Category: Habari
-

Meli ya kwanza ya kimataifa yashusha mafuta Zanzibar
Unguja. Kwa mara ya kwanza meli ya kimataifa ya mafuta kutoka Saudia Arabia imeshusha petroli, dizeli na mafuta ya ndege katika Bandari Jumuishi ya Mangapwani. Akizungumza baada ya kupokea meli hiyo leo Mei 31, 2026, Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Nishati na Madini, Joseph Kilangi amesema meli hiyo kushusha mafuta moja kwa moja Zanzibar inaonesha…
-

UNDP itakavyoviwezesha vyuo 10 Tanzania
Dar es Salaam. Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo (UNDP) Tanzania, limeingia makubaliano na taasisi kumi za elimu ya juu kwa ajili ya kuwajengea uwezo vijana na kuchochea maendeleo endelevu. Ushirikiano huo uliotiwa saini mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam, unalenga kurasimisha na kuongeza nguvu katika programu mbalimbali za wanafunzi, uendelezaji wa ubunifu,…
-

Dk Mwigulu aeleza Serikali inavyopambania soko la nje mazao ya biashara
Dar es Salaam. Waziri Mkuu wa Tanzania, Dk Mwigulu Nchemba amesema Serikali inatafuta suluhisho la kuporomoka kwa bei za mazao ya biashara yanayouzwa nje kwa kusaka soko kwa nchi washirika ili kumaliza kilio cha wakulima wa mazao hayo ikiwemo dengu, tumbaku na chai. Akitaja sababu za kuporomoka kwa bei amesema vita vya Ukraine na Russia,…
-

AfDB, ASSA kuimarisha uwekezaji wa mifuko ya hifadhi ya jamii Afrika
Brazzaville. Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) na Chama cha Hifadhi ya Jamii Afrika (ASSA) zimekubaliana kushirikiana kuimarisha matumizi ya mtaji wa ndani wa Afrika katika kufadhili maendeleo ya muda mrefu, ikiwamo miradi ya miundombinu na mifumo ya ulinzi wa jamii. Makubaliano hayo yalitiwa saini Mei 28, 2026 pembeni mwa mikutano ya mwaka ya kundi…
-

Dk Samizi ahimiza wanafunzi kusaidiwa taulo za kike wasiache shule
Dar es Salaam. Naibu Waziri wa Afya, Dk Florence Samizi amesema zaidi ya asilimia 27 ya watoto wa kike hushindwa kwenda shule kutokana na kukosa mahitaji ya hedhi ikiwemo taulo za kike. Kutokana na hali hiyo, amewataka wadau kushirikiana kuhakikisha wanawawezesha watoto wa kike kupata mahitaji hayo, ili wasikose masomo au kuacha shule kabisa. Dk…
-

Matumaini mapya 150 wakipewa miguu bandia bure
Unguja. Mapinduzi mapya ya yanatarajia kuanza visiwani Zanzibar kwa watu waliokatwa miguu kupatiwa viungo hivyo bandia bure. Faraja hiyo inakuja kupitia Mradi wa Zanzibar 100 Limb Project ambao ni matokeo ya ushirikiano kati ya taasisi ya Naya Qadam Trust ya Uingereza na Zanzibar Global Health and Education Foundation (ZGHEF). Akizungumza na Mwananchi kuhusu hatua hiyo…
-
WAPIGA KURA 222,218 KUPIGA KURA JIMBO LA ISMANI NA KATA 12 ZA TANZANIA BARA – Habari Mpya
Na Mwandishi wetu, Ruvuma Wapiga Kura 222,218 walioandikishwa katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura watashiriki kwenye uchaguzi mdogo wa Ubunge katika Jimbo la Isimani lililopo Halamashauri ya Wilaya ya Iringa Mkoani Iringa na Kata 12 za Tanzania Bara. Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji wa Rufaa Mhe. Jacobs Mwambegele ameyasema hayo…
-

Shule mpya Kwa Sadala kuokoa maisha ya wanafunzi, yaleta matumaini
Hai. Wanafunzi wa eneo la Kwa Sadala, Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, wameondokana na adha ya kutembea umbali wa zaidi ya kilomita 12 kufuata elimu, baada ya kujengewa shule mpya iliyopo jirani na makazi yao. Kukosekana kwa shule hiyo iliyogharimu zaidi ya Sh351.5 milioni, kulikuwa kukihatarisha maisha ya wanafunzi hao wakati wa kuvuka barabara kuu…
-

ITHIBATI YAWA KIGEZO KIKUU SAMIA KALAMU 2026 – Habari Mpya
Na Mwandishi Wetu Waandishi wa Habari watakaoshiriki Tuzo za Uandishi wa Habari na Makala za Maendeleo (Samia Kalamu Awards – SKA) 2026 wamelazimika kukidhi sharti la kuwa na ithibati kutoka Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), hatua inayolenga kuimarisha weledi, uwajibikaji na ushindani wa haki katika taaluma hiyo. Akizindua rasmi mchakato wa kupokea…
-

MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR ASHIRIKI SWALA NA MAZISHI YA BI. ARAFA MOH’D SAID (G7) – Habari Mpya
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Alhajj Hemed Suleiman Abdulla amejumuika na wanafamili, ndugu na jamaa katika swala ya kumswalia marehemu Bi. ARAFA MOH’D SAID ( Maarufu G7 ) aliyeswaliwa katika Masjid LAMIN uliopo KIBWENI na kuzikwa katika Makaburi ya Mwanakwerekwe Wilaya ya Magharibi ” B ” Unguja. Inna lilah wainna ilayhi rajiun. Imetolewa…
Latest News
About the Author
Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

Search the Archives
Access over the years of investigative journalism and breaking reports
You May Have Missed













