Author: admin
-

G7 wabariki makubaliano Marekani na Iran, wampa maagizo Trump kuhusu Russia
Dar es Salaam. Mataifa saba yenye uchumi mkubwa duniani (G7) yamebariki makubaliano yaliyofikiwa kati ya Marekani na Iran. Mwisho mwa wiki iliyopita, Marekani na Iran walitangaza kufikiwa mwafaka wa kusitisha mapigano baada ya kukubaliana mambo kadhaa yakiwemo kufunguliwa kwa mfereji wa Hormuz, kurejesha mali za Iran zinazoshikiliwa huku Iran ikitakiwa kuacha kuzalisha silaha za nyuklia.…
-

Mwanafunzi UDOM afariki dunia, waeleza ilivyokuwa
Dar/Dodoma. Mwanafunzi wa mwaka wa pili, wa Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom), Suzana Tyaba amefariki dunia usiku wa kuamkia jana Jumanne, Juni 16, 2026. Kifo cha mwanafunzi huyo wa Shahada ya awali ya Elimu katika Elimu ya Awali ndaki ya Elimu, kimeibua utata baada ya taarifa zinazosambaa mitandaoni kuwa kifo hicho kimetokana na mazingira duni…
-

Tanzania yasisitiza urejeaji wa hiari suluhisho kwa wakimbizi
USWISI: Tanzania imesisitiza kuwa urejeaji wa hiari ndilo suluhisho sahihi na la kudumu kwa wakimbizi, ili kufanikisha lengo la kupunguza idadi ya wakimbizi kwa 50% ifikapo 2035. Juni 16, 2026, Tanzania ilishiriki Mkutano wa 96 wa UNHCR Standing Committee unaoendelea mjini Geneva, Uswisi. Katika mchango wake kuhusu Taarifa ya Hifadhi ya Ukimbizi Duniani iliyowasilishwa na…
-

Mfumo mpya wa usafi, fursa mpya za uchumi na ajira Iringa
Iringa. Mfumo mpya wa ukusanyaji taka wa Manispaa ya Iringa umefungua fursa mpya za kiuchumi, afya za wananchi, kung’arisha mji na kuchochea ajira kupitia uchakataji wake huku ikiongeza kiwango cha taka zinazokusanywa kutoka tani 131.24 hadi 148.39 kwa siku. Mwananchi inashuhudia magari maalumu ya ukusanyaji taka yanayozunguka katika mitaa mbalimbali ya Manispaa ya Iringa ilivyokuwa…
-

Jamii yahimizwa kuwekeza mustakabali wa watoto
DAR ES SALAAM: Wakati Tanzania ikiungana na mataifa mengine duniani kuadhimisha Siku ya Mtoto wa Afrika Juni 16, wadau wa maendeleo ya watoto wameitaka jamii na serikali kuongeza uwekezaji katika malezi, afya, elimu na huduma za maji safi ili kuhakikisha watoto wanakua katika mazingira salama na yenye kuwajengea mustakabali bora. Siku ya Mtoto wa Afrika…
-

Serikali yazindua kitabu safari ya upandikizaji wa moyo
DAR ES SALAAM: Katika jitihada za kuhakikisha wananchi wanaendelea kupata huduma za kibingwa bobezi nchini, Serikali imezindua kitabu cha safari ya upandikizaji wa moyo kitakachosaidia kutoa mwongozo na uelewa kwa wagonjwa wanaohitaji huduma hiyo. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa kitabu hicho jijini Dar es Salaam, Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa, alisema Serikali ya Awamu ya…
-

Zungu aunga mkono nishati safi
DODOMA: SPIKA wa Bunge, Mussa Azzan Zungu, ameuagiza Umoja wa Wabunge Wanawake (TWG) kutumia ushawishi wao mitaani kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia ili kulinda afya za wananchi na mazingira. Akifungua mafunzo ya umoja huo yaliyoandaliwa na Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) jijini Dodoma, Spika Zungu amewataka wabunge hao kuvunja dhana potofu zilizopo…
-

WAANDISHI WA HABARI WATAKIWA KUTOA ELIMU YA USALAMA WA MTOTO MTANDAONI – Habari Mpya
Na John Bukuku, Dar es Salaam. Waandishi wa habari na waandaaji wa vipindi vya watoto nchini wametakiwa kutumia vyombo vyao vya habari kuelimisha jamii kuhusu usalama wa watoto mtandaoni ili kukabiliana na ongezeko la vitendo vya ukatili na matumizi mabaya ya teknolojia yanayowaathiri watoto. Wito huo umetolewa na Mjumbe wa Bodi ya Ithibati ya…
-

Uamuzi wa Latra waibua mjadala usafiri wa Mbagala
Dar es Salaam. Hofu ya kuongezeka kwa gharama za usafiri na matumizi ya bodaboda na bajaji imeibuka miongoni mwa wakazi wa Mbagala kutokana na uamuzi wa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (Latra) wa kuzuia daladala kupakia na kushusha abiria katika Barabara ya Kilwa. Wadau wamelalamikia kutoshirikishwa kabla ya utekelezaji wa mabadiliko hayo yanayoanza Julai mosi,…
-

Operesheni kali kuondoa ajira za watoto migodini-3
Dar es Salaam. Serikali imeongeza juhudi za kuzuia watoto kufanya kazi katika maeneo ya migodi kwa kutangaza operesheni mpya dhidi ya shughuli za uchimbaji madini zisizo rasmi, ambako ajira hizo zimekuwa zikijitokeza kwa kiwango kikubwa. Hatua hiyo inakuja wakati mamlaka zikiongeza juhudi za kuhakikisha kila mtoto anakuwa shuleni. Mamlaka za ukaguzi zinatarajiwa kuanza operesheni katika…
Latest News
About the Author
Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

Search the Archives
Access over the years of investigative journalism and breaking reports
You May Have Missed













