BALOZI MNDEME AWASILISHA HATI ZA UTAMBULISHO KWA MFALME CARL XVI GUSTAF WA SWEDEN – Habari Mpya

Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mheshimiwa Swahiba H. Mndeme, amewasilisha rasmi Hati za Utambulisho kwa Mtukufu Mfalme Carl XVI Gustaf wa Sweden katika hafla maalum iliyofanyika tarehe 22 Mei 2026, kwenye Kasri la Mfalme wa Sweden lililopo jijini Stockholm. Hafla hiyo ya kidiplomasia ni ishara ya kutambuliwa rasmi kwa Balozi Swahiba kama Mwakilishi rasmi wa…

admin Avatar

by

1 minute

Read Time

Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mheshimiwa Swahiba H. Mndeme, amewasilisha rasmi Hati za Utambulisho kwa Mtukufu Mfalme Carl XVI Gustaf wa Sweden katika hafla maalum iliyofanyika tarehe 22 Mei 2026, kwenye Kasri la Mfalme wa Sweden lililopo jijini Stockholm.

Hafla hiyo ya kidiplomasia ni ishara ya kutambuliwa rasmi kwa Balozi Swahiba kama Mwakilishi rasmi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Sweden.

Aidha, hatua hiyo inafungua ukurasa mpya wa kuendelea kuimarisha uhusiano wa muda mrefu, wa kirafiki na kidiplomasia kati ya Tanzania na Sweden.

About the Author

About the Author

Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

BlockSpare — News, Magazine and Blog Addons for (Gutenberg) Block Editor

Search the Archives

Access over the years of investigative journalism and breaking reports