TIMU YA WATAALAM KUTOKA OFISI YA WAZIRI MKUU YAANZA KUTATUA MGOGORO WA ARDHI MABIBO DSM – Habari Mpya

Timu ya watalaam kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu, Juni 15, 2026 imeanza kutatua mgogoro wa malalamiko ya Kituo cha St. Charles Missionary Society, Tanzania wa kuzuiwa kuendeleza eneo lao Kiwanja Namba “794”, Kitalu “D” Mabibo katika Manispaa ya Ubungo jijini Dar es salaam.  Pichani, Mwenyekiti wa Wadhamini wa Kituo hicho, Sister Flossy Sequiere akiwa katika…

admin Avatar

by

1 minute

Read Time

Timu ya watalaam kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu, Juni 15, 2026 imeanza kutatua mgogoro wa malalamiko ya Kituo cha St. Charles Missionary Society, Tanzania wa kuzuiwa kuendeleza eneo lao Kiwanja Namba “794”, Kitalu “D” Mabibo katika Manispaa ya Ubungo jijini Dar es salaam. 

Pichani, Mwenyekiti wa Wadhamini wa Kituo hicho, Sister Flossy Sequiere akiwa katika picha ya pomoja na Mwenyekiti wa Timu hiyo ambaye pia ni Msaidizi wa Waziri Mkuu Mahusiano, Asasi za Kiraia na Mashirika yasiyo ya Kiserikali, Tryphone Mkolokoti (kulia) na Makamu Mwenyekiti ambaye pia ni Msaidizi wa Waziri Mkuu Masuala ya Ardhi, Senso Magessa baada ya mazungumzo ya awali ya kutatua mgogoro huo kwa maridhiano. yaliyofanyika kwenye nyumba ya Watawa hao, Bonyokwa jijini Dar es salaam.

About the Author

About the Author

Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

BlockSpare — News, Magazine and Blog Addons for (Gutenberg) Block Editor

Search the Archives

Access over the years of investigative journalism and breaking reports