Category: Habari
-

Wabunifu watakiwa kulinda kazi zao za sanaa
Dar es Salaam. Wabunifu na wasanii vijana nchini wametakiwa kutambua thamani ya kazi zao za ubunifu kwa kuzilinda kisheria, kuzisimamia kibiashara na kuzitumia kama nyenzo ya kujenga uchumi wao na wa Taifa. Wito huo umetolewa kupitia mafunzo maalumu ya siku mbili kwa wabunifu wa sanaa aina mbalimbali vijana 50 yaliyoandaliwa na Jakaya Mrisho Kikwete Foundation…
-

CZECHIA NA AFRIKA KUSINI WAGAWANA POINTI KOMBE LA DUNIA 2026 – Habari Mpya
Timu ya Taifa ya Afrika Kusini imefanikiwa kutoka sare ya mabao 1-1 dhidi ya Czechia katika mchezo wa hatua ya makundi ya Kombe la Dunia 2026 uliochezwa leo, Juni 18, nchini Mexico. Afrika Kusini, ambao wapo Kundi A, wamefikisha alama moja baada ya matokeo hayo na kwa sasa wanashika nafasi ya mwisho kwenye kundi hilo.…
-

Wahisiwa 64 wa Ebola wabainika Tanzania, Serikali yaongeza ulinzi mipakani
Dodoma. Ili kukabiliana na ugonjwa wa Ebola nchini, Serikali imepeleka maabara mbili Jongezi katika mikoa ya Kagera na Kigoma, kwa ajili ya kuongeza ufanisi katika upimaji wa sampuli kwa wahisiwa wa Ebola hususani wanaoingia nchini kutoa mataifa jirani. Hatua hiyo inajiri huku kukiwa na wahisiwa 64 wa ugonjwa wa Ebola nchini kutoka mikoa 21, ambapo…
-

MKURUGENZI WA UCHAGUZI APONGEZA UFANISI NA UWAZI WA MFUMO WA UAGIZAJI MAFUTA KWA PAMOJA – Habari Mpya
Na Mwandishi Wetu Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Bw. Ramadhan Kailima, amepongeza ufanisi na uwazi wa Mfumo wa Uagizaji Mafuta kwa Pamoja unaosimamiwa na Wakala wa Uagizaji Mafuta kwa Pamoja, akieleza kuwa mfumo huo umechangia kuimarisha ukusanyaji wa mapato ya Serikali na kuhakikisha upatikanaji wa mafuta nchini. Bw. Kailima alitoa…
-

Dirisha la nne la Tuzo za Umahiri wa Tafiti lafunguliwa
Dodoma. Serikali imewataka watafiti wa taasisi za elimu ya juu nchini kutumia fursa ya Tuzo za Umahiri wa Tafiti kuongeza ubora wa tafiti zao na kushindana katika viwango vya kimataifa, huku ikitenga Sh1.5 bilioni kwa ajili ya tuzo hizo katika mwaka wa fedha 2026/27. Akizungumza na waandishi wa habari leo, Juni 18, 2026, jijini Dodoma…
-

SGR IMESAFIRISHA ZAIDI YA ABIRIA MILIONI 6, TAKRIBANI ABIRIA 11,000 KWA SIKU – PROF. MBARAWA – Habari Mpya
Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mnyaa Mbarawa amesema Serikali ya Tanzania inaendelea kutekeleza miradi mikubwa ya kimkakati ya miundombinu ya usafiri inayolenga kuimarisha huduma za usafirishaji katika Ushoroba wa Kati (Central Corridor), huku mafanikio makubwa yakionekana katika reli ya kisasa ya SGR, Bandari ya Dar es Salaam na usafiri wa majini. Akizungumza katika Mkutano wa…
-

‘Wazanzibari tunanufaika zaidi ndani ya Muungano’
Unguja. Wakati kukiwa na mijadala kuhusu masuala ya ubaguzi ndani ya Muungano, baadhi ya wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wamewataka wenzao kuacha kupotosha umma, kwani Zanzibar ndio inanufaika zaidi katika Muungano ikilinganishwa na Tanganyika. Hayo yamebainika leo Juni 18, 2026 wakati wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wakiendelea kuchangia Bajeti Kuu ya Serikali Chukwani Unguja Zanzibar.…
-

OFISI YA WAZIRI MKUU YATHIBITISHA NYENZO MUHIMU ZA KUIMARISHA USIMAMIZI WA MAAFA NCHINI – Habari Mpya
Na Mwandishi Wetu, Dodoma SERIKALI imeendelea kuchukua hatua mbalimbali za kuimarisha mifumo ya usimamizi wa maafa nchini ili kuongeza uwezo wa kuzuia, kujiandaa, kukabiliana na kurejesha hali baada ya maafa, kufuatia kuongezeka kwa matukio yanayochochewa na mabadiliko ya tabianchi pamoja na vihatarishi vingine vya asili na kijamii. Hayo yameelezwa leo Juni 18, 2026 jijini Dodoma…
-

Kamati ya Seneti ya Marekani yapitisha muswada wa kupitia upya uhusiano na Tanzania
Dar es Salaam. Kamati ya Uhusiano wa Kigeni ya Seneti ya Marekani imepitisha jumla ya hoja 24 vya muswada wa sheria unaolenga kuimarisha usalama wa taifa la Marekani, kulinda masilahi yake duniani na kupitia upya uhusiano ya nchi hiyo na mataifa washirika duniani, ikiwemo Tanzania. Hatua hiyo imebainishwa katika taarifa ya pamoja iliyotolewa Jumatano, Juni…
-
YANGA YAITOA SIMBA KILELENI LIGI KUU TANZANIA BARA – Habari Mpya
Mabigwa Watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara Yanga SC imerejesha kileleni mwa Ligi Kuu Bara baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Fountain Gate katika mchezo uliochezwa leo Juni 18, 2026 kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Arusha. Mabao ya haraka yaliyofungwa na kiungo Pacome Zouzoua dakika ya 52 na mshambuliaji Laurindo…
Latest News
About the Author
Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

Search the Archives
Access over the years of investigative journalism and breaking reports
You May Have Missed











