Category: Habari
-

Tanzania ina viwanda 1,604 mafuta ya kula
DODOMA; Waziri wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga amesema Tanzania ina jumla ya viwanda 1,604 vya kuzalisha mafuta ya kula, huku kati ya hivyo viwanda vikubwa ni 14 na kwamba serikali inaendelea kuchukua hatua mbalimbali za kuhakikisha nchi inajitosheleza kwa uzalishaji wa mafuta hayo. Kapinga ametoa taarifa hiyo leo Mei 22, 2026 bungeni jijini Dodoma…
-

Serikali yazungumzia hatua kuimarisha biashara kikanda
DODOMA; Waziri wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga amesema serikali imeendelea kuchukua hatua za kuondoa vikwazo vya biashara visivyo vya kiushuru (NTBs) kati ya Tanzania na nchi jirani, hususan Kenya na Zambia, kwa lengo la kuimarisha biashara na ushirikiano wa kikanda.Akiwasilisha makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Viwanda na Biashara kwa mwaka wa…
-

Spika Zungu aifunda Wizara ya Ujenzi
DAR ES SALAAM: Spika wa Bunge, Mussa Azan Zungu, ameishauru Wizara ya Ujenzi kwa kuonyesha hamasa ya kuingia katika mfumo wa Ubia kati ya Serikali na Sekta Binafsi (PPP). Zungu amesema bila PPP, mzigo wa ujenzi na matengenezo ya barabara ni mkubwa mno kwa serikali peke yake. Alieleza kuwa katika mataifa mengi duniani, serikali huingia…
-

Mgahawa wa Kijapani unavyonogesha utalii Zanzibar
Zanzibar. Sekta ya ukarimu na utalii visiwani Zanzibar imepata msukumo mkubwa wa mtindo wa maisha baada ya uliojikita kuandaa na kuuza vyakula vya asili ya Kijapani wa Maru Restaurant kuanza kutoa huduma hiyo katika eneo jipya la Africa House Garden, Stone Town. Mgahawa huo unaleta vyakula halisi vya Kijapani katika soko la upishi na utalii…
-

Kampuni yatangaza fursa za michezo kuelekea AFCON 2027
DAR ES SALAAM: WAKATI Tanzania ikijiandaa kuwa mwenyeji wa mashindano ya AFCON 2027, kampuni ya T9 imeibuka na mkakati wa kuhamasisha Watanzania kuzitumia fursa za kiuchumi zitakazoambatana na mashindano hayo kupitia uzinduzi wa jarida la T9 Magazine Opportunity Plus. Akizungumza katika uzinduzi huo Dar es Salaam leo Mkurugenzi Mtendaji wa T9, Othman Razak, amesema AFCON…
-

Kiswaga atoa mifuko 120 ya simenti ujenzi kituo cha afya Masaka
IRINGA: Mbunge wa Jimbo la Kalenga, Jackson Kiswaga ameendelea kuunga mkono maendeleo ya wananchi baada ya kukabidhi mifuko 120 ya saruji kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa Kituo cha Afya katika Kata ya Masaka jimboni humo. Hatua hiyo imekuja baada ya hivikaribuni kukabidhi msaada wa mifuko 200 ya simenti katika Shule ya Sekondari Tosamaganga kwa…
-

SUA kutekeleza miradi ya utafiti ya Sh bilioni 3.4
MOROGORO: CHUO Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kimeanza utekelezaji wa miradi mipya 12 ya utafiti yenye jumla ya thamani ya Sh bilioni 3.4. Miradi hiyo ni yenye lengo la kukuza maarifa na kutatua changamoto kwenye sekta ya kilimo, mifugo, mazingira na maendeleo ya jamii kwa ujumla. Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu hicho, Profesa Raphael…
-

Rais Samia kuzingua programu ya mazingira Dodoma
ARUSHA: Rais wa Dk Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua Programu ya Kitaifa ya Mageuzi ya Kimkakati ya Mazingira Endelevu Tanzania jijini Dodoma katika kilele cha siku ya Mazingira Duniani Juni 5, 2026. Ofisi ya Makamu wa Rais imeandaa Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani ambayo Kitaifa yatafanyika katika Mkoa wa Dodoma mnamo Juni 5, 2026,…
-

‘Viwango ni msingi wa afya, uchumi’
DAR ES SALAAM: MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema uzingatiaji wa viwango katika uzalishaji wa bidhaa na huduma ni msingi muhimu wa kulinda afya za wananchi, kukuza biashara, kuimarisha viwanda vya ndani na kujenga uchumi endelevu wa taifa. Chalamila ameyasema hayo katika hafla ya Viwango Marathon iliyoandaliwa na Shirika la Viwango…
Latest News
About the Author
Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

Search the Archives
Access over the years of investigative journalism and breaking reports
You May Have Missed













