UJENZI WA MTAMBO WA KISASA WA KUCHAKATA MAJI TAKA WA MBEZI BEACH WAFIKIA ASILIMIA 70 – Habari Mpya

Ujenzi wa Mtambo wa Kisasa wa Kuchakata Maji Taka wa Mbezi Beach jijini Dar es Salaam Utekelezaji wake umefika asilimia 70 ambapo mradi ukikamilika katika awamu ya kwanza utakuwa na uwezo wa kuchakata maji taka yenye ujazo wa mita za ujazo 16,000 kwa siku kwa kuhudumia maeneo ya Mbezi Beach na Kawe. Mradi utaongezewa uwezo…

admin Avatar

by

1 minute

Read Time

Ujenzi wa Mtambo wa Kisasa wa Kuchakata Maji Taka wa Mbezi Beach jijini Dar es Salaam

Utekelezaji wake umefika asilimia 70 ambapo mradi ukikamilika katika awamu ya kwanza utakuwa na uwezo wa kuchakata maji taka yenye ujazo wa mita za ujazo 16,000 kwa siku kwa kuhudumia maeneo ya Mbezi Beach na Kawe.

Mradi utaongezewa uwezo wa kuchakata maji taka hadi kufikia mita za ujazo elfu 22 kwa siku ili kukidhi mahitaji yanayoongezeka ya huduma za usafi wa mazingira katika maeneo hayo.

About the Author

About the Author

Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

BlockSpare — News, Magazine and Blog Addons for (Gutenberg) Block Editor

Search the Archives

Access over the years of investigative journalism and breaking reports