Author: admin
-
SERIKALI YAENDELEA KUIMARISHA ULINZI WA WATOTO NA KUPAMBANA NA UKATILI WA KIJINSIA – Habari Mpya
Na Oscra Tarimo WMJJWM- Dodoma Serikali kupitia Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum imeendelea kuimarisha juhudi za kulinda watoto na kupambana na vitendo vya ukatili wa kijinsia kwa kutekeleza afua mbalimbali katika jamii na taasisi za elimu nchini. Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima…
-

BALOZI WA TANZANIA AWASILISHA HATI ZA UTAMBULISHO KWA MKURUGENZI MKUU UNESCO – Habari Mpya
Paris, Ufaransa Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Ufaransa na Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika UNESCO, Mhe. Saidi Othman Yakubu, amewasilisha rasmi Hati za Utambulisho kwa Mkurugenzi Mkuu wa UNESCO, Profesa Khaled El-Enany, katika Makao Makuu ya Shirika hilo jijini Paris, Ufaransa. Uwasilishaji huo wa hati unamwezesha Mhe. Balozi Yakubu kuanza rasmi…
-

WIZARA YA MAJI YAJIKITA MAADHIMISHO YA WIKI YA MAZINGIRA KITAIFA – Habari Mpya
Wizara ya Maji ni miongoni mwa washiriki wa Maadhimisho ya Wiki ya Mazingira Kitaifa yanayofanyika katika viwanja vya ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma. Maadhimisho yamebeba kauli mbiu isemayo: “Dira 2050 Tuwajibike kukijanisha Tanzania” Wiki ya Mazingira Kitaifa na yatafanyika kuanzia tarehe 1-5 Juni,2026. Kila mwaka maadhimisho haya huwakutanisha wadau kutoka sekta mbalimbali za Serikali…
-

WAFANYABIASHARA NDOGONDOGO ZAIDI YA 8,400 WANUFAIKA MIKOPO YA SH. BILIONI 17.9 – Habari Mpya
Na. Meleka Kulwa, Fullshangwe Blog, Bungeni Dodoma Serikali kupitia Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum imeendelea kuimarisha uwezeshaji wa wafanyabiashara ndogondogo nchini ambapo zaidi ya wafanyabiashara 8,400 wamenufaika na mikopo yenye masharti nafuu yenye thamani ya Shilingi bilioni 17.9.Akiwasilisha makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara hiyo kwa mwaka wa fedha…
-
NILIVYOMTAFUTA KAKA YANGU KWA MIAKA SABA NA HATIMAYE KUPATA TAARIFA ZILIZOBADILISSHA FAMILIA YETU MILELE – Habari Mpya
Miaka saba ni muda mrefu sana kumkosa mtu unayempenda. Lakini ndivyo ilivyokuwa kwetu baada ya kaka yangu kutoweka ghafla bila kuaga wala kuacha maelezo yoyote. Mwanzoni tuliamini angerudi baada ya siku chache. Tulidhani labda alikuwa amesafiri au alikuwa na matatizo aliyohitaji kuyatatua peke yake. Lakini siku zikageuka wiki. Wiki zikageuka miezi. Na miezi ikageuka miaka.…
-
NILIVYOPATA MTEJA MKUBWA ALIYEINUA BIASHARA YANGU BAADA YA MWAKA MZIMA WA HASARA NA MADENI – Habari Mpya
Kulikuwa na kipindi maishani mwangu ambapo kila siku nilifungua biashara yangu bila kujua kama ningepata faida au hasara. Nilikuwa nimewekeza fedha nyingi kwenye biashara yangu nikiamini ingeweza kubadilisha maisha yangu na ya familia yangu. Mwanzoni mambo yalikuwa yanaenda vizuri, lakini baada ya muda hali ilianza kubadilika. Wateja walipungua. Mauzo yakaanza kushuka mwezi baada ya mwezi.…
-
ALIYEKUWA MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA BUHIGWE NA WENZAKE WAFIKISHWA MAHAKAMANI KWA TUHUMA ZA RUSHWA NA UHUJUMU UCHUMI – Habari Mpya
Aliyekuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Buhigwe, Essau Hossiana Ngoloka, pamoja na wenzake sita wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Buhigwe wakikabiliwa na kesi tatu zinazohusisha tuhuma za rushwa na uhujumu uchumi.Mashauri hayo yamefunguliwa katika Mahakama ya Wilaya ya Buhigwe mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi, Mheshimiwa Kitoki Mwakitalu, yakiwa na namba ECCO 11952/2026, ECCO…
-

KAMBARAGE, FATMA NA CHUMI WAAPA KUWA WABUNGE WA BUNGE LA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI – Habari Mpya
Wabunge wapya wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki waliopigiwa kura hivi karibuni na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambao ni Ndugu Kambarage Wasira, Fatma Kange na Cosato Chumi, wameapa leo 01 Juni 2026 wakati wa kikao cha Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA) kuanza shughuli za Bunge hilo, Jijini Arusha.
-

VIPAUMBELE SABA VYA WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII 2026/27 – Habari Mpya
Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum imetangaza vipaumbele saba itakavyovitekeleza katika mwaka wa fedha 2026/27 kwa lengo la kujenga jamii imara, jumuishi na yenye maendeleo endelevu. Akiwasilisha makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2026/2027, leo Juni 1 , 2026 bungeni jijini Dodoma, Waziri wa Maendeleo…
Latest News
About the Author
Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

Search the Archives
Access over the years of investigative journalism and breaking reports
You May Have Missed












