FUNDI SANIFU WA MSD AFNYIA MATENGENEZO KINGA MASHINE YA KUSAFISHA DAMU (UDOM) HOSPITAL – Habari Mpya

Fundi Sanifu wa Bohari ya Dawa (MSD) Raiyah Said akifanya matengenezo Kinga ya mashine ya kusafisha damu na ile ya upasuaji byote vya Hospitali ya Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM). Pamoja na usambazaji wa bidhaa za afya MSD pia hufunga na kuzifanyia matengeneo kinga pale inapohitajika mashine zote za matibabu ambazo imezinunua, kuzisambaza na kizifinga…

admin Avatar

by

1 minute

Read Time

Fundi Sanifu wa Bohari ya Dawa (MSD) Raiyah Said akifanya matengenezo Kinga ya mashine ya kusafisha damu na ile ya upasuaji byote vya Hospitali ya Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM).

Pamoja na usambazaji wa bidhaa za afya MSD pia hufunga na kuzifanyia matengeneo kinga pale inapohitajika mashine zote za matibabu ambazo imezinunua, kuzisambaza na kizifinga kwenye vituo vya kutolea huduma za afya nchi. 

MSD hufanya matengenezo hayo kwa kutumia mafundi sanifu wake ambao wamepatiwa mafunzo ya kuzifungua na kuzifanyia marekebisho pale mashine hizo zinapokuwa zimepata hitilafu, lengo likiwa kuhakikisha huduma kwa wananchi hazisimami au kukwama.

About the Author

About the Author

Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

BlockSpare — News, Magazine and Blog Addons for (Gutenberg) Block Editor

Search the Archives

Access over the years of investigative journalism and breaking reports