Author: admin

  • Wawakilishi waikalia kooni Kampuni ya Rand Water tatizo la maji Zanzibar

    Wawakilishi waikalia kooni Kampuni ya Rand Water tatizo la maji Zanzibar

    Unguja. Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar wameikalia kooni kampuni ya Rand Water, wakidai imeshindwa kutatua changamoto ya upatikanaji wa maji visiwani humo, huku wakisisitiza kuwa bila Serikali kuweka bajeti zinazotekelezeka, tatizo hilo litaendelea kuwaumiza wananchi. Wawakilishi hao, wameeleza kuwa licha ya Serikali kuja na sera inayoruhusu ushirikiano kati ya sekta binafsi na Serikali katika…

    Continue Reading

  • MSI YAIBUA TUZO MAALUM KWA WANAHABARI WA AFYA YA UZAZI EJAT 2025 – Habari Mpya

    MSI YAIBUA TUZO MAALUM KWA WANAHABARI WA AFYA YA UZAZI EJAT 2025 – Habari Mpya

    Na.Sophia Kingimali Katika hatua ya kuhamasisha uandishi wa habari unaogusa maisha ya wananchi moja kwa moja, Shirika la MSI Tanzania limezindua rasmi Tuzo ya Uandishi wa Habari za Afya ya Uzazi ndani ya Tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari Tanzania (EJAT) 2025. Tuzo hiyo mpya inalenga kuongeza hamasa kwa wanahabari kuandika taarifa zenye kuelimisha…

    Continue Reading

  • 78 wakamatwa kwa uhalifu Shinyanga

    78 wakamatwa kwa uhalifu Shinyanga

    Shinyanga. Jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga, limekamata watuhumiwa 78 kwa makosa mbalimbali pamoja na silaha moja aina ya bastola ikiwa na risasi 11, iliyoripotiwa kuibiwa Mei 10, 2026 katika mtaa wa Nyakato wilayani Kahama. Silaha hiyo ilikuwa mali halali ya Richard Mhabi, huku watu wawili wakishikiliwa kuhusiana na tukio hilo na tayari wamefikishwa kwenye…

    Continue Reading

  • Kituo cha mafuta Arusha kuongeza ajira

    Kituo cha mafuta Arusha kuongeza ajira

    ARUSHA: UZINDUZI wa kituo kipya cha mafuta cha Orxy wilayani Karatu mkoani Arusha ni hatua muhimu ya kuongeza fursa za ajira, kurahisisha upatikanaji wa nishati ya mafuta kwa wasafirishaji na kuchochea shughuli za kiuchumi. Akizungumza leo Mei 29, 2026 katika hafla ya uzinduzi wa kituo hicho kitakachoendeshwa chini ya Kampuni ya Halyaz, Mkuu wa Wilaya…

    Continue Reading

  • UZINDUZI WA KITUO CHA MAFUTA CHA ORYX KARATU KURAHISISHA UPATIKANAJI MAFUTA – Habari Mpya

    UZINDUZI WA KITUO CHA MAFUTA CHA ORYX KARATU KURAHISISHA UPATIKANAJI MAFUTA – Habari Mpya

    Na Mwandishi Wetu UZINDUZI wa wa kituo kipya cha mafuta cha Orxy wilayani Karatu mkoani Arusha umeelezwa kuwa ni hatua muhimu ya kuongeza fursa za ajira, kurahisisha upatikanaji wa nishati ya mafuta kwa wasafirishaji nchini na kuchochea shughuli za kiuchumi katika eneo linalotajwa kuwa lango kuu la utalii nchini. Akizungumza leo Mei 29, 2026 katika…

    Continue Reading

  • CCM: Wazee ni hazina ya taifa, tutawalinda na kuwaheshimu

    CCM: Wazee ni hazina ya taifa, tutawalinda na kuwaheshimu

    Siha. Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kitaendelea kuwalinda na kuwaheshimu wazee kwa kutambua mchango wao mkubwa katika historia ya taifa na maendeleo ya nchi, kikieleza kuwa wazee ni hazina ya hekima inayopaswa kuthaminiwa. Kauli hiyo imetolewa leo Ijumaa Mei 29,2026 na Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Kenani Kihongosi wakati akizungumza katika…

    Continue Reading

  • JK AKUTANA TENA NA CATHERINE MIAKA 18 BAADA YA UPASUAJI WA MOYO – Habari Mpya

    JK AKUTANA TENA NA CATHERINE MIAKA 18 BAADA YA UPASUAJI WA MOYO – Habari Mpya

    Asubuhi ya Ijumaa, Novemba 14, 2008 Rais wa Awamu ya Nne wa Tanzania, Dkt Jakaya Mrisho Kikwete, alisimama kwa muda kando ya kitanda cha binti mdogo Catherine P. Conrdad Minja mwenye umri wa miaka minne katika Taasisi ya Mifupa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MOI), akimsabahi na kumtakia nafuu ya haraka baada ya kufanyiwa…

    Continue Reading

  • Wadau wataja mbinu za kurejesha imani ya wananchi kwa Polisi

    Wadau wataja mbinu za kurejesha imani ya wananchi kwa Polisi

    Dar es Salaam. Wachambuzi wa masuala ya siasa na sheria nchini wamesema Jeshi la Polisi linahitaji mabadiliko ya kina ili kurejesha imani ya wananchi, wakisisitiza umuhimu wa kulifumua ili kuimarisha ufanisi na uwajibikaji wake. Wamesema mabadiliko hayo yanapaswa kuanzia katika mifumo ya utendaji, mawasiliano na wananchi pamoja na namna chombo hicho kinavyoshughulikia kero za jamii.…

    Continue Reading

  • THRDC, Wamasai waungana kulaani mauaji ya Bhaozang Ge

    THRDC, Wamasai waungana kulaani mauaji ya Bhaozang Ge

    DAR ES SALAAM: WAKILI wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), Onesmo Olengurumwa, ameliomba Jeshi la Polisi kushirikiana na viongozi wa jamii ya Kimasai jijini Dar es Salaam ili kubaini watu wanaodhaniwa kuhusika katika mauaji ya raia wa China ambaye ni mmiliki wa kiwanda cha kuchakata chupa za plastiki, Bhaozang Ge. Olengurumwa…

    Continue Reading

  • Msajili arudi na rungu jingine Chadema

    Msajili arudi na rungu jingine Chadema

    Dar es Salaam. Ni kama Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) inazunguka ndani ya mtego uliowekwa na Msajili wa Vyama vya Siasa baada ya kuandikiwa tena barua ya ofisi hiyo ikitakiwa kujieleza kwa nini isisimamishiwe usajili kutokana na kukiuka masharti ya Sheria ya vyama vya siasa. Rungu hili la msajili linakuja ikiwa ni wiki chache…

    Continue Reading

About the Author

Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

BlockSpare — News, Magazine and Blog Addons for (Gutenberg) Block Editor

Search the Archives

Access over the years of investigative journalism and breaking reports