Author: admin

  • NAMNA VITUO VYA KULELEA WATOTO YATIMA NA WANAOTOKA KWENYE MAZINGIRA MAGUMU VILIVYOSAIDIA KUPUNGUZA UKATILI KWA WATOTO. – Habari Mpya

    Na Linda Moseka-Manyara Watoto ni taifa la kesho, msemo huu umezoeleka masikioni mwa wengi ukiwa umebeba maono makubwa ya maisha ya watoto wa kitanzania katika kuwaandaa kuwa watu muhimu kwenye jamii pale wanapofikisha umri wa utu uzima, ili waweze kulisaidia taifa kusonga mbele kimaendeleo kwa kutumia ujuzi, maarifa na vipaji walivyonavyo. Mara nyingi mchakato wa…

    Continue Reading

  • Sh24 bilioni kukabili Ebola, Mpox Afrika Mashariki

    Sh24 bilioni kukabili Ebola, Mpox Afrika Mashariki

    Arusha. Serikali ya Ujerumani imetoa msaada wa Euro 8 milioni (takribani Sh24.2 bilioni) kwa ajili ya kuimarisha uwezo wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kukabiliana na magonjwa ya Ebola na Mpox katika nchi wanachama. Fedha hizo zinazotolewa kupitia Benki ya Maendeleo ya Ujerumani (KfW), zinalenga kuimarisha mifumo ya usalama wa afya ya kikanda, kuongeza uwezo…

    Continue Reading

  • WANANCHI NA WAMILIKI WAENDELEA KUSHIRIKISHWA – Habari Mpya

    Serikali imeendelea kusisitiza ushirikishwaji wa wananchi na wamiliki wa ardhi katika utekelezaji wa Mpango wa Uendelezaji Upya wa Eneo la Sinza jijini Dar es Salaam, unaotarajiwa kutekelezwa kwa kipindi cha miaka 20 kuanzia mwaka 2026 hadi 2046. Kwa mujibu wa taarifa ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, wananchi wa Sinza ambao ni…

    Continue Reading

  • WAZIRI MKUU AAGIZA TATIZO LA MAJI MWANZA LIPATIWE UFUMBUZI WA HARAKA – Habari Mpya

    WAZIRI MKUU AAGIZA TATIZO LA MAJI MWANZA LIPATIWE UFUMBUZI WA HARAKA – Habari Mpya

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amemuagiza Waziri wa Maji kwenda Mkoa wa Mwanza kushughulikia mara moja changamoto ya upatikanaji wa maji inayowakabili wananchi wa mkoa huo na kuhakikisha huduma hiyo inarejea kwa haraka. Dkt. Mwigulu ametoa maelekezo hayo leo, Jumapili Juni 14, 2026, wakati akizungumza, kusikiliza na kutatua changamoto za wananchi wa Tarafa ya Kiomboi…

    Continue Reading

  • Hizi hapa fursa magari ya umeme kuanza kuja Tanzania

    Hizi hapa fursa magari ya umeme kuanza kuja Tanzania

    Dar es Salaam. Wakati Serikali ikipendekeza punguzo la kodi katika magari yanayotumia umeme, wadau wa sekta ya magari ya umeme wameonyesha dalili za kuwa miongoni mwa wanufaika wa mapendekezo ya bajeti ya mwaka 2026/27. Kampuni ya Zera inayoingiza magari ya umeme nchini, imetangaza mpango wa kupanua matumizi ya magari hayo nchini, sambamba na kuongeza vituo…

    Continue Reading

  • Serikali kutumia Sh700 milioni kujenga soko la kisasa Mamsera, Rombo

    Serikali kutumia Sh700 milioni kujenga soko la kisasa Mamsera, Rombo

    Rombo. Serikali imeanza ujenzi wa soko la kisasa la Mamsera katika Wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro, hatua inayotarajiwa kusaidia kupunguza upotevu wa mazao baada ya mavuno na kuboresha mazingira ya biashara kwa wakulima na wafanyabiashara. Mradi huo unaotarajiwa kugharimu zaidi ya Sh700 milioni, ni sehemu ya jitihada za Serikali za kuimarisha miundombinu ya masoko ya…

    Continue Reading

  • Sh700 milioni kuinua uchumi wa wananchi, kuokoa vyanzo vya maji

    Sh700 milioni kuinua uchumi wa wananchi, kuokoa vyanzo vya maji

    Mbarali. Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya, imepokea Sh700 milioni kwa ajili ya kuviwezesha kiuchumi vikundi 30 vya wananchi ili kupisha shughuli za kijamii kwenye maeneo ya hifadhi za mito na vyanzo vya maji. Fedha hizo zimetolewa na Taasisi ya Bonde la Mto Rufiji kupitia mradi wa NBS – Usangu, unaotekelezwa wilayani humo. Mkurugenzi…

    Continue Reading

  • Nsekela atunukiwa Shahada ya Uzamivu, ataja umuhimu wa utawala bora kwenye benki

    Nsekela atunukiwa Shahada ya Uzamivu, ataja umuhimu wa utawala bora kwenye benki

    Dar es Salaam. Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk Abdulmajid Nsekela ametunukiwa Shahada ya Uzamivu (PhD) kutoka Chuo Kikuu cha Afrika Kusini (UNISA), hatua inayotajwa kuimarisha mchango wa taaluma katika uongozi wa taasisi za kifedha na biashara. Dk Nsekela amehitimu shahada hiyo baada ya kufanya utafiti uliochunguza uhusiano kati ya utawala wa kampuni na…

    Continue Reading

  • Maumivu ya ukatili wa kijinsia yamgeuza kuwa mkombozi

    Maumivu ya ukatili wa kijinsia yamgeuza kuwa mkombozi

    Arusha. Miaka sita iliyopita, Mwalimu wa Shule ya Sekondari Sokoni II, Veronica Kidemi, alikuwa akiishi katika ndoa iliyogubikwa na ukatili wa kijinsia na mateso ya muda mrefu, hali iliyomfanya kunyamaza kwa muda mrefu akiamini mambo yangebadilika. Hata hivyo, ukimya huo uliishia katika tukio la kushtua mwaka 2020, baada ya aliyekuwa mumewe kumkata mkono wa kulia,…

    Continue Reading

  • Absa, WWF wapanda miti 1,300 Pugu Kazimzumbwi

    Absa, WWF wapanda miti 1,300 Pugu Kazimzumbwi

    Kisarawe. Wafanyakazi wa Benki ya Absa Tanzania, kwa kushirikiana na Shirika la Uhifadhi wa Mazingira Duniani (WWF), wamepanda miti 1,300 katika Msitu wa Pugu Kazimzumbwi, wilayani Kisarawe Mkoa wa Pwani, katika kuadhimisha Siku ya Mazingira Duniani. Akizungumza katika kazi ya upandaji miti hiyo jana, Jumamosi, Juni 13, 2026, Mkurugenzi wa Masoko na Mawasiliano wa Absa…

    Continue Reading

About the Author

Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

BlockSpare — News, Magazine and Blog Addons for (Gutenberg) Block Editor

Search the Archives

Access over the years of investigative journalism and breaking reports