Category: Habari
-

WAZIRI MKUU AHIMIZA MALEZI YA KIMAADILI NA USHIRIKIANO WA KIJAMII – Habari Mpya
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema jamii inapaswa kurejea katika misingi ya malezi ya pamoja na uwajibikaji wa kijamii ili kujenga kizazi chenye maadili, kinachoheshimu viongozi, wazazi pamoja na taasisi za jamii. “Tunataka kujenga jamii inayoguswa na changamoto za wengine. Maadili mema yanaanzia kwenye malezi ya familia na jamii kwa ujumla,” amesema Dkt. Mwigulu. Dkt.…
-

Sh65 bilioni kutekeleza vipaumbele 11 Wizara ya Utalii
Unguja. Wizara ya Utalii na Mambo ya Kale imekuja na vipaumbele 11 ikilenga kuimarisha vivutio vya utalii, kuvihifadhi na kuyaendeleza maeneo ya kihistoria Unguja na Pemba. Ili kutekeleza vipaumbele hivyo, wizara imeomba Baraza la Wawakilishi kuidhinisha Sh65.627 bilioni. Kati ya hizo Sh4.152 bilioni kwa kazi za kawaida, Sh3.948 bilioni kwa ajili ya mishahara na Sh57.525 bilioni kwa utekelezaji wa miradi ya…
-

Teknolojia inavyowanasua vijana janga la ajira
Dar es Salaam. Wakati ukosefu wa ajira rasmi ukiendelea kuwa miongoni mwa changamoto zinazowakabili vijana nchini, kizazi kipya kimeibuka na mbinu mbadala za kujipatia kipato kupitia mitandao ya kijamii, biashara za mtandaoni na kazi za kujitegemea, hali inayozidi kubadili taswira ya soko la ajira Tanzania. Kuanzia TikTok, Instagram, YouTube hadi WhatsApp, mitandao ya kijamii imekuwa…
-

MIRADI YA BARABARA NI UFUNGUO WA UCHUMI WA WANANCHI – Habari Mpya
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali itaendelea kuwekeza katika miradi ya barabara nchini kwa kuwa ndiyo msingi wa kufungua uchumi, kurahisisha usafirishaji wa mazao na kuchochea maendeleo ya wananchi vijijini na mijini. “Hizi kilomita 17 zilizobaki kuelekea Dabaga ni eneo muhimu sana la uzalishaji, hivyo Serikali itaendelea kuweka mkazo kuhakikisha eneo hilo linafunguliwa kwa…
-

Wazazi wanavyoua ubunifu kwa watoto wanapokosea
Dodoma. Umewahi kujiuliza kwa nini watoto wengi wanalalamikiwa kwa kukosa ubunifu? Je, ubunifu wa mtu ni tabia ya kuzaliwa, matokeo ya malezi au mtu hujifunza shuleni? Hapa nazungumzia uwezo wa kulitazama jambo kwa kiu ya udadisi, kulitafutia majibu yasiyozoeleka. Hata dhima kuu ya elimu iliyo bora ni kukuza ubunifu. Kama kuna kitu muhimu elimu bora…
-

TFS wataka ulinzi ubora wa asali
TABORA: WANANCHI wanaojihusisha na ufugaji nyuki na uchakataji wa mazao yatokanayo na nyuki wametakiwa kuzingatia viwango vya ubora na usalama wa bidhaa zao, kwani uzalishaji usiozingatia sheria unaweza kuhatarisha masoko ya ndani na nje ya nchi. Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Uhifadhi kutoka Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS), Hussein Msuya, amesema hayo wakati wa…
-

Mgombea Isimani aahidi kusimama na wanawake
IRINGA: Mgombea ubunge wa Jimbo la Isimani kupitia chama cha UMD katika uchaguzi mdogo, Asma Othman, ameendelea kunadi sera zake kwa wananchi wa maeneo ya jimbo hilo huku akiomba kupewa ridhaa ya kuwaongoza na kuwatetea bungeni. Akizungumza katika mkutano wa kampeni katika kata ya Kising’a uliohudhuriwa na mamia ya wananchi, Asma amesema endapo atachaguliwa atahakikisha…
-

KAMATI YA BUNGE YARIDHISHWA NA UZALISHAJI WA KIWANDA CHA SUKARI MKULAZI – Habari Mpya
Na Mwandishi, Morogoro Serikali imeendelea kutekeleza mikakati iliyoanishwa katika Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 kupitia uwekezaji wa Kiwanda cha Sukari cha Mkulazi kinachomilikiwa kwa ushirikiano kati ya Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) na Jeshi la Magereza. Uwekezaji huo umetajwa kuwa miongoni mwa miradi ya kimkakati inayochangia kukuza uchumi wa nchi, kuongeza…
-

Wawakilishi wataka mbinu mpya kutangaza utalii Zanzibar
Unguja. Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wamesema licha ya jitihada kubwa zinazofanywa na Serikali kutangaza utalii, bado tija haijaonekana hivyo inataka kuongeza jitihada kupanua soko la utalii. Wametoa kauli hiyo leo Mei 23, 2026 wakati wakichangia nakadirio ya mapato na matumizi ya bajeti ya Wizara ya Utalii na Mambo ya Kale Barazani Chukwani Unguja Zanzibar.…
-

MKURUGENZI MKUU VETA AWATAKA WAKUFUNZI 25 WALIOPO NCHINI FINLAND KUWA CHACHU YA MABAILIKO – Habari Mpya
Mkurugenzi Mkuu wa VETA CPA Anthony Kasore amefanya ziara katika chuo cha REDUEdu kilichopo Rovaniemi nchini Finland ili kujionea maendeleo ya wakufunzi 25 wanaopata mafunzo ya ujuzi wa teknolojia zinazohitajika katika Uchimbaji na Ukuzaji Mnyororo wa Thamani wa Madini chuoni hapo. Katika ziara yake chuoni hapo aliambatana na baadhi ya viongozi wa menejimenti ya VETA…
Latest News
About the Author
Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

Search the Archives
Access over the years of investigative journalism and breaking reports
You May Have Missed











