Author: admin
-

Rais Samia kufanya ziara ya kihistoria Urusi, kutunukiwa shahada
Dar es Salaam. Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuanza ziara ya kitaifa ya siku tatu nchini Urusi kuanzia Juni 3 hadi 5, 2026, ambapo atafanya mazungumzo rasmi na Rais wa nchi hiyo, Vladimir Putin, pamoja na kushiriki katika Jukwaa la Kimataifa la Uchumi la St. Petersburg (SPIEF 2026). Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa…
-
KIHONGOSI KUANZA ZIARA RASMI JUNI 4 HADI 6 MKOANI ARUSHA – Habari Mpya
Wananchi mkoani Arusha wametakiwa kujitokeza kwa wingi katika mikutano ya hadhara itakayofanyika wakati wa ziara ya Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) anayeshughulikia Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Kenani Laban Kihongosi, ambayo inalenga kuwasilisha kero, changamoto na maoni yao kwa viongozi wa chama na serikali. Katibu wa Itikadi, Siasa na…
-

Muliro aionya jamii kuhusisha uhalifu na makabila
DAR ES SALAAM: Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, SACP Jumanne Muliro, amewapongeza viongozi na wanajamii wa Kimasai wanaoishi jijini humo kwa kuendeleza misingi ya uaminifu, uadilifu na uwajibikaji katika shughuli mbalimbali wanazotekeleza. Akizungumza na viongozi wa jamii hiyo, Muliro alisema ameridhishwa na namna walivyojitokeza kujadili masuala yanayozingatia Katiba ya Jamhuri ya…
-

RAIS DKT. SAMIA KUFANYA ZIARA YA KIHISTORIA YA KITAIFA NCHINI URUSI, KUSHIRIKI JUKWAA LA SPIEF 2026 – Habari Mpya
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, atafanya Ziara ya Kitaifa katika Shirikisho la Urusi kuanzia tarehe 3 hadi 5 Juni 2026, kwa mwaliko wa Rais wa Shirikisho la Urusi, Mheshimiwa Vladimir Putin. Ziara hii ni ya kihistoria kwa kuwa itakuwa ya pili kufanywa na Rais wa Tanzania nchini…
-
NILIVYOPATA MTEJA WA KWANZA KUPITIA FACEBOOK BAADA YA BIASHARA YANGU KUKAA MIEZI BILA MAUZO YA MAANA – Habari Mpya
Kwa miaka mingi nilikuwa naishi maisha ya kutafuta kazi kila siku bila mafanikio ya maana. Baada ya kumaliza masomo, nilikuwa na matumaini makubwa kwamba ningepata kazi nzuri haraka. Nilikuwa na ndoto ya kusaidia familia yangu, kujitegemea, na kuishi maisha bora. Lakini mambo hayakwenda kama nilivyotarajia. Nilianza kutuma applications kila mahali. Mara nyingine nilikuwa nikiitwa interviews,…
-
DC SITTA AWATAKA WAJASIRIAMALI KUTUMIA FURSA ZA SERIKALI KUIMARISHA BIASHARA ZAO – Habari Mpya
WITO umetolewa kwa wajasiriamali nchini kutumia kikamilifu fursa mbalimbali zinazowekwa na Serikali ili kuongeza uzalishaji, kupanua masoko na kukuza biashara zao kwa manufaa ya uchumi wa mtu mmoja mmoja na taifa kwa ujumla. Wito huo umetolewa na Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Benjamin Sitta, wakati akifungua mafunzo maalumu ya ujasiriamali yaliyoandaliwa na Mbunge wa Iringa…
-

Bandari zahimizwa kutumia nishati safi kuendesha shughuli zao
Dar es Salaam. Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limezitaka kampuni zinazofanya kazi za bandari nchini kugeukia nishati safi katika kuendesha shughuli zao za kila siku ili kupunguza uzalishaji hewa ukaa. Wito huo umetolewa leo Juni Mosi, 2026 jijini Dar es Salaam na Ofisa Mazingira kutoka NEMC, Jackline Wikechi wakati wa…
-

CCM TANGA YAKABIDHI MILIONI 500 KUKAMILISHA UJENZI WA NYUMBA 36 ZA WATUMISHI – Habari Mpya
Yalenga Kuimarisha Ufanisi wa Chama Na Oscar Assenga, TANGA Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Tanga kimeongeza kasi ya utekelezaji wa mradi wake wa ujenzi wa nyumba 36 za watumishi baada ya Mwenyekiti wa chama hicho mkoani humo, Rajab Abdulrahman, kukabidhi shilingi milioni 500 kwa ajili ya kukamilisha mradi huo unaotekelezwa katika wilaya tisa za…
-

Matumaini mapya tiba wenye kisukari
Dar es Salaam. Kwa zaidi ya miaka 100 tangu kugunduliwa kwa insulini mwaka 1921, wagonjwa wa kisukari, hasa aina ya kwanza (Type 1), wamekuwa wakitegemea sindano za insulini kuishi. Hata hivyo, maendeleo ya hivi karibuni kutoka China yameibua matumaini kwamba siku moja baadhi ya wagonjwa wanaweza kuishi bila sindano hizo. Watafiti wa Chuo Kikuu cha…
-

CCM yaitaka TFS kurejesha pikipiki walizokamata
MANYARA: CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimewaelekeza Viongozi wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) Mkoa wa Manyara kuhakikisha pikipiki zilizokamatwa kutoka kwa wananchi zinarejeshwa mara moja kwa wahusika ambao wamenyang’anywa. Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Kenani Kihongosi ametoa maagizo hayo leo Juni Mosi, 2026 katija viwanja vya Shule ya…
Latest News
About the Author
Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

Search the Archives
Access over the years of investigative journalism and breaking reports
You May Have Missed











