MAANDALIZI YA UJENZI WA BWAWA LA FARKWA YASHIKA KASI – Habari Mpya

Serikali inaendelea na hatua za awali za ujenzi wa bwawa la Farkwa ambapo Wizara ya Maji kupitia programu ya Uhimilivu dhidi ya Mabadiliko ya Tabianchi na Uboreshaji wa huduma ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma ( DSRSWSP) inahamisha nyenzo katika maeneo ya umma ikiwemo shule. Zoezi linafanyika kwa kushirikiana na ofisi za mamlaka za…

admin Avatar

by

1 minute

Read Time

Serikali inaendelea na hatua za awali za ujenzi wa bwawa la Farkwa ambapo Wizara ya Maji kupitia programu ya Uhimilivu dhidi ya Mabadiliko ya Tabianchi na Uboreshaji wa huduma ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma ( DSRSWSP) inahamisha nyenzo katika maeneo ya umma ikiwemo shule.

Zoezi linafanyika kwa kushirikiana na ofisi za mamlaka za Serikali za Mitaa wilaya ya Chemba, mkoa wa Dodoma.

Nyenzo zinazohamishwa zinatoka shule ya msingi Bubutole na shule ya msingi Mombose na kupelekwa katika shule mpya ya Sankwaleto kuboresha miundombinu.

Kinachoendelea kwa sasa ni kukusanya na kusafirisha.

Zoezi hilo ni endelevu kwa Wizara ya Maji kupitia program ya DSRSWSP na Benki ya Maendeleo Afrika (AfDB) kuandaa eneo la mradi.

Mradi wa bwawa la Farkwa unafadhiliwa AfDB.

About the Author

About the Author

Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

BlockSpare — News, Magazine and Blog Addons for (Gutenberg) Block Editor

Search the Archives

Access over the years of investigative journalism and breaking reports