzi wa MK-ICC Arusha

    Arusha. Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Arusha imeamuru kusitishwa kwa muda shughuli zote za ujenzi wa mradi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mount Kilimanjaro (MK-ICC), unaotekelezwa kwa katika eneo la Kijenge, Arusha. Mahakama imefikia uamuzi huo kutokana na sehemu ya ujenzi wa mradi huo unaotekelezwa na Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha…

    Continue Reading

  • G7 wabariki makubaliano Marekani na Iran, wampa maagizo Trump kuhusu Russia

    G7 wabariki makubaliano Marekani na Iran, wampa maagizo Trump kuhusu Russia

    Dar es Salaam. Mataifa saba yenye uchumi mkubwa duniani (G7) yamebariki makubaliano yaliyofikiwa kati ya Marekani na Iran. Mwisho mwa wiki iliyopita, Marekani na Iran walitangaza kufikiwa mwafaka wa kusitisha mapigano baada ya kukubaliana mambo kadhaa yakiwemo kufunguliwa kwa mfereji wa Hormuz, kurejesha mali za Iran zinazoshikiliwa huku Iran ikitakiwa kuacha kuzalisha silaha za nyuklia.…

    Continue Reading

  • Mwanafunzi UDOM afariki dunia, waeleza ilivyokuwa

    Mwanafunzi UDOM afariki dunia, waeleza ilivyokuwa

    Dar/Dodoma. Mwanafunzi wa mwaka wa pili, wa Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom), Suzana Tyaba amefariki dunia usiku wa kuamkia jana Jumanne, Juni 16, 2026. Kifo cha mwanafunzi huyo wa Shahada ya awali ya Elimu katika Elimu ya Awali ndaki ya Elimu, kimeibua utata baada ya taarifa zinazosambaa mitandaoni kuwa kifo hicho kimetokana na mazingira duni…

    Continue Reading

  • Tanzania yasisitiza urejeaji wa hiari suluhisho kwa wakimbizi

    Tanzania yasisitiza urejeaji wa hiari suluhisho kwa wakimbizi

    USWISI: Tanzania imesisitiza kuwa urejeaji wa hiari ndilo suluhisho sahihi na la kudumu kwa wakimbizi, ili kufanikisha lengo la kupunguza idadi ya wakimbizi kwa 50% ifikapo 2035. Juni 16, 2026, Tanzania ilishiriki Mkutano wa 96 wa UNHCR Standing Committee unaoendelea mjini Geneva, Uswisi. Katika mchango wake kuhusu Taarifa ya Hifadhi ya Ukimbizi Duniani iliyowasilishwa na…

    Continue Reading

  • Mfumo mpya wa usafi, fursa mpya za uchumi na ajira Iringa

    Mfumo mpya wa usafi, fursa mpya za uchumi na ajira Iringa

    Iringa.  Mfumo mpya wa ukusanyaji taka wa Manispaa ya Iringa umefungua fursa mpya za kiuchumi, afya za wananchi, kung’arisha mji na kuchochea ajira kupitia uchakataji wake huku ikiongeza kiwango cha taka zinazokusanywa kutoka tani 131.24 hadi 148.39 kwa siku. Mwananchi inashuhudia magari maalumu ya ukusanyaji taka yanayozunguka katika mitaa mbalimbali ya Manispaa ya Iringa ilivyokuwa…

    Continue Reading

  • Jamii yahimizwa kuwekeza mustakabali wa watoto

    Jamii yahimizwa kuwekeza mustakabali wa watoto

    DAR ES SALAAM: Wakati Tanzania ikiungana na mataifa mengine duniani kuadhimisha Siku ya Mtoto wa Afrika Juni 16, wadau wa maendeleo ya watoto wameitaka jamii na serikali kuongeza uwekezaji katika malezi, afya, elimu na huduma za maji safi ili kuhakikisha watoto wanakua katika mazingira salama na yenye kuwajengea mustakabali bora. Siku ya Mtoto wa Afrika…

    Continue Reading

  • Serikali yazindua kitabu safari ya upandikizaji wa moyo

    Serikali yazindua kitabu safari ya upandikizaji wa moyo

    DAR ES SALAAM: Katika jitihada za kuhakikisha wananchi wanaendelea kupata huduma za kibingwa bobezi nchini, Serikali imezindua kitabu cha safari ya upandikizaji wa moyo kitakachosaidia kutoa mwongozo na uelewa kwa wagonjwa wanaohitaji huduma hiyo. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa kitabu hicho jijini Dar es Salaam, Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa, alisema Serikali ya Awamu ya…

    Continue Reading

About the Author

Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

BlockSpare — News, Magazine and Blog Addons for (Gutenberg) Block Editor

Search the Archives

Access over the years of investigative journalism and breaking reports