Author: admin

  • Mapenzi yalivyosababisha mauaji Dar, Mtwara

    Mapenzi yalivyosababisha mauaji Dar, Mtwara

    Dar/Masasi. Mahakama Kuu iliyoketi kwa nyakati tofauti jijini Dar es Salaam na Masasi mkoani Mtwara, imewahukumu adhabu ya kifo, wanaume wawili baada ya kuthibitika bila shaka kuwa ndio waliofanya mauaji kutokana na wivu wa mapenzi. Jijini Dar es Salaam, Mussa Mchoro alimuua mpenzi wake kwa kumnyonga baada ya kufanya naye mapenzi ambapo asubuhi majirani walipoona…

    Continue Reading

  • UWT KIBAHA MJI YAWANOA VIKALI MAKATIBU WA KATA KUBORESHA UHAI WA JUMUIYA YAO – Habari Mpya

    UWT KIBAHA MJI YAWANOA VIKALI MAKATIBU WA KATA KUBORESHA UHAI WA JUMUIYA YAO – Habari Mpya

    Na Victor Masangu,Kibaha Jumuiya ya Umoja wa wanawake (UWT) Wilaya ya Kibaha katika kuimarisha kasi ya Uhai  wa jumuiya yao pamoja na kuongeza idadi ya wanachama imeamua kukutana  na  makatibu wa uwt ngazi zote za kata kwa lengo la kuweza kujadili mambo mbali mbali ambayo yataweza kuleta tija  na ufanisi zaidi katika utekelezaji wa majukumu…

    Continue Reading

  • Wanafamilia jela maisha kwa heroini, yumo mwanafunzi wa DIT

    Wanafamilia jela maisha kwa heroini, yumo mwanafunzi wa DIT

    Dar es Salaam. Wakazi wawili jijini Dar es Salaam wenye uhusiano wa kifamilia, wamehukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kosa la kusafirisha dawa za kulevya aina ya heroini huku mama mzazi wa mmoja wa washitakiwa akiachiwa huru. Hata hivyo, Mahakama Kuu ya Tanzania, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, Masjala ya Dar es Salaam chini…

    Continue Reading

  • Huduma za dharura Manyara zapunguza hatari ya vifo

    Huduma za dharura Manyara zapunguza hatari ya vifo

    MANYARA: UBORESHAJI wa miundombinu ya huduma za afya katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Manyara umechangia kwa kiasi kikubwa kupunguza vifo vinavyotokana na ajali za barabarani na dharura mbalimbali, kutokana na kuongezeka kwa uwezo wa hospitali kutoa huduma za haraka na za kibingwa. Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi…

    Continue Reading

  • SERIKALI KUIMARISHA MIFUMO YA USIMAMIZI WA MAAFA – Habari Mpya

    SERIKALI KUIMARISHA MIFUMO YA USIMAMIZI WA MAAFA – Habari Mpya

    Na mwandishi wetu, Morogoro SERIKALI imeendelea kuimarisha mifumo ya uratibu, kujiandaa na kukabiliana na maafa ili kuhakikisha misaada ya kibinadamu inayotolewa inawafikia walengwa kwa wakati, ufanisi na kwa kuzingatia viwango vya kimataifa. Hayo yameelezwa leo tarehe 02 Juni, 2026 na Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Usimamizi wa Maafa kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge,…

    Continue Reading

  • Hizi hapa biashara zinazovutia wafadhili wa mitaji nchini

    Hizi hapa biashara zinazovutia wafadhili wa mitaji nchini

    Dar es Salaam. Kilimo kinaendelea kuwa uti wa mgongo wa uchumi wa Tanzania, kikichangia takribani asilimia 26 ya pato la Taifa na kuajiri zaidi ya asilimia 65 ya Watanzania. Ukuaji huu unaifanya sekta hiyo kubaki kitovu cha fursa za uwekezaji na mtaji, hasa katika mnyororo wa thamani wa mazao. Katika majadiliano ya wadau katika Jukwaa…

    Continue Reading

  • KUNENGE AWAAAGIZA WAKURUGENZI KUWAWAJIBISHA WATENDAJI WANAOSABABISHA MIGOGORO YA ARDHI – Habari Mpya

    KUNENGE AWAAAGIZA WAKURUGENZI KUWAWAJIBISHA WATENDAJI WANAOSABABISHA MIGOGORO YA ARDHI – Habari Mpya

      Na Mwamvua Mwinyi, Pwani Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge, ametoa tahadhari kwa wakurugenzi wa halmashauri mkoani humo kuacha kuwalea kwa kuwakumbatia watendaji wa vijiji na kata pamoja na viongozi wa chama wanaojihusisha na uchochezi wa migogoro ya ardhi kupitia uuzaji au ugawaji wa maeneo kiholela. Aidha, amewaagiza wakurugenzi hao kutimiza wajibu wao…

    Continue Reading

  • WAFUNGWA MAISHA KWA KOSA LA BIASHARA HARAMU YA DAWA ZA KULEVYA – Habari Mpya

    WAFUNGWA MAISHA KWA KOSA LA BIASHARA HARAMU YA DAWA ZA KULEVYA – Habari Mpya

    Mahakama Kuu ya Tanzania, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, imewahukumu kifungo cha maisha jela Suleiman Thabit Ngulangwa na Farid Hamis Said baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la biashara haramu ya dawa za kulevya aina ya heroin yenye uzito wa kilo 15.19. Katika hukumu iliyotolewa Juni 1, 2026, Jaji S.E. Kisanya alisema…

    Continue Reading

  • Serikali imelipa deni kwa asilimia 68 ya malengo

    Serikali imelipa deni kwa asilimia 68 ya malengo

    Dodoma. Hadi kufikia Aprili mwaka huu, Serikali ilishalipa deni la Serikali la   Sh9.74 trilioni ambalo ni asilimia 68.5 ya malengo yaliyotarajiwa kwa kipindi hicho. Takwimu hizo zimetolewa leo Jumanne Juni 2,2026 na Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Mussa Omar wakati akiwasilisha bajeti ya Wizara ya Fedha kw amwaka 2026/27. Amesema katika kipindi cha kwa mwaka…

    Continue Reading

  • Wahukumiwa jela maisha kwa kuuza dawa za kulevya

    Wahukumiwa jela maisha kwa kuuza dawa za kulevya

    DAR ES SALAAM: Mahakama Kuu ya Tanzania, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, imewahukumu kifungo cha maisha jela Suleiman Thabit Ngulangwa na Farid Hamis Said baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la biashara haramu ya dawa za kulevya aina ya heroin yenye uzito wa kilo 15.19. Katika hukumu iliyotolewa Juni 1, 2026, Jaji…

    Continue Reading

About the Author

Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

BlockSpare — News, Magazine and Blog Addons for (Gutenberg) Block Editor

Search the Archives

Access over the years of investigative journalism and breaking reports