Baada ya kuhitimu masomo yangu, nilikuwa na matumaini makubwa ya kupata kazi nzuri na kuanza kujitegemea. Nilituma maombi kwa kampuni mbalimbali na kuhudhuria mahojiano mengi. Kila nilipoitwa kwenye interview, niliamini safari hii ningepata nafasi niliyokuwa nikiiota. Lakini mara nyingi majibu yalikuwa yale yale.
“Sikuchaguliwa.” Kadri miezi ilivyogeuka kuwa miaka, hali ilianza kuniumiza sana. Niliona marafiki zangu wakipata kazi na kuendelea na maisha huku mimi nikiendelea kutuma maombi kila wiki bila mafanikio. Wakati mwingine nilifika hatua ya kujiuliza kama kulikuwa na kitu nilichokuwa nikifanya vibaya.
Nilijitahidi kuboresha wasifu wangu, kujifunza ujuzi mpya, na kujiandaa vizuri kwa mahojiano. Hata hivyo, kila nilipokuwa karibu kupata matumaini, nilipokea ujumbe mwingine wa kukataliwa. Familia yangu ilinipa moyo, lakini ndani yangu nilikuwa nimeanza kukata tamaa….. SOMA ZAIDI












