Author: admin

  • Watunga sera, watafiti kujadili mafaniko TRA kesho

    Watunga sera, watafiti kujadili mafaniko TRA kesho

    DAR ES SALAAM: WATUNGA sera, watafiti, wataalamu wa kodi, wawakilishi wa sekta binafsi, walipa kodi na wadau mbalimbali wa maendeleo wanatarajia kukutana kesho Dar es Salaam kujadili mafanikio ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA). Majadiliano hayo yanayofanyika kupitia Chuo cha Kodi, yatalenga mafanikio yaliyopatikana katika miaka 30 ya usimamizi wa mapato na kuweka dira ya…

    Continue Reading

  • Ilichoamua mahakama kesi ya ubunge wa Baba Levo

    Ilichoamua mahakama kesi ya ubunge wa Baba Levo

    Kigoma. Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Kigoma imesogeza mbele usikilizaji wa maombi ya nyongeza ya muda wa kuwasilisha maelezo ya mashahidi wa walalamikaji katika kesi ya uchaguzi wa Jimbo la Kigoma Mjini, kutoka saa 6:00 mpaka saa 8:00 mchana wa leo Alhamisi, Juni 18, 2026. Kesi hiyo ya uchaguzi namba 28949 ya Mwaka 2025 imefunguliwa…

    Continue Reading

  • MAANDALIZI YA UJENZI WA BWAWA LA FARKWA YASHIKA KASI – Habari Mpya

    MAANDALIZI YA UJENZI WA BWAWA LA FARKWA YASHIKA KASI – Habari Mpya

    Serikali inaendelea na hatua za awali za ujenzi wa bwawa la Farkwa ambapo Wizara ya Maji kupitia programu ya Uhimilivu dhidi ya Mabadiliko ya Tabianchi na Uboreshaji wa huduma ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma ( DSRSWSP) inahamisha nyenzo katika maeneo ya umma ikiwemo shule. Zoezi linafanyika kwa kushirikiana na ofisi za mamlaka za…

    Continue Reading

  • Wito watolewa vituo vya yatima kutumia nishati safi

    Wito watolewa vituo vya yatima kutumia nishati safi

    DAR ES SALAAM: MKURUGENZI wa Masoko na Mauzo Hoteli ya Serena, Dar es Salaam, Seraphin Lusala, amesema jamii inapaswa kusaidiana na serikali kuhakikisha vituo vya kulelea watoto yatima vinaachana na matumizi ya kuni kwa ajili ya kupikia na kutumia nishati safi. Amesema serikali inafanya juhudi kubwa kupunguza matumizi ya mkaa, kuni, hivyo ni wajibu wa…

    Continue Reading

  • Ongezeko la Pato la Taifa linagusaje maisha yako?

    Ongezeko la Pato la Taifa linagusaje maisha yako?

    Wakati uchumi wa Tanzania ukiendelea kukua kwa kasi, mojawapo ya maswali yanayoendelea kujitokeza miongoni mwa wananchi ni kwanini takwimu za ukuaji wa Pato la Taifa (GDP) na hata pato la Mtanzania mmoja mmoja, hazionekani na kugusa maisha yao ya kila siku. Ingawa Serikali hutangaza mafanikio ya kiuchumi, wananchi wengi bado wanahisi kama hawanufaiki ipasavyo na…

    Continue Reading

  • WADAU WA MAZINGIRA KUTOKA UJERUMANI WAONESHA NIA YA KUWEKEZA TANZANIA – Habari Mpya

    WADAU WA MAZINGIRA KUTOKA UJERUMANI WAONESHA NIA YA KUWEKEZA TANZANIA – Habari Mpya

    Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais Dkt. Richard Muyungi, akiwa katika mazungumzo na Bw. Lorenzo Guadagno wa Sekretarieti ya Santiago Network pamoja na ujumbe ulioambatana nao, pembeni mwa mkutano wa SB64 mjini Bonn, Ujerumani. Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Dkt. Richard Muyungi (kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Mtaalamu…

    Continue Reading

  • Jenga utajiri kifedha kwa kutumia bondi

    Jenga utajiri kifedha kwa kutumia bondi

    Watu wengi wanapofikiria uwekezaji, mara nyingi huangalia biashara, viwanja au nyumba za kupangisha. Hata hivyo, kuna njia nyingine inayoweza kusaidia kujenga mali za muda mrefu na kuandaa maisha bora ya baadaye. Bondi ni chombo cha uwekezaji, mwekezaji huikopesha Serikali au kampuni fedha kwa muda maalumu na kwa malipo ya riba ya mara kwa mara inayojulikana…

    Continue Reading

  • UMOJA WA KITAIFA NI MUHIMU KATIKA UTEKELEZAJI WA DIRA 2050 – WAZIRI DEUS SANGU – Habari Mpya

    UMOJA WA KITAIFA NI MUHIMU KATIKA UTEKELEZAJI WA DIRA 2050 – WAZIRI DEUS SANGU – Habari Mpya

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano ya Kazi, Mheshimiwa Deus Sangu, akihutubia Viongozi na Wajumbe wa Baraza la Vyama vya Siasa katika warsha iliyolenga kujadili dhana ya mahusiano na ushirikishwaji, iliyofanyika katika Ukumbi wa Nashera, Mkoa wa Morogoro, tarehe 17 Juni 2026. Msajili wa Vyama vya Siasa, Mheshimiwa Jaji…

    Continue Reading

  • Jinsi ya kukieleza kizazi cha simu janja kuhusu kazi

    Jinsi ya kukieleza kizazi cha simu janja kuhusu kazi

    Dar es Salaam.  Katika kipindi cha miaka ishirini iliyopita, dunia ya kazi imepitia mabadiliko makubwa ambayo hayajawahi kushuhudiwa hapo awali. Wakati zamani kazi ilitafsiriwa kama uwepo wa mfanyakazi ofisini kuanzia saa mbili asubuhi hadi saa kumi na moja jioni, leo dhana hiyo imebadilika kwa kasi kubwa. Kwa kizazi cha simu janja, maarufu kama Smartphone Generation,…

    Continue Reading

  • Shigela ataka umeme shule za umma Geita

    Shigela ataka umeme shule za umma Geita

    GEITA: MKUU wa Mkoa wa Geita, Martine Shigela ameagiza watendaji wa serikali kusimamia na kuhakikisha shule za umma zinafikiwa na nishati ya umeme kupitia mradi wa umeme vijijini. Shigela alitoa maagizo hayo juzi akiwa ziarani wilayani Mbogwe mkoani humo ambapo alipata fursa ya kukagua ujenzi wa miundombinu katika shule ya sekondari Bunigozi na shule zingine.…

    Continue Reading

About the Author

Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

BlockSpare — News, Magazine and Blog Addons for (Gutenberg) Block Editor

Search the Archives

Access over the years of investigative journalism and breaking reports