Category: Habari
-

KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE TAMISEMI YATEMBELEA MIRADI YA BIL 4.5 KINONDONI – Habari Mpya
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Ikiongozwa na Mwenyekiti wake Mhe. Florentino Kyombo, imetembelea na kukagua miradi ya Elimu, Afya na Barabara yenye gharama ya Shilingi bilioni 4,528,354,913 Wilaya Kinondoni. Ziara hiyo iliyofanyika tarehe 23.06.2026, ililenga kujionea utekelezaji wa miradi ya maendeleo ndani ya Wilaya hiyo ikiwepo Mradi wa…
-

Mchungaji Msigwa arejea Chadema, aitaja Oktoba 29
Iringa. Mbunge wa zamani wa Iringa Mjini kupitia Chadema, Mchungaji Peter Msigwa aliyejiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM) Juni 30, 2024 ametangaza kurejea Chadema. Mchungaji Msigwa ametangaza uamuzi huo leo Jumamosi, Mei 23, 2026 akisema ni baada ya tafakari ya kina kuhusu hali ya haki na utu wa binadamu nchini. Katika taarifa yake aliyoitoa leo…
-

RC CHALAMILA VIWANGO MARATHON NJIA MADHUBUTI YA KUFIKISHA ELIMU KWA UMMA – Habari Mpya
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe Albert Chalamila amefurahishwa na kupongeza Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kwa kuandaa Viwango Marathon kama sehemu ya maadhimisho ya miaka 50 ya kuanzishwa kwa Shirika hilo pamoja na kuendelea kuhamasisha jamii kuhusu umuhimu wa kuzingatia viwango. Aidha RC Chalamila amesema mbio hizo ni njia sahihi ya kufikisha…
-

Ngazi ya kukupeleka kwenye mafanikio ya ndoa
Dar es Salaam. Somo hili ni mahususi kwa wale wote wenye ndoto ya kuwa na ndoa zenye mafanikio na utulivu. Kama huna mpango wa kufunga ndoa, huenda maudhui haya yasikufae kwa sasa, lakini kama unatazamia kuingia kwenye maisha ya mume na mke, basi misingi hii ni kwa ajili yako. Watu wengi wamekuwa wakifundishwa na kuelewa…
-
NILIVYOSHINDA KITI CHA UONGOZI BAADA YA WATU WENGI KUNIAMBIA SINA USHAWISHI WA KISIASA NA SITAFIKA POPOTE – Habari Mpya
Kuingia kwenye uongozi haikuwa jambo ambalo watu wengi walitarajia kutoka kwangu. Kwa miaka mingi nilikuwa mtu wa kawaida kwenye jamii yetu. Nilipenda kusaidia watu pale nilipoweza, kushiriki shughuli za maendeleo, na kusikiliza changamoto za watu wa eneo letu. Lakini siku moja nilipoamua kugombea nafasi ya uongozi, watu wengi walibaki wakinishangaa. Wengine walinicheka waziwazi. Baadhi ya…
-

Hawa ndio wanawake wa Kitanga, hawana limbwata
Canada. Wengi wetu tumeshasikia mengi kuhusiana na wanawake wa Kitanga. Tunaposema “wanawake wa Kitanga,” ni lazima tukiri kwanza kuwa Mkoa wa Tanga una makabila mengi na tofauti. Hivyo, hatuwezi kusema kwa kujiamini kuwa wanawake wote wa mkoa huo wana sifa au tabia zinazofanana. Hata hivyo, tutatumia dhana hii ya jumla ili kujibu swali linalotokana na…
-

UPATIKANAJI UMEME KUENDELEA KUIMARIKA MKOANI IRINGA— MHE. SALOME – Habari Mpya
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Salome Makamba amesema Serikali inaendelea kufanya jitihada mbalimbali ili kuimarisha upatikanaji wa umeme katika Mkoa wa Iringa. Amesema tangu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan aingie madarakani, Mkoa wa Iringa umepokea zaidi ya shilingi bilioni 124 kwa ajili ya kuimarisha huduma ya umeme na…
-

Viboko kwenye malezi ni nidhamu au madhara?
Dar es Salaam. Katika familia nyingi za Kiafrika, adhabu za kimwili zimekuwa sehemu ya malezi kwa watoto kwa muda mrefu. Wazazi na walezi wengi waliamini kuwa viboko ni njia sahihi ya kumrekebisha mtoto anapokosea. Hata hivyo, kadiri nyakati zinavyobadilika na tafiti kuhusu ukuaji wa mtoto kuongezeka, mjadala wa matumizi ya viboko katika malezi unaendelea kushika…
-
NILIVYOPATA SCHOLARSHIP YA KUSOMA NJE BAADA YA KUKATALIWA MARA NYINGI NA KUAMBIWA SINA CONNECTIONS – Habari Mpya
Ndoto yangu kubwa tangu nikiwa mdogo ilikuwa kusoma nje ya nchi. Nilikuwa naamini elimu ingeweza kubadilisha maisha yangu na ya familia yangu. Kila mara nilikuwa nikisoma kwa bidii nikijua siku moja ningepata nafasi ya kusoma kwenye chuo kizuri na kujenga maisha bora ya baadaye. Lakini safari haikuwa rahisi kama nilivyotarajia. Baada ya kumaliza masomo yangu,…
-

DCEA yateketeza kilo 504 za heroini Mtwara
Mtwara. Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), kwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama, imeteketeza kilo 504.36 za heroini zilizokamatwa kutoka kwa raia saba wa Iran katika Bahari ya Hindi ndani ya eneo tengefu la kiuchumi wilayani Kilwa, Mkoa wa Lindi. Uteketezaji huo umefanyika leo Mei 23, 2026 kufuatia amri…
Latest News
About the Author
Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

Search the Archives
Access over the years of investigative journalism and breaking reports
You May Have Missed













