Category: Habari
-
WAZIRI KOMBO AKUTANA NA JUMUIYA YA DIASPORA YA TANZANIA NCHINI KOREA – Habari Mpya
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Mahmoud Thabit Kombo amekutana na Jumuiya ya Diaspora ya Tanzania wanaoishi katika Jamhuri ya Korea na kuwahimiza kuendelea kuwa mabalozi wazuri wa Tanzania kwa kuitangaza nchi na fursa mbalimbali zilizopo katika sekta za uwekezaji, biashara na utalii. Akizungumza katika mkutano uliofanyika jijini Seoul,…
-

SERIKALI YAAHIDI KUIMARISHA AFYA YA KINYWA NA MENO NCHINI – Habari Mpya
Na Atley Kuni, WAF-Dar es Salaam Serikali imeahidi kuendelea kuimarisha huduma za afya ya kinywa na meno nchini kupitia uwekezaji wa miundombinu, mafunzo ya wataalamu, matumizi ya teknolojia za kisasa na kuimarisha ushirikiano kati ya sekta ya umma na binafsi. Kauli hiyo imetolewa na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya anayeshughulikia Dawa na Vifaa…
-

DODOMA YAJIVUNIA MIRADI YA KIMKAKATI MWENGE WA UHURU 2026 UKIANZA MBIO ZAKE – Habari Mpya
Mpwapwa, Mei 31, 2026 Mkoa wa Dodoma umepokea Mwenge wa Uhuru 2026 katika Uwanja wa Shule ya Msingi Mtera iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa, ukitokea Mkoa wa Iringa. Akizungumza katika hafla ya mapokezi hayo, Katibu Tawala Mkoa wa Dodoma, Dkt. Khatibu Kazungu, amesema Mwenge wa Uhuru utakimbizwa umbali wa kilomita 1,595.3 katika wilaya zote…
-

Mtoto aliyepotea aopolewa kwenye bwawa la samaki
Moshi. Simanzi na hasira vimetawala katika Mtaa wa Matindigani, Kata ya Pasua wilayani Moshi mkoani Kilimanjaro baada ya mtoto mwenye umri wa miaka sita, Idrisa Ramadhani, aliyekuwa akitafutwa tangu jioni ya jana Jumamosi, Mei 30, 2026 kukutwa amefariki dunia ndani ya bwawa la kufugia samaki la mtu binafsi. Tukio hilo limelotokea leo Jumapili Mei 31,…
-

Bodaboda, bajaji Sanya waomba mikopo nafuu ya kumiliki vyombo vyao
Hai. Baadhi ya waendesha bodaboda na bajaji wa Stendi ya Sanya wilayani Hai, mkoani Kilimanjaro, wameiomba Serikali kuweka utaratibu wa mikopo nafuu ya pikipiki na bajaji ili waweze kumiliki vyombo vyao vya kazi na kuongeza kipato. Ombi hilo limetolewa leo Jumapili Mei 31, 2026 na Mwenyekiti wa Shina la Wakereketwa Vijana wa Bajaji na Bodaboda…
-

WFP yatafuta suluhisho changamoto ya chakula, lishe Tanzania
Dar es Salaam. Ili kukuza na kuongeza uwezo wa suluhisho zinazoongozwa na wabunifu wa ndani, Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) kwa kushirikiana na StartHub Africa, limezindua shindano la ubunifu linalolenga kutambua na kusaidia biashara na wabunifu wenye uwezo wanaofanyia kazi suluhisho endelevu za mifumo ya chakula. Shindano hilo lililopewa jina la Ignite linaangazia…
-

CCM yahitimisha kampeni Isimani, Chatanda atoa ahadi
IRINGA: Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimehitimisha kampeni zake za uchaguzi mdogo wa Jimbo la Isimani kwa mkutano mkubwa wa hadhara uliofanyika Migoli, huku viongozi wa chama wakionesha imani kubwa ya ushindi na kuwataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura kwa mgombea wake, Emanuela Mtatifikolo. Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa CCM (UWT) Taifa, Mary Chatanda,…
-

Tume ya Rais kuchunguza jinai matukio ya uchaguzi kortini
Dar es Salaam. Tume ya Rais ya Uchunguzi wa Kijinai katika Matukio ya Ghasia za Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, inayoongozwa na Jaji Mahakama ya Rufani, Shaban Lila, imeburutwa mahakamani ikipingwa uhalali wake. Tume hiyo maarufu Tume ya Jaji Lila imeundwa na Rais Samia Suluhu Hassan kufuatia ripoti ya Tume ya…
-
JIKINGE, UWAKINGE WENGINE WAKATI WA KUMHUDUMIA MGONJWA – Habari Mpya
Na Hassan Kimweri, WAF – Kagera Mganga Mkuu wa Serikali, Dkt. Grace Magembe amewataka watumishi wa afya nchini kuwa makini zaidi katika kipindi hiki cha tahadhari ya ugonjwa wa Ebola, kufuatia mlipuko uliojitokeza katika nchi jirani za Congo na Uganda ili kujikinga wao na kuwakinga wengine. Dkt. Magembe amesema hayo leo Mei 31, 2026 wakati…
-
CCM YAFUNGA KAMPENI ISIMANI KWA KISHINDO, YATANGAZA IMANI KUBWA KWA EMANUELA MTATIFIKOLO – Habari Mpya
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimehitimisha rasmi kampeni zake za uchaguzi mdogo wa Jimbo la Isimani kwa mkutano mkubwa wa hadhara uliofanyika eneo la Migoli, ambapo viongozi wa chama walionesha matumaini makubwa ya kupata ushindi kupitia mgombea wake wa ubunge, Emanuela Mtatifikolo. Akihutubia mamia ya wananchi waliojitokeza katika mkutano huo wa kufunga kampeni, Mwenyekiti wa Umoja…
Latest News
About the Author
Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

Search the Archives
Access over the years of investigative journalism and breaking reports
You May Have Missed













