Author: admin

  • Chadema, Msajili wajadiliana lakini mambo bado..

    Chadema, Msajili wajadiliana lakini mambo bado..

    Dar es Salaam. Wakati Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa ikisema haikionei Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), uongozi wa chama hicho umedai kuwa ofisi hiyo imeshindwa kuzingatia misingi ya weledi na utawala bora katika utekelezaji wa majukumu yake, hususan kwa kuvujisha kwa umma barua zinazoandikiwa. Pia, Chadema imeituhumu Ofisi ya Msajili kwa kupotosha…

    Continue Reading

  • LIVE: Mwisho wa enzi za Leonard Mususa

    LIVE: Mwisho wa enzi za Leonard Mususa

    Dar es Salaam. Safari ya miaka 72 ya maisha ya duniani ya Mwenyekiti mstaafu wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mwananchi Communications Limited (MCL), Leonard Mususa, inatarajiwa kuhitimishwa leo, katika makaburi ya Kondo, jijini Dar es Salaam. LIVE: Mwisho wa enzi za Leonard Mususa Mususa, aliyeitumikia MCL inayochapisha magazeti ya Mwananchi, Mwanaspoti na The Citizen, alifariki…

    Continue Reading

  • Mapya Tume ya Jaji Lila, mahakama yasema…

    Mapya Tume ya Jaji Lila, mahakama yasema…

    Dar es Salaam. Mahakama Kuu Masjala Ndogo Kigoma imeamuru wajumbe wa Tume ya Rais ya Uchunguzi wa Kijinai katika Matukio ya Ghasia za Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, waitwe mahakamani hapo kwa kutangazwa kupitia Gazeti la Mwananchi. Uamuzi huo umetolewa jana Jumatatu, Juni Mosi, 2026 na  Jaji Agustine Rwizile, anayesikiliza shauri…

    Continue Reading

  • Emmanuela aibuka na ushindi wa 93.5% Isimani

    Emmanuela aibuka na ushindi wa 93.5% Isimani

    IRINGA: Mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi mdogo wa ubunge wa Jimbo la Ismani, Emmanuela Mtatifikolo, ameibuka mshindi kwa ushindi wa kishindo baada ya kupata kura 70,905, sawa na asilimia 93.5 ya kura halali 75,874 zilizopigwa. Matokeo hayo yalitangazwa rasmi na Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Ismani, Caroline Otieno, baada ya kukamilika…

    Continue Reading

  • Huyu hapa mrithi wa Lukuvi Ismani

    Huyu hapa mrithi wa Lukuvi Ismani

    Iringa. Mgombea wa ubunge wa Jimbo la Ismani kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Emmanuela Mtatifikolo ameibuka mshindi baada ya kupata kura 70,905 kati ya kura halali 75,874 zilizopigwa katika uchaguzi wa jimbo hilo. Matokeo hayo yametangazwa rasmi leo Juni 2, 2026 na Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Ismani, Caroline Ang’wen Otieno, baada ya kukamilika…

    Continue Reading

  • RAIS DKT. SAMIA AELEKEA MOSCOW URUSI KWA ZIARA YA KITAIFA – Habari Mpya

    RAIS DKT. SAMIA AELEKEA MOSCOW URUSI KWA ZIARA YA KITAIFA – Habari Mpya

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Matukio tofauti ya Picha alipoondoka Katika Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere Dar es salaam kuelekea Nchini Urusi kwenye Ziara ya Kitaifa ikiwa ni Mwaliko wa Rais wa Shirikisho la Urusi Mhe. Vladimir Putin Leo Juni 02,2026.

    Continue Reading

  • Kafulila kuongoza mhadhara sekta ya umma, binafsi

    Kafulila kuongoza mhadhara sekta ya umma, binafsi

    DODOMA: Mkurugenzi Mtendaji wa PPP Centre, David Kafulila, anatarajiwa kuwa na Mhadhara Maalum wa Umma Chuo Kikuu cha Dodoma kesho ukijikita katika nafasi ya ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP) katika kuharakisha maendeleo ya Tanzania kuelekea Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050. Mhadhara huo, ulioandaliwa na College of Business and Economics…

    Continue Reading

  • NAIBU WAZIRI KWAGILWA ATEMBELEA BANDA LA TANESCO KWENYE MAONESHO KUELEKEA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI – Habari Mpya

    NAIBU WAZIRI KWAGILWA ATEMBELEA BANDA LA TANESCO KWENYE MAONESHO KUELEKEA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI – Habari Mpya

    *Aipongeza TANESCO kuendelea kuhamasisha matumizi ya Nishati Safi ya kupikia kwa umeme. *Ahimiza TANESCO kuendelea kupanda miti kwa wingi kwenye vyanzo vya uzalishaji wa umeme Na. Mariam Juma, Dodoma Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Kwagilwa Reuben leo Juni 01, 2026 ametembelea banda la Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kwenye…

    Continue Reading

  • ATCL IKO MBIONI KURUDISHA SAFARI ZA DUBAI MWEZI HUU – Habari Mpya

    Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Ndege la Air Tanzania Company Limited (ATCL) Mhandisi Peter Ulanga, amesema shirika hilo linajiandaa kurudi rasmi kwenye safari za Dubai kuanzia katikati ya mwezi Juni hadi Agosti 2026. Akizungumza katika mahojiano ya hivi karibuni kwenye kipindi cha Power Breakfast cha Clouds FM na Clouds Media, mahojiano ambayo pia yalirushwa na…

    Continue Reading

  • Kiswahili, hazina ya Tanzania – HabariLeo

    Kiswahili, hazina ya Tanzania – HabariLeo

    WAKATI mataifa mengi duniani yakitafuta njia za kukuza uchumi, kuimarisha diplomasia na kuunganisha wananchi wake, Tanzania inaendelea kunufaika na hazina kubwa ya lugha ya Kiswahili ambayo sasa imekuwa alama ya utambulisho wa Afrika na daraja la mawasiliano ya kimataifa. Kutoka Marekani hadi China, Ujerumani hadi Korea Kusini, Kiswahili kinaendelea kufundishwa katika taasisi mbalimbali za elimu…

    Continue Reading

About the Author

Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

BlockSpare — News, Magazine and Blog Addons for (Gutenberg) Block Editor

Search the Archives

Access over the years of investigative journalism and breaking reports